Tayari keshapost

Tayari keshapost

image-jpeg.365540

Basi na huyu aruhusiwe tu kuvaa mavazi haya.
 
Mshana ndugu yangu haya maigizo mwisho lini. Sina CV yake ila nahisi hana mafunzo ya kuwa Askari wala namba hana. He viongozi wataacha lini hizi drama. Kuvaa ivyo ni kwaajili ya nini? Wananchi wanawatazama. Wanaiwaiga wanapelekwa polisi ila wao wanatazamwa. Shame on them. Sheria ni msumeno.... Tujitahidi kupata maelezo mantiki ya kuvaa izo nguo ulikuwa ni IPI?
Swali la muhimu ni je kulikua na ulazima gani wa kuvaaa hivyo na kwenda kwenye tukio?
 
Swali la muhimu ni je kulikua na ulazima gani wa kuvaaa hivyo na kwenda kwenye tukio?
Nadhani angevaa tu kofia ngumu na bullet proof. Ktk nguo zake za kawaida. Hivyo ndivyo alitakiwa afanye... Ila yeye kajipa ujiko kuonekana na yeye ni mzee wa "VUNJA UKUTA" mkuu tushikamane tuone kulikuwa na umuhimu gani mwigulu nchemba kuvaa vile?
 
upload_2016-8-24_6-52-35.jpeg

wafutiwe kesi, kumbe kama comedians wanaruhusiwa kuzivaa.
 
Attachments

  • upload_2016-8-24_6-52-23.jpeg
    upload_2016-8-24_6-52-23.jpeg
    9.3 KB · Views: 30
Mnadiscuss mavazi tena aaah wazee hizo ni petty staff hasa katika nchi kma hii, lililo kubwa hapo ni uwajibikaji juu ya kudhibiti matukio kama hayo.
Hali si shwari kabisa na huo ni mwanzo tu kama unakumbuka matukio ya kupora silaha. Rai yangu ni kwamba mufahamu bwawa la kijiji tayari lina ruba wengi sana sasa wandugu muwe makini katika mikusanyiko,na sehemu za starehe maana hili si swala la kubeza kabisa, lolote linaweza tokea.
Mtandao ni mkubwa na haya mambo hayafanyiki kiolela yamepangwa kama mnakumbuka waliaanza kwa kuiba silaha pembezoni mwa miji sasa wanazidi kuhakikisha wanatimiza hatma yao ambayo mimi wala wewe hatuijui isipokua mshindo lazima ufate.
 
Mj. Tupo pamoja kulaani uharamia huu. Hili halikubaliki hata kidogo . Mungu awape nafuu majeruhi.
Ila mheshimiwa wetu mtukufu..sasa hivi ukiangalia comments za watu mbali mbali kwenye media na mitaani utagundua uhusiano wa polisi na raia imeshuku sana. Rating ioo chini kuliko wakati wowote.
Nadhani inahitajika PR strategy kurejesha uhusiano mwema . Mmeligeuza mnoo jeshi letu kuwa kitengo cha siasa hii ni hatari.
Tip za raia ni muhimu sana katika kukabiliana na uhalifu. Na mara nyingi katika taarifa za kipolisi utasikia tumepata taarifa kutoka kwa raia wema...hiii ilikua ishara ya mahusiano mema.. Bila ya mahusiano raia wema watakaa kimya...
Tulirejeshe jeshi letu mahali pake kama slogan yake inavo sema "Usalama wa Raia"
Hii shida ipo ya kupungua imani na jeshi la polisi na wao hawawezi kuwapo kila mahali lakini raia wema wenye moyo wanaweza kutoa tip kama zamani...kuwashirikisha na kuwa nao bila ya kuwatisha au kuwatia woga raia wema bila ya shaka mayukio kama haya yataepukwa.
Hili ni la kuangaliwa na jeshi letu kujipima na kujiridhisha kuwa mahusiano yake na raia yawe juu always.
Pole kwa wafia wote ... Yuna imani wahalifu hawa wata amatwa
 
Mnadiscuss mavazi tena aaah wazee hizo ni petty staff hasa katika nchi kma hii lililo kubwa hapo ni uwajibikaji juu ya kudhibiti matukio kama hayo
Hali si shwari kabisa na huo ni mwanzo tu kama unakumbuka matukio ya kupora silaha rai yangu ni kwamba mufahamu bwawa la kijiji tayari lina ruba wengi sana sasa wandugu muwe makini katika mikusanyiko,na sehemu za starehe maana hili si swala la kubeza kabisa, lolote linaweza tokea .
Mtandao ni mkubwa na haya mambo hayafanyiki kiolela yamepangwa kama mnakumbuka waliaanza kwa kuiba silaha pembezoni mwa miji sasa wanazidi kuhakikisha wanatimiza hatma yao ambayo mimi wala wewe hatuijui isipokua mshindo lazima ufate.
Mkuu mavazi ni petty staff right? Haikuwa Ni headlines Siku chache zilizopita na Ku sema kuwa jeshi linadhalilishwa na ze comedy. Sasa iweje bila sababu maalum mwigulu kuvaa vile. Kulikuwa na umuhimu kiasi gani. Ye akuona ingelikuwa hatari zaidi? Wangemuua je??
 
Sijui kama umesoma zaid ya mara moja nilicho andika... Watu wa4 wamekufa kwa tukio la uporaji siraha sio mamillion ya pesa... Bado kuna taadhari kubwa inayokuhusu ata wewe
 
Ukawa kwa NONGWAAAA... chadema wanavaa za mgambo hakuna aneyehoji
 
Sijui kama umesoma zaid ya mara moja nilicho andika... Watu wa4 wamekufa kwa tukio la uporaji siraha sio mamillion ya pesa... Bado kuna taadhari kubwa inayokuhusu ata wewe
Naishi mbagala. Karibu na eneo la tukio nimepata info zote. Na kuna wanaonihusu ktk walojeruhiwa. In short I know in and out ya tukio zima. Sasa swali langu lijibu kulikuwa na umuhimu gani mwigulu kuvaa vile
 
Kukaa huko sio shida mmoja kati ya waliokufa yani dereva ni rafiki yangu mi naishi hapa azam complex so bado haizuii kusema izo nguo ni petty staff nilichopost awali kama kina kufaa chukua kama hakikufai acha ila nikutaazalishe zaidi kua mbande na chamazi kwa sasa ni moja ya sehemu wanazoishi majambazi wengi (mafichoni)..
Nikuombe urudie kusoma nilicho post awali kitakusaidia ata wewe.
 
Ukawa mnaboa sana kwa chuki zenu, tunaona Wabunge wa Chadema, katika page zao wanapost kila wanachofanya... Sio tatizo, ikifanywa na wa CCM.. Inakua nongwa.. Siasa haiko hivyo punguzeni chuki na Husda

Tena Wabunge wa ukawa walikua wanajirekodi na kupost bungeni
 
Kukaa huko sio shida mmoja kati ya waliokufa yani dereva ni rafiki yangu mi naishi hapa azam complex so bado haizuii kusema izo nguo ni petty staff nilichopost awali kama kina kufaa chukua kama hakikufai acha ila nikutaazalishe zaidi kua mbande na chamazi kwa sasa ni moja ya sehemu wanazoishi majambazi wengi (mafichoni)..
Nikuombe urudie kusoma nilicho post awali kitakusaidia ata wewe.
Naifahamu vizuri icho unachonambia. Nikuletee gwanda uvae? Itakuwa ni petty staff. Who cares?
 
Kwa hiyo kama asingeandika majambazi yasingetokomea?

Kwani kazi ya waziri ni kufukuza majambazi?

Kuna hoja zingine za kijinga sana humu.
Mungu wangu hivi unaelewa dhana ya uwajibikaji kweli wewe?
Hoja zangu zinaweza kuwa za kijinga kwa mtazamo wako lakini haziwezi kuzidi ujinga wa kuacha kufanya kazi husika na kuanza kupost kwenye address binafsi! Kwani alishindwa kusubiri mpaka asubuhi?
Hebu niambie kupost kwake kuna manufaa gani katika jamii?
 
Back
Top Bottom