Tazama jua lilivyo surface yake kwa karibu

Tazama jua lilivyo surface yake kwa karibu

23d8a604258137fd303176581a4a0aa8.jpg

Tazama majua mengine yaliyopo in the universe, kuna jua ambalo ni kubwa kiasi jua letu ni kiduchu halafu yapo na mengine ambayo yanalifanya jua letu kama punje ya mchanga
 
hubble-deep-field-distant-galaxies_11803_600x450.jpg

zipo galaxy kibao, kama unavyoziona nyota angani usiku
 
enhanced-buzz-26212-1416241673-4.jpg

nyota zote unazoziona usiku unapo tazama angani nikajisehemu hako kadogo kaduara kwenye picha. God is great
 
camera maalumu zinaweza kulipiga picha na kupata mwonekano wake halisi wa ardhi yake bila ule mwanga mkali tusioweza kuona kwa macho. Ile surface ni moto full-time na pia milipuko ambayo hua inauwezo kuathiri maisha yetu ya kilasiku...kama mawasiliano, setelites umeme etc.

2eff295100000578-3343135-image-a-35_1449083069812.jpg

0c9002b600000578-3343135-image-a-37_1449084003152.jpg

ni picha za majuzi zimetolewa na kituo cha marecan cha anga za juuuuu, nasa
 
800px-Wide_Field_Imager_view_of_a_Milky_Way_look-alike_NGC_6744.jpg

hii ni galaxy nyingine ambayo infananishwa na galaxy tuayoishi milk way, katkati kwenye mwanga mkali panaitwa black hole.....kama vile jua ni muhimu katika uhai wa viumbe hapa duniani , hito black hole ni muhimu kwa maisha ya galaxy yote.

Naamini umeshaiona ile movie Interstellar...haya mambo yameelezwa poa sana...shukrani sana chifu kwa mada hii nzuri
 
23d8a604258137fd303176581a4a0aa8.jpg

Tazama majua mengine yaliyopo in the universe, kuna jua ambalo ni kubwa kiasi jua letu ni kiduchu halafu yapo na mengine ambayo yanalifanya jua letu kama punje ya mchanga

Mkuu kuna sehem nimesoma kuwa kuna solar system nyingine imegunduliwa ambapo huko kuna sayari mojawapo kubwa maradufu ya dunia yetu na inasemekana kwa uchunguzi wa mwanzo hiyo sayari inatabia kama ya dunia hii ,mvua mawingu nk na wanahisi (uchunguzi unaendelea) kuna viumbe hai watakaofanana au kukaribiana na binadam but wao ni giants....ha ha
 
Hehehe mkuu usilete dini kwenye sayansi, hakuna kiumbe kwenye jua, wala hakuna kiumbe chochote ambacho tunajua kinaweza kusustain joto kubwa namba hiyo, jua kwa juu ni 5500C ila kwa ndani kuna pressure kubwa na joto linaweza kufika 15Million C. hakuna kitu chochote kinachoweza kusurvive joto hilo. Na hao viumbe unaoongelea sijui jehanamu, we unahisi jehanamu ni kwenye jua?? labda kasome kitabu chako cha dini vizuri, kama kinasema wanaungua kwenye jua basi kipotezee mbali kabisa.

Em angalia scale ya jua lilivyo kubwa, pale kwenye "Earth" ndo dunia, Ukichukua dunia 1.3Million ndo zitaweza kujaza jua, hao viumbe wako lazima watakua wanaenjoy kinoma.

attachment.php

Mkuu sorry ila kama nimekuelewa vema ni kama unamaanisha kuwa jua kwa ndani ni hot kuliko surface yake(kwa juu).

Kama unamaanisha hivyo basi hebu kafanye research yako tena kuna mystery wanasayansi wameigundua kuhusu jua.
Atmosphere yake(corona) ni hot zaidi kuliko surface ya jua na surface nayo ni hot kuliko sehemu za ndani za jua lenyewe.Yaani unavyozidi kulikaribia jua ndivyo linavyokuwa cold zaidi(nazungumzia thousands and millions of fahrenheits na sio barafu ya iceland).
Wanasema Corona ina joto kali sana kuliko jua lenyewe hivyo kama ikitokea kuna kitu kinaweza kusustain joto la atmosphere ya jua kikapenya na kutua kwenye surface ya jua kitapata relief kuliko lile joto ilichokutana nalo ikiingia kwenye anga la jua (corona).

Pita huko NASA mkuu wamekizungumzia.ni mystery inawasumbua mno scientists hivi sasa wakijiuliza inakuwaje source ya moto iwe cold kuliko flames zinazozalishwa!
 
800px-Wide_Field_Imager_view_of_a_Milky_Way_look-alike_NGC_6744.jpg

hii ni galaxy nyingine ambayo infananishwa na galaxy tuayoishi milk way, katkati kwenye mwanga mkali panaitwa black hole.....kama vile jua ni muhimu katika uhai wa viumbe hapa duniani , hito black hole ni muhimu kwa maisha ya galaxy yote.

Beautiful!
 
Asee Mungu aliumba ,sijui ntamuona wapi nimpongeze duuu
 
Mkuu sorry ila kama nimekuelewa vema ni kama unamaanisha kuwa jua kwa ndani ni hot kuliko surface yake(kwa juu).

Kama unamaanisha hivyo basi hebu kafanye research yako tena kuna mystery wanasayansi wameigundua kuhusu jua.
Atmosphere yake(corona) ni hot zaidi kuliko surface ya jua na surface nayo ni hot kuliko sehemu za ndani za jua lenyewe.Yaani unavyozidi kulikaribia jua ndivyo linavyokuwa cold zaidi(nazungumzia thousands and millions of fahrenheits na sio barafu ya iceland).
Wanasema Corona ina joto kali sana kuliko jua lenyewe hivyo kama ikitokea kuna kitu kinaweza kusustain joto la atmosphere ya jua kikapenya na kutua kwenye surface ya jua kitapata relief kuliko lile joto ilichokutana nalo ikiingia kwenye anga la jua (corona).

Pita huko NASA mkuu wamekizungumzia.ni mystery inawasumbua mno scientists hivi sasa wakijiuliza inakuwaje source ya moto iwe cold kuliko flames zinazozalishwa!

Mkuu nilichosema bado ni sahihi, ndani ya jua ni hotter kuliko kwenye surface, wewe unachoongelea ni corona vs surface temperature, corona ni sehemu iliyopo just above the surface, na yenyewe ni kweli inasemekana ni hotter than the surface, ila bado ndani ni hotter kuliko surface na hotter kuliko corona..

In case corona ingekua hotter kuliko surface na ndani basi ingekua against physics kwa sababu corona ndiyo ingeonekana kama the main source of heat ya jua, meaning surfacr na ndani pote pangekua panatoa heat kwenye corona which is impossible.
 
Huwa nikiwaza kuhusu galaxy na majua yake na solar sysytem zake naishia kuogopa tu. Tumche tu Mungu
 
Duuuh aisee ngoja nijisubscribe kwenye hii topic,nitaisoma baadae.
Asante sana mkuu mxyo16 kwa elimu hii.
 
Last edited by a moderator:
Nami niulize swali..
Ikiwa dunia ndiyo inayolizunguka jua? Je! Jua lipo upande upi wa Dunia?
(katika pande nne za dunia)
Pia jua linapokuwa la utosi jua huwa lipo katka upande gani wa Dunia?(Katika pande nne za Dunia)
 
Mzee #NullPointer nimekuelewa kwa maelezo yako pia kiambatanisho cha ushaidi kusapport usemanyo....si kusema kwamba Jehanamu ni kuungua kwa Jua la hasha nilichokuwa nataka jaribu kusema ni kwamba kwenye joto kali zaidi mathalani kushinda la jua pana viumbe...maana Dini kalibia zoote wanaamini kuna jehanamu ya moto na moto wake ni mkali zaidi...pamoja na joto hili yasemekana na kuaminikua pana viumbe vinavyo survive....

Shukrani kwa maelezo yako umenifanya nikumbuke Geography ya form 2 kama sio form 1 tulidefine sun as "a biggest star" and now i can see how big it is.....
cha kushangaza zaidi hicho kidogo cheusi kwa maana ya Sayari yetu Dunia ndio uvumbuzi na ugunduzi huo umefanyika wa ukubwa wa jua na uzito wake....na the entire universe na galaxy zake zoote ikiwemo yetu ya milky way..

Hehehe mkuu usilete dini kwenye sayansi, hakuna kiumbe kwenye jua, wala hakuna kiumbe chochote ambacho tunajua kinaweza kusustain joto kubwa namba hiyo, jua kwa juu ni 5500C ila kwa ndani kuna pressure kubwa na joto linaweza kufika 15Million C. hakuna kitu chochote kinachoweza kusurvive joto hilo. Na hao viumbe unaoongelea sijui jehanamu, we unahisi jehanamu ni kwenye jua?? labda kasome kitabu chako cha dini vizuri, kama kinasema wanaungua kwenye jua basi kipotezee mbali kabisa.

Em angalia scale ya jua lilivyo kubwa, pale kwenye "Earth" ndo dunia, Ukichukua dunia 1.3Million ndo zitaweza kujaza jua, hao viumbe wako lazima watakua wanaenjoy kinoma.

attachment.php
 
ni kweli ugunduzi ulionyesha kuwa wapo bacteria wanaishi katika hali yajoto kali sana, jambo lilisababisha kuwepo mjadala kwamba joto kali sio sababu ya kufanya kiumbe akosekane mahali hapo. Na uchunguzi bado unaendelea, fikiria tu huwa tuna ambiwa tuchemshe maji kuua wadudu wanaosababisha magonjwa baadae wanasayansi wanasema wapo bacteria wanao ishi katika joto zaidiya hilo mara dufu. Ila ni mada iliyoleta changamoto nyingine na nafasi nyingine (an opportunity) ku sema kama yawezekana basi hata juani kuna viumbe...ila hakuna uhakika haijagundulik bado.

#MXYO16 shukrani maana kwenye nyuzi joto chini ya 0 na zaidi (-ve) pia kuna viumbe wanaishi pia nahisi the same applied kwenye nyuzi joto kubwa zaidi kama kwenye jua....mashaka yangu ni kwamba wanasanyansi wanaweza kuja na kubisisha juu ya uwepo wa viumbe huko sababu hawajawai kufika huko wala hawajafikiria kufika huko....kusema hivyo naamanisha kama hujafika huwezi jua kuna nini huko....na kama kuna kiumbe kinachaomudu kuishi kwenye joto kali hivyo pasi na shaka kwenye hali kama yetu hapa Dunian au sayari nyingine yeyote haviwezi kuishi...ni ngumu kuonekana na wanasayansi.

katika sayari ya kwanza baada ya Jua nikimaanisha ZEBAKI "Mercury" waweza kuta pana viumbe pia, japo cha kujiuliza mbona sayari hiyo haiyeyuku kwa joto kali hivyo?! wakati huku duniani ni shida saana kwa mateso ya joto la jua tumeshuhudia visiwa vikipotea watu kufa huko India kwa joto kali barafu kuyeyuka...hali ipoje Venus na Mercury??

Kilichombo sijui space ship ilituma picha ya mwonekano mpya wa sayari ya Pluto kimefikia wapi kwa safari yake ya kwenda huko pluto?? wanasayansi wakati mwingine nashindwa waelewa....are they done with Mars na Mwezi so leo wamefunga safari ya kwenda Pluto?? au possibility ya uhai ni kubwa huko pluto kuliko hapo Mars, Jupita?
 
Mkuu kuna sehem nimesoma kuwa kuna solar system nyingine imegunduliwa ambapo huko kuna sayari mojawapo kubwa maradufu ya dunia yetu na inasemekana kwa uchunguzi wa mwanzo hiyo sayari inatabia kama ya dunia hii ,mvua mawingu nk na wanahisi (uchunguzi unaendelea) kuna viumbe hai watakaofanana au kukaribiana na binadam but wao ni giants....ha ha

Kwakweli hawa jamaa usiku na mchana wanataka kukutana na viumbe kwenye sayari zingine, imani yao wanadhani wapo viumbe somewhere ambao wapo so advanced kiasi wanaweza kutufundisha ni jinsi gani tunaweza kusolve matatizo yetu hapa duniani kwa urahisi au kufuta kabisa matatizo hayo...mfano magonjwa sugu kama kansa, kisukari, parkinsons, au ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu ule nimesahau jina lake, hata swala la kuchelewesha kuzeeka, kukabiliana na upungufu wa chakula duniani, kutafuta best ways efficient kupunguza garama za maisha, mpaka wanaamini kuna way ya kusafiri back into our previous lives.....mfano wewe leo hii usafiri kutoka 2015 kwenda mwaka 1970.....au kwenda future 2050....

Inashangaza lakini ndio moja ya shauku katika mikakati yao,
 
Haaaaa,sasa hayo mambo kama yakifanikiwa kuna kufa kweli?
Nimebaki mdomo wazi....kumbe zile movie za ma-vampire zina ukweli ndani yake?
 
Back
Top Bottom