Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,102
- 828,960
- Thread starter
- #101
Adharusi naona tumekuwa na mitazamo inayokinzana kwenye hili ila mgambo ni majority na kwenye majeshi rasmi hayatambuliki kwenye rank yoyote lakini hapa tunachoji ni mtu mmoja mwenye dhamana ya cheo cha kisiasa kuvaa nguo za majeshiUkawa kwa NONGWAAAA... chadema wanavaa za mgambo hakuna aneyehoji