Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 739
Uwele wenu wale munaomuasi muumba adhabu yenu inafanana na moto huo
mshana jr Jua ni matokeo ya mjusi gani?
Haya Mambo yanatisha sana kuyafatilia Bora kuyaacha Kama yalivyo...Mungu fundi hakosei si Jupiter wala Pluto zote zimepangika.
Aise ndio maana nakataa Mungu hawezi kuchoma watu wake kwa moto kama huo..(kama yupo) kisa watu wametenda hasiyoyataka..da huruma ya mungu itakuwa wapi hapo?
Musa alisimamisha jua kwa masaa6 kuruhusu mapigano yaendelee bible kitabu cha kutoka kwa mantiki hyo jua ndyo inayozunguka dunia?
Aksante mkuu, habari kama hizi zinaongeza siku za kuishi hapa duniani.Camera maalumu zinaweza kulipiga picha na kupata mwonekano wake halisi wa ardhi yake bila ule mwanga mkali tusioweza kuona kwa macho. Ile surface ni moto full-time na pia milipuko ambayo hua inauwezo kuathiri maisha yetu ya kilasiku...kama mawasiliano, setelites umeme etc.![]()
![]()
Mkuu, watafiti wanasema dunia haipo hivi ( I ) ila ipo hivi ( / ) na jua ni kubwa mno kuliko tunavofikiria kwani wanasema kadunia ketu haka kanaingia mara mamilioni humo.Mkuu mxyo16 mimi siku zote nashindwa kuamini kuwa dunia ni duara sasa ukiachilia mbali wale wanaoishi kaskazini jee hao wa kusini na pembeni wanaishije na kama wote wanapata jua la utosi inakuwaje wakati jua lipo stationary? Natanguliza shukrani[/QUODah mkuu, ninachojua mimi ni kwamba sio misimu yote watu kona zote za dunia kaskazini, kusini, na katikati huwa wanapata jua la utosi. hapana. mfano kwa sasa hivi nchi za kaskazini jua wanaliona mda mchache sana na kwawatu wa kusini jua linakuwepo muda mrefu yani zaidi ya masaa 12 mpaka hata masaa 24 kusini kabisa au kaskazini kabisa, Dunia sio perfect duara, ni spherical mfano wa yai.
Sio kwako hata huku like siioni, ni mwezi sijatoa like japokuwa mie nazipata like sijui wenzangu wanazitoa wapi, labda wakitumia simukula liike mkuu, mie siku hizi like siioni kwangu
Mkuu haya yote yapo National geographical society
Mkuu, watafiti wanasema dunia haipo hivi ( I ) ila ipo hivi ( / ) na jua ni kubwa mno kuliko tunavofikiria kwani wanasema kadunia ketu haka kanaingia mara mamilioni humo.
Dunia ina ncha zinaitwa kaskazini na kusini, sasa inapolizunguka jua inasimama kwenye angle ( / ) na hii angle nayo huegeuka kila baada ya miaka kadhaa mpaka kufikia (\ )
![]()
Jua ni kubwa sana, diameter yake ni sawa na dunia 109,
![]()
![]()
![]()
Hicho kidoti kulia ndio dunia ukilinganisha na jua kushoto kwa ukubwa
Asante mkuu kwa elimu,mimi si mtaalamu wa mambo ya space ila nilisoma tu vitabu relativity ya Einsten,sasa swali hivi nilisoma sehemu sikumbuki if ilikuwa discusion au movie,je ni kweli mfano astronaut akienda kwenye horizon then akakaa hapo mda flani hivi then time limit ikizidi threshold then katika kila saa atakalokaa hapo basi huku duniani inachukua like four years?mfano mimi natoka duniani 2015 to space then nikakwama kwenye horizon basi kila lisaa ntakalohesabu hapo itakuwa four years duniani,nikispend four hours in horizon means duniani itakuwa imepita 16years.sikumbuki vizuri ila ni kama hiyo theory.Kuna ukweli wowote?
Dunia in ncha zinaitwa kaskazini na kusini, sasa inapolizunguka jua inasimama kwenye angle ( / ) na hii angle nayo huegeuka kila baada ya miaka kadhaa mpaka kufikia (\ )
![]()
Jua ni kubwa sana, diameter yake ni sawa na dunia 109,
![]()
![]()
![]()
Hicho kidoti kulia ndio dunia ukilinganisha na jua kushoto kwa ukubwa
Jua ni tufe linalowaka muda wote.
Jua ni hewa tu ambayo inawaka. 72% ya jua ni gesi ya hydrojeni, 26% ni helium, 1.5% ni mchanganuiko wa oksijeni na gesi ya kabonidayoksaidi. 0.5% ni gesi nyingine.
Katikati ya jua kuna joto kali linalofikia nyuzijoto 15 milioni.