secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,167
- 28,205
Sasa kwa nini umeacha mkuu.Yanatoka hadi waleo, Mm nmekuwa balozi wa fema na nmefanya nao kazi.
Sasa kwa nini umeacha mkuu.Yanatoka hadi waleo, Mm nmekuwa balozi wa fema na nmefanya nao kazi.
Mkuu nliachana nao ili kuwapa nafasi wengne mm nkaelekea kwngne..lakn nkienda pale kwao huwa nina heshma fulan hvSasa kwa nini umeacha mkuu.
Vema mkuu, watu wapate riziki.Mkuu nliachana nao ili kuwapa nafasi wengne mm nkaelekea kwngne..lakn nkienda pale kwao huwa nina heshma fulan hv
Syo mtu unabana kote kote..Vema mkuu, watu wapate riziki.
Kabisa. Roho mbaya haijengi.Syo mtu unabana kote kote..
Si alikuwa wasafi au ashaacha.Seki kapotelea wapi
MuaKA 20 ni mingi sana,hapo alikuwa tuseme miaka 30 sasa ana 50 umri wa kufa,Ruge,Kibonde,Gadna walikufa before 50Kweli uzee upo hapo professor jay km mwanafunzi wa shule sura yake
Kumbe ni faza sasaMuaKA 20 ni mingi sana,hapo alikuwa tuseme miaka 30 sasa ana 50 umri wa kufa,Ruge,Kibonde,Gadna walikufa before 50
Kumbe ni faza sasaMuaKA 20 ni mingi sana,hapo alikuwa tuseme miaka 30 sasa ana 50 umri wa kufa,Ruge,Kibonde,Gadna walikufa before 50
Tumezeeka sasa.Femina talk show😀
Si walkua mpaka wana redio yao hawa "Fema Radio" sijui bado ipogo!Femina talk show![]()
Daaah hapa unanikumbusha waandishi na wachoraji bora wa kwenye haya majarida wa muda wote: Chris Katembo, John Kaduma, Aloyce James/ Jacob, Eddie Ganzel...Mambo yalikua raha sana, ukiplus na haya hivi, hadi raha.....
View attachment 3309861View attachment 3309863View attachment 3309864