Blaki Womani Vin Diesel na sweetlady..nimearifiwa mmenitaja sana humu ndani na mai waifu wangu Catherine...
tafadhalini kama mmetumwa kunivunjia ndoa mshindwe na mlegeZe!
yupo kwenye maandalizi kumpokea sweetlady.... ameomba ruhusa job kwa ajili hiyo nitakukaribisha kwa party
Jamani morning humu ndani?? Nimepewa dozi na hubby weekend ikawa fup, ndio haswa nanawa uso nje nawasikia majirani wakiongelea huu mswada mpya, kulikoni sweetlady? jamani imekuaje tena na Vin Diesel? hubby wangu mi luv u, lol!
Hakikisha unamwalika na Vin Diesel kwenye hiyo party.....aje ajionee !
Hajakimbia yupo mpendwa si unajua ndoa imeanza upya eeh!
Jiulize,tupo wangapi?
Wifi niamini mimi jamani lol
Siyo ya kweli!
Hahahaha sijarogwa na yeyote.....wewe dawa zako ndio zimechuja tehe!
wifi yangu nakuamini najua wanakupakazia watu kwa fitina wengine masista wa Vin Diesel wanoko kweli