Nakushauri ungeibandika hapa kwenye uzi huu huu ili wengi wapate maarifa.
Sawa mkuu ngoja niandike hapa naweletea tiba ambayo inatibu kwa utaratbu jaman sio busta kwamba ukinywa saiz kesho inafanya kazi no hii inaenda taratibu
Naweletea ua linaitwa periwinkle au kikwetu kwetu linaitwa star of jerusalem ntaatach picha ili muone msijali
So tatzo la upungufu wa nguvu za kiume linapompata mwanaume yoyote automatically kisaikolojia mtu huyu hawi sawa maana ili tukuite mwanaume inatakiwa uweze kuperform kama mwanaume
Katika tiba hii ninayowapa itatakiwa uwe na peke za parachichi kile kitunda Cha parachichi asali mbichi tangawizi na ilo ilo ua tajwa apo juu
Soma kwa makini tafadhali
Tafuta ilo ua nililokutajia kachimbe chimbe upate kamzizi ukichimba vipo juu juu tu utaviona chagua kinene kinene Kama lipo nyumban kichimbe jion kitunze mala nyingi wengi wetu mida ya sa kumi tunakua macho ukishtuka mda uo chukua iko kimzizi ulichokichimba kata kadogo sana kama urefu wa kucha ako ya kidole n kachungu mno aisee mnoo katafune kaishe kote na umeze everything kazi ya iki kimzizi kwa upande wa ubongo
(increasing blood circulation in the brain, supporting brain metabolism, increasing mental productivity, preventing memory and concentration problems and feebleness, improving memory and thinking ability, and preventing early aging of brain cells).
Lakin katika uume kimzizi iki kinasaidia katika kuboresha misuli ya uume wako na kusafisha njia za mkojo endapo mkojo wako una shida
Pia kinasaidia kama una sukari vidonda vya tumbo kitambi na mengine mengi
NB KIMZIZI IKI KINATAFUNWA KWA KULUKA SIKU YAAN UKITAFUNA JUMATATU UNALUKA UNATAFUNA JUMANNE THEN ALHAMISI JUMASOSI NK
HII NI SABABU KINA NGUVU SANA
So io sa kumi alfajiri ukiwa una kitafuna iambie akili ako uume wangu umepona na utafanya kazi kwa nguvu zile nilizopewa na Mungu hii inasaidia sana trust me by the way ua hili kiasili kwa wazee wa zamani ukiwa unalitafuna huku unaongea Jambo,Jambo hilo hutimia lakin hayo n ya wahenga
Ok naendelea after that kama unalala endelea na usingizi wako kama n mazoez whatever ila baada ya masaa mawili chemsha maji lita moja na nusu yachemke kama chai ipua weka kwenye jagi then chukua unga wa mbegu za parachichi kijiko kimoja Cha chai kijae vzur unga huu utengeneze mwenyewe usinunue wa dukani unaweza kua umekaa sana nenda sokoni kwa wale wamama wauza maparachichi wakuuzie zile mbegu za parachichi ukishanunua katakata vidogo vidogo then saga kwenye Brenda adi upatikane unga laini sana tunza uo unga kwenye chombo kisafi chenye mfuniko kama huna Brenda tumia Cha kusugulia nyanya kule kwenye meno madogo
Ukishakua umechemsha maji ako umeweka kwenye jagi nilisema weka kijiko kimoja Cha unga wa parachichi then chukua vijiko viwili vya asali mbichi usidanganywe asali mbichi haigandi inamiminika kama mafuta
Then menya tangawizi mbichi sugulia mwenye uo mchanganyiko tangawizi iwe hata urefu wa dole gumba jaman tangawizi haina kipimo najaribu tu kulezea koroga vzur na kijiko viache vijichanganye ata kwa dakika kumi then anza kunywa na umalize maji yote after half an hour unaruhusuwa kunywa breakfast
NB Maji ya uo mchanganyiko ni Kila siku
Zoezi hili nenda nalo for two weeks ukiomba na kuamin kwa iman ako after two weeks acha kutumia ako kamzizi chuma majani ya ilo ua yaanike yakauke vzuri yapikiche yawe kama majani ya chai aya majani uwe unachanganyia kwenye ule mchanganyiko wako wako wa maji asali ,unga wa parachichi na tangawizi unaweka kidogo sana yaan kuna tuvijiko twa kuungia sukari tudogo Sana tumia tule tena kasijae system ni ile ile unaweka kwa KULUKA SIKU MOJA AYO MAJANI tumia tena kwa wiki mbili zingine yan utakua umeisha mwezi check if there are any changes kama zipo acha kutumia ilo ua endelea tu kunywa maji ya asali unga wa parachichi na tangawizi kila siku mpaka utakapojiona uko vzur
Kama hakutakua na any changes kwa mwezi mmoja pm me Kila kitu ntakujibu pm no phone numbers no kujuana ID BUREE kabisa
NB unapotumia dawa hii usinywe pombe kama mnashindana usitumie vileo vyovyote sigala ugolo nk
Kuhusu unene io mixture inasaidia sana kupunguza unene but usiache mazoez
Usiwe na mwanamke asie jielewa ambae anatumika kwengi na Kila siku anakuletea stress be with someone who makes you stress free pia anaweza kuletea STD ambayo hatuitaki wakati wa tiba
Epuka sana maZingira ya kuudhiwa na kama hayaepukiku Lear to control your temper google how to control my temper nadhan utapata chochote
Perhaps io hali ilikunyima confidence ukaamua kua mlevi kupotezea try this na hautajutia kabsa
NB picha itakuja
Please ili ua lina nguvu sana usitumie mengi tumia ivo nilivokuelekeza utapona kabisa katika yote usiache kumtaja Mungu
Nawapenda all da best