Du!..sometimes kuwa mwanamme ni kazi sana, ukikosa nguvu mtu unajisikiaje?
.. bila kusahau kipande cha mhogo mbichi. pia lazima na demu awe mzuri, msafi, anayejua jinsi ya kuyatembelea maeneo muhimu lazima ngoma itajibu na itakuwa ngangari kinoma!Amjui kitu ,mineno mingi tu ,kwa ufupi kabisa hakuna kitu au kirutubisho kama kalanga au kwa wengine wanaziita njugu nyasa ,hizo ndio hadi sasa zinaongoza yaani ni nambari wani kabisa ,yaani kama huamini jaribu kula robo kilo kwa siku nzima alafu nisikilisie siku inayofuata. Kama hazikukusaidia basi mwone daktari.
wajameni tunaulizia kwa wataalamu wa jf dawa gani za kuongeza mbegu za kiume yaani idadi zake na kuongeza nguvu za kiume ukiacha viagra,tuwe serious kutoa msaada
wasaalamu
Ayatollah M'HALISI
mazee, ni majani yake siyo hile nyama ya ndani, mie jana nimetengeneza juisi ya majani ni kweli ilikuwa tofauti na kawaida jaribuni nanyi hili muone.
Title imekosewa ni ''DAWA YA MAPENZI YA KIUME'' nguvu za kiume ni kubeba lumbesa