Sometimes nafikiriaga mingine ni mikwara tu aiseeena alisema tusimchunguze maana hachunguziki...
Yeah, kila kitu kwenye universe kipo kwenye motion. Jua linazunguka centre ya galaxy (black hole) na galaxy zote nazo zinazunguka.
Mbona tunaambiwa kuna watu wanapanda hadi mwezini huko si linachoma sana???
Galaxy ni nini na inatofauti gani na solar system
Is a collection of stars that are gravitatinally bound together mkuu.
Mkuu samahani niko mbali na dictionary fafanua
Ha haa,poa mkuu yan ni kuwa,jua ni nyota km zilivo nyota nyingine ila sio zile za usiku tofauti yake na hizi nyingne ni size yake,tungamo na umbali toka dunia. Jua ikiungana na hizo nyota zingine kwa mvuto wa gravity ndio zinaitwa galaxy.
Kwa hiyo tofauti ya solar system na galaxy ikoje mwalimu
Me sio mwalimu,tofauti yake ni kuwa solar system ni mfumo unaohusisha sayari zinapolizunguka jua kwenye mihimili yake wakat galaxy inazungumzia jinsi nyota likiwemo jua zilivyojiunga kwa pamoja kwa nguvu ya uvutano(gravity) nadhani kidogo umenipata.
Asante,,hapo nimekumaya....
mxyo16 theory ya relativity huwa inanichanganya sana. huwa nawaza kichwa cha Albert Einstein sipati majibu. kabisa
Aiseee!. Nilikuwa nasoma huu uzi nilipofika hapo ulipoandika kuhusu mwisho wa uwepo wa jua na Dunia itakavyotoweka ghafla hapa nilipo kuna mtu akafungua mlango kwa nguvu nilivyoshtukaaa!. Kijasho kimenitoka. Mambo yanatisha haya.
Ila nakushukuru sana kwa Elimu unayotoa nimejifunza sana.
mxyo16 theory ya relativity huwa inanichanganya sana. huwa nawaza kichwa cha Albert Einstein sipati majibu. kabisa
hahaha kama nakuona hiviii ukitype comment hii huku vidole vina tetemeka
mxyo16 theory ya relativity huwa inanichanganya sana. huwa nawaza kichwa cha Albert Einstein sipati majibu. kabisa
Camera maalumu zinaweza kulipiga picha na kupata mwonekano wake halisi wa ardhi yake bila ule mwanga mkali tusioweza kuona kwa macho. Ile surface ni moto full-time na pia milipuko ambayo hua inauwezo kuathiri maisha yetu ya kilasiku...kama mawasiliano, setelites umeme etc.
![]()