Walinzi wake wanafanana na walinzi ya mkubwa fulani hapa Africa,kuanzia muonekano,silaha,ufanyaji kazi nk!
Mzee mmoja kijijini aliwahi kuniambia kuwa Siku Ndgu akianza kuwaamini majilani kuliko sisi wanafamilia yake bhasi ni either tufanye kila linalowezekana tumfukuze au tungoje kufukuzwa sisi!...
Ok fine...ni hv ukimtawala MTU yyte bila ridhaa yake lazima ukae chonjo...... nadhani nimeelewekaBado mkuu sielewi ndiyo maana nimeuliza baada ya kushangazwa na hilo
madikteta sifa yao kubwa ni uoga!!Wana jamvi nashindwa kuelewa inakuwaje viongozi wengi wa Afrika wanakuwa na lundo kubwa la walinzi kiasi hiki.
Kama umechaguliwa na wananchi wako yanini kuogopa kiasi hiki?au na Rwanda kuna alshababu?View attachment 1101060
yep....sana!Inamaanisha ili uwe dikteta lazime uwe ni mtu muoga Sana?
Usifate wala usiamini kauli zao.....angalia matendo yao yanaongea kwa sauti kubwa...Umeeleweka vizuri sana lkn hawa hawa ndiyo wanatwambia kuwa wanakubalika sana makwao