Tazameni ulinzi wa Rais Paul Kagame

Tazameni ulinzi wa Rais Paul Kagame

Kuna uwezekano na juu kukawa pia na chopa zinaranda
Halafu utasikia hivi sasa Kagame kaifanya Rwanda iwe ni nchi ya amani! Kiongozi unalindwa na kombania mzima halafu unasema nchi ina imani!! Au ina maana kasoro kwake yeye tu?! Tena hao ni wale wanaoonekana lakini kutakuwa na wengine wengi zaidi waliojichanganya na raia na wengine wakiranda randa huku na huko kwa hofu ya uwezekano wa kuwapo na snipers!!
 
Ukiona Rais wa Afrika analindwa hivyo mbele ya raia wake tambua kuwa hanamuda wa kuondoka madarakani hivi karibuni maana hizo raha atazikosa atatamani afie kwenye kiti
Wana jamvi nashindwa kuelewa inakuwaje viongozi wengi wa Afrika wanakuwa na lundo kubwa la walinzi kiasi hiki.
Kama umechaguliwa na wananchi wako yanini kuogopa kiasi hiki?au na Rwanda kuna alshababu?View attachment 1101060
 
Umenikumbusha hali ya Mugabe na Albashir kwa sasa
Ukiona Rais wa Afrika analindwa hivyo mbele ya raia wake tambua kuwa hanamuda wa kuondoka madarakani hivi karibuni maana hizo raha atazikosa atatamani afie kwenye kiti
 
Nadhani ufike muda sasa wa Afrika tujiulize sana juu ya wakubwa hawa wanaogopa kitu gani hasa wanapo kuwa ndani ya mipaka ya nchi zao
Hapo sasa! Unadai unapendwa na +90% ya wananchi na bado unalindwa na battalion mzima!!
 
Back
Top Bottom