Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,661
Mwe!,anaimba mungu ibariki TanzaniaCcm na wasira
View attachment 3309778
Mwe!,anaimba mungu ibariki TanzaniaCcm na wasira
View attachment 3309778
Duh! kitambo sana enzi hizo Nyangwisi Maghayo The Mongolian Savage anachunga Ng'ombe porini na bukta yake chafu iliyotoboka malalioni.
Ka Sugu kalikuwa bado kanajitafuta! Ila CHADEMA imewanyanyua sana hawa wana!Hapa ilikuwa hata kabla ya kugunduliwa Whatsapp, Instagram, majalida haya yalichukua umaarufu mkubwa sana Tanzania na Kenya.
Utandawaza unakuja kwa kasi sana siku hizi ni Tiktok na blogs za umbea tu.
View attachment 3309756View attachment 3309759View attachment 3309765
Kipindi alichokuwa akikiongoza kiliitwa CITY SOUND.Seki hakuwa sehemu ya watumishi wa femina bali ali cover habar wakat akiwa mtangazaji wa eatv
Unamkumbuka aunt cos wa Femina Hip, na picha zao za ndomu 😂Nimesoma magazeti ya zamani ya Kiswahili na kiingereza kama daily news mwanahalisi na mengineyo.
Nilisoma sana hayo majarida na jamaa yangu Joshua Shirima kama yuko humu anitafute.
Aunt Cos na uncle pesa wote nawakumbuka na nawapenda.Unamkumbuka aunt cos wa Femina Hip, na picha zao za ndomu 😂
AyaaaAunt Cos na uncle pesa wote nawakumbuka na nawapenda.
Mpiga picha alikuwa Amabilis Batamula.
Yes kitu kama hicho.Ayaaa
Mpiga picha alikwa mwanzo milinga na na yule mkurya somebody mwita kutoka musoma alifariki
Una deserve zawadi ndegeAunt Cos na uncle pesa wote nawakumbuka na nawapenda.
Mpiga picha alikuwa Amabilis Batamula.
Hakika.Una deserve zawadi ndege
Pasaka inaendaje hapo kahama shinyangaHakika.
Wasafi fmSeki kapotelea wapi
Hapa na enjoy yaani nimeandaa ugali mgumu na senene.Pasaka inaendaje hapo kahama shinyanga
Senene wapoje mkuu nawasikia kwa nshomile hukoHapa na enjoy yaani nimeandaa ugali mgumu na senene.
Ni panzi tu mkuu.Senene wapoje mkuu nawasikia kwa nshomile huko
Panzi how sio jamii ya kumbikumbiNi panzi tu mkuu.
Ni jamii ya panzi ila wenyewe ni wadogo kuliko panzi.Panzi how sio jamii ya kumbikumbi
Aseeh itabid nijaribu siku mojaNi jamii ya panzi ila wenyewe ni wadogo kuliko panzi.
Yanatoka hadi waleo, Mm nmekuwa balozi wa fema na nmefanya nao kazi.Yes kitu kama hicho.
Hivi Bado majarida ya FEMINA HIP yanaendelea kutoka?
Ni watamu haielezeki.Aseeh itabid nijaribu siku moja