Tayari keshapost

Tayari keshapost

mbeleee-660x400.jpg
Nini hii?
 
kwa
Ukawa mnaboa sana kwa chuki zenu, tunaona Wabunge wa Chadema, katika page zao wanapost kila wanachofanya... Sio tatizo, ikifanywa na wa CCM.. Inakua nongwa.. Siasa haiko hivyo punguzeni chuki na Husda

Tena Wabunge wa ukawa walikua wanajirekodi na kupost bungeni
ni hii post ina chuki gani kwa mfano ama wewe ndo unachuki na ukawa?
 
Amiri jeshi mkuu alivaa za JWTZ kule Arusha, Mwigulu kavaa za polisi TMK,....Nasubiri kumwona Ummy kavaa za manesi pale Muhimbili!
Amiri Jeshi Mkuu anaweza kuwa exempted kwa nafasi yake, lakini waziri wa ulinzi si askari.
 
Naifahamu vizuri icho unachonambia. Nikuletee gwanda uvae? Itakuwa ni petty staff. Who cares?
1998 nikiwa kijana mdogo kabisa pale monduli arusha niliapishwa na kupewa nyota na william mkapa so kwangu itafika mahala pake kabisa, ndio maana bado ninalo la kusema kua ni petty staff
 
Wakale walipopeleka mboga.
Huwezi kuwatetea Ccm halafu ukasema tushirikiane kutoa taarifa za kialifu.
 
1998 nikiwa kijana mdogo kabisa pale monduli arusha niliapishwa na kupewa nyota na william mkapa so kwangu itafika mahala pake kabisa, ndio maana bado ninalo la kusema kua ni petty staff
Hahaha mkuu sitaki kubishana. I have a lot of staff to do. Let's end it here. Mwigulu amefanya kosa. Na lazima tuongee. Na usitumie msemo wa petty staff ktk swala kama hilo . anayeshindwa pia ni mwanaume. Tchaoo
 
Back
Top Bottom