Tazama muda unavyokwenda mbio

Tazama muda unavyokwenda mbio

Nakumbuka haya majarida yalikuwa hayauzwi yanatolewa bure, tulikuwa na kikundi cha vijana kila mwezi walikuwa wanaleta ofisini kwetu nakala 100.
Nadhani yalikuwepo mpaka mwaka 2013.
 
Mambo yalikua raha sana, ukiplus na haya hivi, hadi raha.....
images (23).jpeg
images (22).jpeg
images (24).jpeg
 
Daah kitambo sana, ila hayo majarida yalitoa elimu kwenye jamii, kutokana na mipanglio ya maudhui yake yaliyopangliwa kwa ufasaha na unapenda tu kulisoma jarada. #FEMINA HIP HOP
 
Gazeti langu pendwa mwananchi

Udaku, ijumaa, wikienda, umbea nimeanza kitambo sana
Nimesoma magazeti ya zamani ya Kiswahili na kiingereza kama daily news mwanahalisi na mengineyo.

Nilisoma sana hayo majarida na jamaa yangu Joshua Shirima kama yuko humu anitafute.
 
Nimesoma magazeti ya zamani ya Kiswahili na kiingereza kama daily news mwanahalisi na mengineyo.

Nilisoma sana hayo majarida na jamaa yangu Joshua Shirima kama yuko humu anitafute.
Nilishamkanya sana BICHWA KOMWE kuhusiana na hili swala la MAFEMA lakini hakunisikia. Alikuwa anayaiba anajaladia madaftari yake.

Hili jambo lilikuwa baya sana, ikafika hatua mpaka BICHWA KOMWE akakamatwa na polisi na kuanza kunyea ndoo rasmi mnamo mwaka 2008.
 
Kwa hiyo lengo la kuiba ni kujaladia tu au Kuna lengo lingine.
 
Back
Top Bottom