Tazama muda unavyokwenda mbio

Tazama muda unavyokwenda mbio

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
5,899
Reaction score
11,697
Hapa ilikuwa hata kabla ya kugunduliwa Whatsapp, Instagram, majalida haya yalichukua umaarufu mkubwa sana Tanzania na Kenya.

Utandawaza unakuja kwa kasi sana siku hizi ni Tiktok na blogs za umbea tu.
Screenshot_20250419_204207_Instagram.jpg
Screenshot_20250419_204143_Instagram.jpg
Screenshot_20250419_204336_Instagram.jpg
 
Haya majarida yalikuwa yakisaidia sana kutoa elimu ya mahusiano kwa vijana, pia kulikuwa na jarida jingine likiitwa 'Si Mchezo'.
Yeah, na hili ndilo nililikusudia kulitaja kwenye comment iliyopita lilikuwa lina lyrics za miziki
 
Back
Top Bottom