Tazama jua lilivyo surface yake kwa karibu

Musa alisimamisha jua kwa masaa6 kuruhusu mapigano yaendelee bible kitabu cha kutoka kwa mantiki hyo jua ndyo inayozunguka dunia?

Nikukosoe kidogo, aliyesimamisha jua ni Joshua mwana wa Nuni sio Musa
 
Kuna mambo yako nje ya uwezo wa mwanadamu.Wakusanyike wanasayansi wote duniani waliohai na wafufuke na wale waliokufa na wakasaidiana na majini,KUNA MAMBO HAWATAWEZA.

nikweli mkuu, yapo pia mazuri na mengine mabaya, tazama silaha zinavyoangamiza wasio na hatia...watoto, wazee na kina mama wenye familia
 
Kuna mambo yako nje ya uwezo wa mwanadamu.Wakusanyike wanasayansi wote duniani waliohai na wafufuke na wale waliokufa na wakasaidiana na majini,KUNA MAMBO HAWATAWEZA.

mkuu mie napenda kujua kwakujifunza tu tushee, nikipi ambacho unahisi binaadamu anaweza asifanikiwe ......kwa nia ya kujifunza tu hebu list vitu vtano tu au less huna imani binaadamu yupo nyuma sana kuweka nia, kujaribu na kufanikiwa kuweza..
 
mwezi upo kilomita laki 3.8 kutoka hapa tulipo, jua lipo kilomita milioni 149.6, Kwenye mwezi joto ni nyuzi 100 mchana usiku ni baridi sana nyuzi negative 177 centigrade. joto kwenye jua inakisiwa ni nyuzi 5500. Kwenda kwenye mwezi unahitaji mavazi maalumu kujilinda na joto na kemikali zilizopo katika anga ya mwezi. Kwenda juani sidhani kama plan ipo ila kuna vifaa spesho vina zunguuka angani kulichunguza maendeleo yake. jua lina kadiriwa kuwa na umri wa miaka bilion 4.5 hata mwezi pia.

Hongera kaka jiografia imepata mwenyewe
 
Hii article imeenda shule. Naomba kuuliza: Jua ni kitu gani hasa? Ni madini? Madini gani? Ni jiwe kubwa? Ni kimiminika au ni mvuke? Napata shida sana ktk hili please mleta mada naomba msaada wako. Tafadhali wale wanaodandia mada na kuandika yasiyohusiana naomba tu muwe wapole katika hili. Hii mada ni muhimu sana. Msitake tuanze kutumbuana majipu huku pse.
 
Mkuu nilichosema bado ni sahihi, ndani ya jua ni hotter kuliko kwenye surface, wewe unachoongelea ni corona vs surface temperature, corona ni sehemu iliyopo just above the surface, na yenyewe ni kweli inasemekana ni hotter than the surface, ila bado ndani ni hotter kuliko surface na hotter kuliko corona..

In case corona ingekua hotter kuliko surface na ndani basi ingekua against physics kwa sababu corona ndiyo ingeonekana kama the main source of heat ya jua, meaning surfacr na ndani pote pangekua panatoa heat kwenye corona which is impossible.

Yah.You are basically correct mkuu.Ni ishu ya surface na atmosphere ingawa bado inashangaza maana uelekeo wa heat ni ule ule kama principles za thermodynamics zisemavyo now how come heat kutoka kwenye core via surface iende kuwa kubwa kule mwishoni kwenye atmosphere?it's strange scientifically.
Wanajaribukuestablish sababu kuwa ile corona inaabsorb heat kwa haraka kutokana na kuwa thin na huku material fulani ya gas ambayo ipo kwenye corona inakuwa ionized mapema na hivyo hayo mawili pamoja na nanoflares zisizoonekana yanasababisha joto hilo but still...bado because it depends on how someone defines heat,kama ni matokeo ya chemical reactions au magnetic disturbances huko juani.
Jambo moja ambalo ni isolated case mkuu,inasemekana sometimes joto la corona especially kwenye active regions wakati wa solar flares huwa linavuka hadi joto la core..have you come across this?
 
Binafsi picha kama hiyo, inaniletea maswali mengi sana, ila naamini hii maada sio mahali pake pa kuyauliza. Kumbe jua ama mwezi tunazi / viona tu viking'aa, kumbe kuna vya kutisha ili kufanikisha huo ung'aaji.

Ahsante!
Unaambiwa hili ni likinu likuubwa la Nyuklia linalofanya kazi kwa kutegemea ile fomyula mashuhuri ya Albert Einstein E = MC2. Wenyewe wanasema baada ya miaka bilioni tatu ijayo litaanza kuishiwa material na litapanuka na kumeza visayari vyote tegemezi halafu lita-collapse. Hope ya wanasayansi ni kwamba wakati huo watakuwa na teknolojia itakayowaruhusu kuhamia kwenye malimwengu (galaxies) mengine!
 
Hii article imeenda shule. Naomba kuuliza: Jua ni kitu gani hasa? Ni madini? Madini gani? Ni jiwe kubwa? Ni kimiminika au ni mvuke? Napata shida sana ktk hili please mleta mada naomba msaada wako. Tafadhali wale wanaodandia mada na kuandika yasiyohusiana naomba tu muwe wapole katika hili. Hii mada ni muhimu sana. Msitake tuanze kutumbuana majipu huku pse.

Sawa mkuu, asilimia 97 ni gesi, hydrogen 74, helium 23, gesi nyingine na madini magumu ni chini ya asilimia 3....surface ya jua ni plasma....

plasma ni hali ambayo huwezi kuitambua kama ni kimiminika au ngumu na wala sio gesi, mfano mmojawapo wa plasma ni kile kinachosababisha mwanga kwenye tubelight (fluorescent).....Pia kitaalamu zaidi wanasema gesi ukiipatia cheche ya moto kile lnachotokea pale ni plasma.....ule moto unaotumika kukatia vyuma sometimes tunauita moto wa gesi...ule unaitwa plasma na ndio ile surface ya jua ilivyo.

Joto la jua kwenye surface ni nyuzi 5500 C, katikati ya jua core ni more than 15milion c.....kule kati ndio mwanzo wa yote....ndio unakotokea mlipuko wa kinuclear .....unaosababisha mzunguuko mkubwa unaojirudia rudia na kutengeneza nguvu za uvutano, miale ya aina mbali mbali ambayo ni hatari, na misukosuko yote ambayo pia inasababisha kuzalisha mwanga unaotufikia hapa duniani.

mwanga ni moja ya nguvu kadhaa zinazotolewa na jua katika maisha yake hayo ya mizunguko....inayoanzia katikati kuja kwenye surface na kurudi katikati tena...ni kama linapumua hivi....ule moto wa kati unasababisha (nguvu kama volcano inavyolipuka duniani kwetu) ila kadri mchakato unavyokaribia surface joto linapungua zile nguvu zilizopoa zinarudi tena katikati kuanza mchakato upya.

Jua lina release other radiant energies kama: infrared light, microwaves, radio waves, ultraviolet light, x-rays, and gamma rays

Lingine ni kwamba mwanga ( visible light) inayotusaidia mengi tu na kuona pia...unatengenezwa ndani ya jua kwa muda wa miaka milioni 11...mpaka kufika kwa surface ya jua, na kutufikia hapa duniani ndani ya dakika 8..

i hope umepata picha kidogo mkuu mamitod
 
Kwani jua linaMOVE

Ndio mkuu jua linajizungusha kama dunia ila mzunguko wake na spidi vinatofautiana kutoka ikweta yake hadi nchani, pili tofauti ya spidi ipo kati ya surface kwenda kati.
 
Umenikumbusha wakati rais wa marekani akitangaza kupeleka watu mwezini....mashehe wa us waliandamana wakidai binadam ameumbwa kwaajili ya kuishi duniani tu...
Hao nao ni kuwavumilia tu, sasa mbona wanapanda ndege wakati binadamu aliumbwa kutembea ardhini tu!
 
Sawa mkuu, asilimia 97 ni gesi, hydrogen 74, helium 23, gesi nyingine na madini magumu ni chini ya asilimia 3....surface ya jua ni plasma....

plasma ni hali ambayo huwezi kuitambua kama ni kimiminika au ngumu na wala sio gesi, mfano mmojawapo wa plasma ni kile kinachosababisha mwanga kwenye tubelight (fluorescent).....Pia kitaalamu zaidi wanasema gesi ukiipatia cheche ya moto kile lnachotokea pale ni plasma.....ule moto unaotumika kukatia vyuma sometimes tunauita moto wa gesi...ule unaitwa plasma na ndio ile surface ya jua ilivyo.

Joto la jua kwenye surface ni nyuzi 5500 C, katikati ya jua core ni more than 15milion c.....kule kati ndio mwanzo wa yote....ndio unakotokea mlipuko wa kinuclear .....unaosababisha mzunguuko mkubwa unaojirudia rudia na kutengeneza nguvu za uvutano, miale ya aina mbali mbali ambayo ni hatari, na misukosuko yote ambayo pia inasababisha kuzalisha mwanga unaotufikia hapa duniani.

mwanga ni moja ya nguvu kadhaa zinazotolewa na jua katika maisha yake hayo ya mizunguko....inayoanzia katikati kuja kwenye surface na kurudi katikati tena...ni kama linapumua hivi....ule moto wa kati unasababisha (nguvu kama volcano inavyolipuka duniani kwetu) ila kadri mchakato unavyokaribia surface joto linapungua zile nguvu zilizopoa zinarudi tena katikati kuanza mchakato upya.

Jua lina release other radiant energies kama: infrared light, microwaves, radio waves, ultraviolet light, x-rays, and gamma rays

Lingine ni kwamba mwanga ( visible light) inayotusaidia mengi tu na kuona pia...unatengenezwa ndani ya jua kwa muda wa miaka milioni 11...mpaka kufika kwa surface ya jua, na kutufikia hapa duniani ndani ya dakika 8..

i hope umepata picha kidogo mkuu mamitod

Ahsante mkuu sio kidogo ni sana. Umefunua huu ubongo kbs. Ina maana mushkeri kidogo ukitokea kwenye jua maisha yetu yaweza kuangamia kbs? Nimeelewa km ndio nhimili wa mambo mengi. Ningeomba tu watu waamini kwamba Mungu yupo kwani hivi vitu vilitoka wapi? Haithuru km sio Mungu basi call him/her anything lkn lzm kuna CREATOR jmn apewe hesgima zote. Hivi huamini Mungu yupo ukifa ukaenda kumkuta inakuwaje? Bora uamini ukimkuta hupotezi cho chote wala hutaaibika km asiyeamini. Tks again. Hy ndio mambo sio watu kutwa wanajadili migegedo daa hatareeeer
 
Yani mkuu wanasayansi wenyewe wanakubali mungu yupo....kwasababu jinsi kila kitu ....kina cause na effect sasa nani kasababisha au nani alianzisha.....na kila uwepo wa kitu unategemea kingine kuwepo.....Kila kitu kinahitaji uwepo wa mwenzie na ndio maana wanasema tutunze mazingira yetu...kupunguza matumizi yoyote yanayoleta uharibifu wa nature.

Hapo jua lilipo na sayari zilivyojipanga, mwezi ulipo, location ya galaxies vyooote vinategemeana sasa nani kafanya yote hayo......ni Mungu, wenyewe wanaita the higher power
 
Ahsante mkuu sio kidogo ni sana. Umefunua huu ubongo kbs. Ina maana mushkeri kidogo ukitokea kwenye jua maisha yetu yaweza kuangamia kbs? Nimeelewa km ndio nhimili wa mambo mengi. Ningeomba tu watu waamini kwamba Mungu yupo kwani hivi vitu vilitoka wapi? Haithuru km sio Mungu basi call him/her anything lkn lzm kuna CREATOR jmn apewe hesgima zote. Hivi huamini Mungu yupo ukifa ukaenda kumkuta inakuwaje? Bora uamini ukimkuta hupotezi cho chote wala hutaaibika km asiyeamini. Tks again. Hy ndio mambo sio watu kutwa wanajadili migegedo daa hatareeeer

Kuhusu mushkeri nikwamba jua linaelekea kuzeeka, na kadri linavyozeeka linatanuka, na mng"ao utaongzeka, joto litazidi, ....kadri jua linavyotanuka linazisukuma sayari zote away from it, inakadiriwa miaka milioni 50 ijayo...na ndio mwisho wa ...maisha. kwahiyo jitihada zinazofanywa ni kugundua makazi mengine kwa vizazi vijavyo...baada ya hapo hiyo layer ya juu itaanza kongoroka as the process inayofanya iendelee kuwepo ita simama, plasma ita wear out layer ya kati itakua solid na kuwa dwarf star yenye ukubwa wa kama hii dunia then mpaka miaka bilioni 50 italipuka. ndio wasemacho wataalamu.

Kuna mdau katusisitizia sala.....ila ni bado sana kwa hii generation yetu....na integemea mazingira tunayatunzage kuchelewasha kibano
 
Myxo 16 km hizo gases zinaungua ukubwa unaongezeka au ungepungua? Gravitationsl force hspo itakuwaje? Joto litaxidi au kupungua? Maana km joto litatawanyika ina maana litapungua kwa sababu litakuea limesambaa sehemu kubwa zaidi sioni logic kwenye hii japo kaelimu kangu robo. Na km limeishi miaka hii yote kwa nn sasa liishe? Japo vipo vipimo vya kisasa kivile siamini ktk hilo vipimo vimetengenezwa na binadamu yawezekana vikampa majibu aliyoyataka yeye kea data alizotumia yeye lkn mhusika mkuu ana lengo lake na si rahisi kujua lengo lake au we cant conquer or beat him. Ahsante
 
Mkuu mxyo16 unaweza elezea kiundani iyo black hole
 
mxyo16 theory ya relativity huwa inanichanganya sana. huwa nawaza kichwa cha Albert Einstein sipati majibu. kabisa
 
Last edited by a moderator:

Back
Top Bottom