Tayari keshapost

Tayari keshapost

na wale wafanya mazoez kwa ajili ya kulinda amani wanatutisha mtaani wapo wapi. haha kwel kisu huliwa na kutu binadam huliwa na mtu. this country need diplomatic and wiser leaders
 
Hahaha mkuu sitaki kubishana. I have a lot of staff to do. Let's end it here. Mwigulu amefanya kosa. Na lazima tuongee. Na usitumie msemo wa petty staff ktk swala kama hilo . anayeshindwa pia ni mwanaume. Tchaoo
Hukuelewa my take ilikua usalama zaidi..labda niulize ikiwa aliyekufa ni mama ako au mke wako ungekua busy kujudge hayo na unajudge hayo kama nani?? Sasa nafikiri umenielewa bwa mdogo
 
Chagadema kwa kupinga na kukosoa kila kitu nawakubali. Sitashangaa siku mtu akapost kuwa mbowe ni m/ kiti wa cdm na watu wakapinga
 
no katika hilo kaka mshana nakukatalia,media zimepost lakini yy kama waziri mwenye dhamana lazima apost ili kututhibishia wananchi kwan vyombo vya habari siku hz vimekosa weledi vinatumika kisiasa,binafsi sioni hata haja ya kufungua uzi eti kisa waziri amepost hili tukio
 
Hata mimi nimeshangaa kumuona mwigulu kavaa uniform za polisi!!! Ni mara yangu ya kwanza kuona waziri mwenye cheo cha kisiasa tu kavaa sate za jeshi.
mbona alivokuwa anavaa zile za mgambo hamkuhoji? punguzeni hoja zisizo na tija kwa maendeleo ya taifa
 
media relations.. hawa viongozi wanapenda mauzo utafikiri ni maafisa uhusiano, masoko na habari wa makampuni ya simu
 
Kisheria anaruhusiwa kuvaa hizi nguo au anaiga za comedy?

View attachment 386735View attachment 386736View attachment 386737

Kaka hii nchi haita isha maigizo kamwe?, maana inanikumbusha Kigwangala aliamka saa kumi na moja kwenda kufunga geti Wizara ya Afya huku akiwa na suti nyeupe na rundo la waandishi wa habari na waandishi wakaripoti ilikuwa ni ziara ya kustukiza,

Sasa sijui huyu bwana mkubwa alikuwa anajua hilo tukio?, maana sipati picha iweje akurupuke huo usiku akiwa ndani ya uniform? nasubiri kumuona na uniform za uhamiaji siku wahamiaji haramu wakikamatwa au uniform za Magereza siku wafungwa wakigoma, au uniform za Zimamoto siku tukio kubwa la moto likitokea

Cc: mshana jr
 
Hahaha pathetic
Hawa jamaa wamejiandaa kupambana na UKUTA wakati wanasahau kuwa UKUTA NI UKUTA NA UTABAKI NI UKUTA. intekijinsia yao mwisho wa kuona ni UKUTA Mengineyo kama hayo ya kupoteza wajeda wenzao hiyo inteLijinsia yao haifanyi kazi kabsaa.
SHWAIN.....

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nimecheka sana. Iyo ya kigwangalla. Ila mwisho wa Siku tujitathmini hawa viongozi na drama zao za awamu hii ya tano . zina mantiki IPI MTU wa 41yrs mwigulu kufanya show off kama zile aoni aibu.?
 
Hawa jamaa wamejiandaa kupambana na UKUTA wakati wanasahau kuwa UKUTA NI UKUTA NA UTABAKI NI UKUTA. intekijinsia yao mwisho wa kuona ni UKUTA Mengineyo kama hayo ya kupoteza wajeda wenzao hiyo inteLijinsia yao haifanyi kazi kabsaa.
SHWAIN.....

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Duh mkuu inasikitisha
 
tatizo ccm siasa nyingi,mambo ya msingi siasa..!!sasa hapa vijana wa watu wameondolewa uhai kwa kazi ya serikali huyu kiongozi wa serikali analeta siasa..!!kulikuwa na ulazima gani kuvaa gwanda za jeshi la polisi,badala ya kutoa neno lakijeshi linaloendana na magwanda aliyo vaa ,analeta mambo yakina wema sepetu na joti..Nilitegemea kusikia toka kwa serikali kulingana na mwendelezo wamatukio ya namna hiyo,who do they suspect?why do this happening frequently?yaani jeshi zima na wizara tangia haya matukio ya vijana walinzi wa serikali kuuawa sijawahi kusikia wakimtaja adui yao zaidi ya kusema majambazi,alafu hao majambazi wakishawauwa nakuwapora silaha wanapeleka wapi??mbona hawachukui chochote eneo la tukio?je polisi inakiri kuwa inteligensia yake iko weak kiasi cha matukio yaleyale kutokea mara kwa mara?Sasa tuendelee kuamini kuwa jeshi la polisi ni imara kupambana na raia wasio na silaha na nidhaifu kwa majambazi yaliyo na silaha kama zao!! first time kama waziri ,Mwigulu kafail na hii inadhihirisha kauli zake za kibabe na vitisho ni kwa ajili ya raia wema wanao pinga uvunjwanji wa sheria unaofanywa na serikali ya awamu ya tano,ila ni serikali dhaifu ambayo haijapata kutokea katika tawala zote zilizo pita Tanzania..!! What we need as a Nation is not only the reshuffle of Police force department to bring in ccm skippers to the force,but to have a professional police force with all qualities of security intelligence in all levels, not only the intelligence of shutdown UKAWA movements..!!(Elimu,ELimu,Elimu)
 
mbona alivokuwa anavaa zile za mgambo hamkuhoji? punguzeni hoja zisizo na tija kwa maendeleo ya taifa
Sikuziona picha ambazo alikua amevaa sare za mgambo ndiyo maana nimehoji sasa na pia sidhani kama kuhoji kuna athiri shughuli zozote za maendeleo ya taifa.
 
Wamasai wengi wanakuwa masterminded. Wewe mbona hivyo . I have a lot of doubts. Kaka
Naitwa soori james kitoi, doubts hazipingwi kuwa nazo ni muhimu wakati mwingine ila nakuhasa tu kama ME mwenzangu tena mtanzania mwenye damu 'fuata ndugu' kwasasa ukiwa busy kujudge sijui flani kavaa nini wakati nchi inakwenda mlama unachekesha,tena sana, ni sawa mwanao apate car accident af uwe busy kuchagua dr wa kumtibu... Najua waTz tunapenda tujue kila kitu wakati mwingine wepesi kutafuta point of weakness na kusahau mambo ya msingi yaliyofanyika au yanayopaswa kufanyika ndio maana kunawakati ata wewe ungekua sehemu ya mtazamwa na sisi wananchi wenye hila yaani sisi watanzania wenzio tungekuona unatupotezea muda karibu in kila kitu,,, so kuna wakati lets focus in things that matter. Mwanao anaitaji emmediate care unit shauri Hospital ipi na dr yupi anafaa SIMPLE!
 
Futa jina lako. Mengine umeeleweka. Siku njema mkuu
 
Back
Top Bottom