Tazama muda unavyokwenda mbio

Tazama muda unavyokwenda mbio

Yeah, na hili ndilo nililikusudia kulitaja kwenye comment iliyopita lilikuwa lina lyrics za miziki
Jarida la Si Mchezo lilikuwa bomba kuzidi Femina, lilikuwa na mambo mengi ikiwemo mistari ya miziki, bila kusahau ndani yake kulikuwa na contents za jarida la Sani (zile story na katuni za akina Kipepe, Zena na Betina, Lodilofa, Baba Ubaya, nakadhalika).
 
sikuwahi kuyaelewa nilikuwa nasoma vituko tu yale mambo yawakubwa nilikuwa nawaachia wakubwa!
 

Attachments

  • Go4VbESXcAA8lvv.jpeg
    Go4VbESXcAA8lvv.jpeg
    156.6 KB · Views: 12
Back
Top Bottom