Tayari keshapost

Tayari keshapost

Jale ka utepe huwaga kimeandikwa POLICE LINE DONOT CROSS sasa hapo kwenye gari vipi??
 
Mkuu nimecheka sana. Iyo ya kigwangalla. Ila mwisho wa Siku tujitathmini hawa viongozi na drama zao za awamu hii ya tano . zina mantiki IPI MTU wa 41yrs mwigulu kufanya show off kama zile aoni aibu.?

Anafanya show kwenye vitu serious, tena watu wamekufa na Silaha imepotea
 
Mungu wangu hivi unaelewa dhana ya uwajibikaji kweli wewe?
Hoja zangu zinaweza kuwa za kijinga kwa mtazamo wako lakini haziwezi kuzidi ujinga wa kuacha kufanya kazi husika na kuanza kupost kwenye address binafsi! Kwani alishindwa kusubiri mpaka asubuhi?
Hebu niambie kupost kwake kuna manufaa gani katika jamii?

Kazi husika ya waziri kwenye hilo tukio usiku huo ilikuwa Ni ipi? Nifahamishe.

Kwa hiyo angepost asubuhi ndiyo angetekeleza dhana ya uwajibikaji?

Hiyo dhana imeandikwa kwenye kitabu kipi nikaisome nione kama imekiukwa?

Kweli huoni manufaa ya hiyo taarifa au unaleta ujuaji tu? Huoni hata huo wito? Hujui manufaa ya taarifa yoyote ile huwa Ni nini?

Hata kama ni chuki za kisiasa zisiwapofushe akili kiasi hicho.

Kama huoni lengo la hii taarifa kutolewa usiku ule maanake it wasn't meant for you.
 
"Natoa rai hao wahalifu wajisalimishe."
aiseee!!!! only in Tz
 
Hata mimi nimeshangaa kumuona mwigulu kavaa uniform za polisi!!! Ni mara yangu ya kwanza kuona waziri mwenye cheo cha kisiasa tu kavaa sate za jeshi.
ze comedy wajitetee pia mbona huyu kavaa na hana sifa ya kuvaa
 
Kazi husika ya waziri kwenye hilo tukio usiku huo ilikuwa Ni ipi? Nifahamishe.

Kwa hiyo angepost asubuhi ndiyo angetekeleza dhana ya uwajibikaji?

Hiyo dhana imeandikwa kwenye kitabu kipi nikaisome nione kama imekiukwa?

Kweli huoni manufaa ya hiyo taarifa au unaleta ujuaji tu? Huoni hata huo wito? Hujui manufaa ya taarifa yoyote ile huwa Ni nini?

Hata kama ni chuki za kisiasa zisiwapofushe akili kiasi hicho.

Kama huoni lengo la hii taarifa kutolewa usiku ule maanake it wasn't meant for you.
Hivi unajielewa au unajitambua kweli wewe? Hiyo ilikuwa ni kazi ya wanahabari sio ya waziri kwenda kupost kwenye address binafsi? Dhana ya uwajibikaji ni kukaa na viongozi wengine na kuangalia nini cha kufanya sio kukimbilia kupost!
Kumbuka hicho ni cheo cha serikali na yeye sio group admn wa mtandao wa kijamii
Nini maana ya kuwa na sekretary?
 
Huyu anastahili kukamatwa kama Orijino Comedy waliokamatwa kwa kuvaa nguo zinazofanana na za polisi wakati wao sio polisi
 
Hivi unajielewa au unajitambua kweli wewe? Hiyo ilikuwa ni kazi ya wanahabari sio ya waziri kwenda kupost kwenye address binafsi? Dhana ya uwajibikaji ni kukaa na viongozi wengine na kuangalia nini cha kufanya sio kukimbilia kupost!
Kumbuka hicho ni cheo cha serikali na yeye sio group admn wa mtandao wa kijamii
Nini maana ya kuwa na sekretary?

Una matatizo ya akili.

Weka kifungu cha sheria kinachomkataza kuposti kwenye address yake binafsi.

Kwani kupost picha ni masaa mangapi mpaka Kumzuie kujadiliana na viongozi wenzake? Hujamuona akiongea na Siro usiku huo?

Hizi ni chuki tu hakuna kingine zama hizi kila mwenye access na internet ni mwanahabari as long as ana muda na interests za kufanya hivyo.

Duniani kote viongozi wanawasiliana na wananchi wao kupitia address zao binafsi wakitaka,unadhani wewe pekee ndiye unajua kuwa hiyo ni kazi ya wanahabari?

Kamshitaki basi!!!

Acha wivu wa kike.
 
huu mchezo hautaki hasira...halafu si vema kuwadhalilisha wanawake! Kasome tena kanuni za uongozi bora na dhana nzima ya kuwajibika
Nijibu swali hili post yake kwenye akaunti yake mtandaoni imesaidiaje wahanga na kwenye harakati za kuwakamata majambazi...usijibu kwa haraka tafakari kwanza
 
no katika hilo kaka mshana nakukatalia,media zimepost lakini yy kama waziri mwenye dhamana lazima apost ili kututhibishia wananchi kwan vyombo vya habari siku hz vimekosa weledi vinatumika kisiasa,binafsi sioni hata haja ya kufungua uzi eti kisa waziri amepost hili tukio
Nikwambie kitu ile haikuwa karamu wala sherehe ya washkaji harusi nk ambapo mtu katikati ya sherehe anaweza kutupia na hata kupiga selfie
Pale yameteketea maisha ya askari wetu vijana wetu tuliotumia kodi zetu kuwatrain...kumbuka ni ishu ya ujambazi very sensitive one!
Ni haki yake kutupia lakini ni sahihi kwa wakati ule!!!
Hivi kipaumbele ilikuwa ni kutupia ama kuangalia nini cha kufanya baada ya tukio kama lile?
 
Kuna wasiwasi baraza la safari hii limekaa ki-comedy zaidi. Nadhani hili ni tukio la ghafla na hata Kamanda Sirro amevaa ki-emergency zaidi lakini Mheshimiwa duh.......................asalaleeeeeeeeeeeeeee

Anyway......Ndugu zangu Ma-py hali ya uchumi sasa ni ngumu sana na watu weng sana wamezibiwa njia walizozoea kupata hela i.e kuna thread humu kuwa mabaa yanafungwa n.k......yaani biashara zinadoda so ni VIZURI MKIWEKEZA SANA KWENYE INTELLIGENCE.

Wazungu wanasema " A hungry Man is an Angry Man". Ukimbana sana paka chumbani na milango na madirisha vimefungwa, atakachokufanya kitakuwa siri yako.

Poleni sana wafiwa na mliotangulia mpumzike kwa Amani.
 
Back
Top Bottom