Tazameni ulinzi wa Rais Paul Kagame

Tazameni ulinzi wa Rais Paul Kagame

Kagame ana maadui wengi sana tena walikua wakuu wa jeshi wanaishi uhamishoni huko anaamini wanapanga kumpindua hasa yule alie SA na ndio chanzo kikuu cha kutofautiana na SA maana yeye akifanya mpango wa kutaka wauliwe wanakamatwa na kaburu kawapa ulinzi mkubwa hapo ndio sinema linapoanzia na anaamini kwenye mpango huo Museveni anahusika maana uhusiano wa Uganda na SA upo vizuri sana huku Rwanda ukiyumba...
 
Halafu utasikia hivi sasa Kagame kaifanya Rwanda iwe ni nchi ya amani! Kiongozi unalindwa na kombania mzima halafu unasema nchi ina imani!! Au ina maana kasoro kwake yeye tu?! Tena hao ni wale wanaoonekana lakini kutakuwa na wengine wengi zaidi waliojichanganya na raia na wengine wakiranda randa huku na huko kwa hofu ya uwezekano wa kuwapo na snipers!!
Hahah eti Kombania duuh
 
hiki ni moja ya vidikteta uchwara hapa barani africa kana watundu lissu sana wapinzani wake
 
Umeona ulinzi wa rais wa Marekani weee?
 
hicho kimti hakifai hata kidogo wapiganaji wake wenyewe walomfikisha hapo alipo kashawamaliza
 
Sasa ndugu yangu unailinganisha ulinzi wa rais wa dunia na ulinzi wa mwenyekiti wa kijiji?
Comment yako hii imeku value na kuku estmate the level of understanding kwamba ni ya chini sana ! Yenye kuingiliwa na mdudu aitwa umagharibi kwa kuutukuza u America !! This is totally a crap !! Tafadhari badili namna ya kufikiri
 
Huo ni mtazamo wako na nakushauri tu jaribu kufuatilia comments more than 70 inakuwaje wewe utulazimishe tukubaliane na unacho taka wewe?

Wewe ni nani zaidi ya kuwa ni jf member?
Comment yako hii imeku value na kuku estmate the level of understanding kwamba ni ya chini sana ! Yenye kuingiliwa na mdudu aitwa umagharibi kwa kuutukuza u America !! This is totally a crap !! Tafadhari badili namna ya kufikiri
 
Back
Top Bottom