kuna shape zingine jmani khaa!Jamani mi ile tatoo ya Aminata9 inanitoa roho, sijui wengine mwaonaje
Leo nimeamua kuanza na kadogo, pole pole nitaongeza mgongo wote
Hapa nikiwa milimani city, with my new outfit: naonesha kidogo tu.
Wanaume waliniangalia sana na macho ya tamaa, nikajifanya siwaoni
View attachment 51160
Haya ndio mambo ya siku hizi. tunaenda na wakatiha ha ha ha, Mwali nani kakuambukiza akili hizi?
Utapoteza point sasa hivi.
Hiyo ilikua kubwa kidogo, nikashonea mwenyewe mifuko pale mapajaniSasa cha kuvaa kikaptula cha mdogo wako? Uliomba ruhusa ama ulimuibia? Mwali wa kucharazwa mboko wewe sasa!
Sasa cha kuvaa kikaptula cha mdogo wako? Uliomba ruhusa ama ulimuibia? Mwali wa kucharazwa mboko wewe sasa!
kuna shape zingine jmani khaa!
Vya kuchunguliana tena? Usisababishe tuvunje mkataba mapema.
Basi nichungulie ila nisijue kabisa,
kama ninavo kuchunguliaga bila wewe kua na habari