October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 4,997
Hahahivi hizi akili za kuandika haya bila kufikiria huwa mnazitoa wapi?
Portfolio | 2020
Hahahivi hizi akili za kuandika haya bila kufikiria huwa mnazitoa wapi?
Basi wakae wasubiri za mshahara mkubwahivi hizi akili za kuandika haya bila kufikiria huwa mnazitoa wapi?
umesoma vizuri ulichoandika, na nani kakuambia mimi ni mmoja wa hao unaowazungumzia?Basi wakae wasubiri za mshahara mkubwa
Sikatai wapo wanaobahatika kupata straight ila wengi u need to start from somewhere
mtaji huna na nguvu huna pia sio?.
Sijakutajaumesoma vizuri ulichoandika, na nani kakuambia mimi ni mmoja wa hao unaowazungumzia?
Dah!hii ya you tube kulipia hela inauma sana bora alogundua you tube angefanya hivyo lakin sio hawa tcra.Dunia ya leo vyanzo vya ajira ni vingi sana kama vikiruhusiwa vijana wajipambanue kusaka fursa za kidunia ambazo ni pana zaidi kuliko tu fursa twa restricted area (yani Tanzania pekee) hapo ndo unakutana na msaada wa kiteknolojia sasa ambao vijana uzuri wake wana uelewa nao mzuri sana mfano instgram kuigeuza kuwa vipato, blogs, youtube, affiliate marketing, forex or commodities trading, etc hizi dunia za wenzetu zina watu wamewekeza na wanapiga hela maisha yanaenda ......njoo kwetu sasa kijana hata ki channel cha youtube na blog anaombwa akatie leseni kwa laki kadhaa nadhani utajua kiwango chetu cha kufikiri kilivyo haba.View attachment 1311176
Note: Vijana wa kitanzania watadumu kuwa maskini tu kwa aina ya sera na miongozo inayo fanywa na walioshiba salary slip.
Mwaka wa tano tangia nipate digrii sasa no ajira but maisha yanaenda.
Umesomea nn?Mwaka wa tano tangia nipate digrii sasa no ajira but maisha yanaenda.
Usidanganyike ukashawishiwa uwe mercenary. Utafanywa hamna halafu ndio utajua hujuiMwaka wa tano tangia nipate digrii sasa no ajira but maisha yanaenda.