Tatizo la Rais Magufuli ni hili

Tatizo la Rais Magufuli ni hili

Tatizo umezoea dili, kwa hiyo aendelee kuzurura, ahachane na wafanyakazi hewa watafune hela zetu, aliyekuambia serikali anaajiri wahitimu wote ni nani??? NAKUULIZA????? Kama tuna wahitimu ambao hawawezi kutumia ujuzi wao kupambana na mazingira wanayoishi wanasubiri ajira ya serikali! Maendeleo yatakuwa mbali sana
Ndugu yangu wewe hii mada ni kubwa sana kwako yaani imekuzidi umri mbali kabisa nadhani ni zaid ya mara nane ya umri wako .
 
Sio kweli kwamba dawa hakuna ispokuwa mnamfanyia hujuma ili aonekane mbaya mbele ya waliomtangulia kila kitu kitakuwa sawa kwa sasahivi muacheni asafishe uchafu alioukuta kwanza hii nchi imeoza ilikuwa ni shamba la bibi,Mfano:Wafanyakazi hewa,vyeti feki,wanafunzi feki kuanzia msingi mpaka chuo kikuu,hawa wote wakati wa jk walikuwa wanalipwa hivyo sio kwamba serikali haina hela but anaondoa uozo kwanza next term.mtafurahi.
 
Hayo ni mawazo mgando nikikuuliza mfumo gani huo. Sheria ziko wazi na zimejengwa tangia muda mrefu. Kwani magu anafanya vitu ambavyo vipo nje ya sheria. Cha msingi ni kusimamia sheria zilizopo. Acheni kudanganywa na wanasiasa someni muelewe itawasaidia sana
Alipoomba urais, alitembea na ilani ya uchaguzi na ilani hiyo ilikuwa na vipaumbele, haya anayoyafanya leo ndio yalikuwa ya kipaumbele ktk ilani hiyo ya uchaguzi ????!!!
Hapo ndipo tuliposema mihemuko tuelewe.
 
Kwani mkuu akiongeza mshahara na kutoa ajira watu si watakuw wanatumia pesa zao kiuhalali. Sasa kuzuia nyongeza ya mshahara na kuzuia kama sio kuondoa ajira mpya ni kuzuia upigaji wa dili. I don't know what the hell is this who claims himself to be a saint? Foolish!
Well said mkuu, huwa sometimes najiuliza au kuna surprise mkuu anatuandalia? au anataka watanzania tujue umuhimu wa kutumia pesa kwa mambo ya msingi tu?(Japo kwa hili amefanikiwa kwa 80% sasa hivi watu hawapati pesa na wakipata wanatumia kwa mambo ya msingi). Lakini unapotoa hela za deal basi weka njia watu wapate za halali.
 
Alimaanisha mafisadi na si vinginevyo
So, is that how the most powerful (ideally) person in the country deals with mafisadi? Just wishing them devilish living? Is this all you could think of defending Magufuli's sadistic narratives?
 
Wewe huna akili nadhani. Hapo alikua anawagusa wale waliokuwa wanaliibia taifa hil halafu wanatanua kama wako mbinguni kumbe wizi mtupu. Hao ndio walengwa. Sasa kama wewe ulikua mmoja wao shauri yako unatakiwa uishi kama mashetani tuu. Hakuna jinsi
Nawe unakuwa huna akili kwa kumjibu asiye na akili!
 
Yeye alishatamka hajaribiwi na anajiona yeye Mungu mtu na analolifanya yeye hataki mtanzania yeyote ahoji..........

Lema ametamka jana kuwa mtu wa aina hiyo Mungu anaweza kukatisha............ Kabla ya mwaka 2020.
Naiwe hvyo naiwe hvyo.
 
Tatizo umezoea dili, kwa hiyo aendelee kuzurura, ahachane na wafanyakazi hewa watafune hela zetu, aliyekuambia serikali anaajiri wahitimu wote ni nani??? NAKUULIZA????? Kama tuna wahitimu ambao hawawezi kutumia ujuzi wao kupambana na mazingira wanayoishi wanasubiri ajira ya serikali! Maendeleo yatakuwa mbali sana
Wacha porojo madawa hospitalini yako wapi? Mikopo ya wanafunzi iko wapi? Maslahi ya watumishi yako wapi?
 
Umesoma administration kweli. Serikali umeona wapi imeondoa madawa, mikopo na hayo mengine unayosema. Kwanza kasome jumla ya bajeti iliyotenga serikali katika maeneo uliyoyataja. Mambo mengine mnaingiza siasa bila kufuatilia. Hivi niambie hadi kufikia leo wanafunzi wangapi wamepata mikopo.
Wewe inaonekana kwako hata TV huna
 
Uzuri hii namba tunaisoma mpaka sisi wa CCM. Kanyaga twende Magufuli.
 
Wacha porojo madawa hospitalini yako wapi? Mikopo ya wanafunzi iko wapi? Maslahi ya watumishi yako wapi?
Alafu akishika kipaza sauti anaongea balaa mara wanyonge,mara nchi ilioza,anafoka foka utadhani anaifokea familia yake,kumbe watu washamkinai angejua.atumie busara kuongoza!..washauri wake wanamtetemekea bora lema kamchana live.hongera sana lema
 
Hali ni mbaya sana kwa Watumishi wa umma, sijui anategemea vipi kufikia matarajio yake huku anawa-frustrate watendaji wake wanaosaidia matarajio hayo yafikiwe.

Mimi hata simuelewi anawaza nini
Kwani hawapokei mshahara?
Alishasema, ukiona adui yako anakushangilia jua kuna sehemu unakosea
 
Rais asiyeelewa watu wanataka nini...............

Rais ambaye yupo tayari kukwamisha Marengo nandoto za wengine kwa mawazo yake ya kimasikini ...............

Kama alivyofanya wale wa udom na mikopo chuo kikuu ni janga kwa taifa.......

Kiufupi rais kama huyo inatakiwa tumkemee...........
marengo ndo nini??
 
Alikuwa Nyerere Watanzania mlimuona mbaya mkampa na jina la Musa,,
1: Akaja Mwinyi na sera yake ya Ruksa naye hakutoka salama kwa kulalamikiwa kuwa uchumi wa nchi ulishuka fedha yetu akaiporomosha thamani yke,,
3: Akaingia Mkapa,, akajitahidi kuinua uchumi wetu na kuifanya fedha yetu irudishe heshima yke mipakani mwa jirani zetu,, hata alipo ondoka akasema bila kumung,unya maneno kwamba ameacha Hazina yetu imejaa fedha tele za nje na ndani,, aliye mrithi naye akakili mbele yetu kuwa ni kweli amekuta fedha nyingi ndani ya Hazina ya taifa,,
Lakini Mkapa pia hakutoka salama walimwita ,,Ukapa ,,na lawama nyingi zisizo andikika hapa.
4:Akaja Kikwete ,, huyu sina haja ya kueleza mengi alifanya nchi kuwa ni shamba la bibi,, kila mwenye kucha na meno makali alijikatia apendavyo mali za umma. Huyu Ufisadi wa aina zote ulifanyika ktk utawala wake ,, yeye akatoka na jina la mzee wa Trip na kucheka cheka.
Eti kwamba muda mwingi alikuwa anazurura nje huku watu Waki Escrow,, Epa,na Kurichmond mali za umma.
5: Sasa kaja Msukuma ana uchungu wa ardhi ya kwao ilivyo achwa mashimo baada ya wajanja kuondoka na madini yote waliyoyakuta kule Ardhini,,
Amekuja na machungu ya wizi wa makontena na mafuta pale bandarini,, amekuta nchi imejaa hewa kila kona ya sekta ya umma,, amekuta Hazina haina hata Sumuni ndani yake,,
Amekuta Madeni yamejaa kila kona ya ndani na nje.,
Kwa kifupi amekuta nchi imeoza ngozi yote inatoa harufu,, sasa anaanika juani ngozi ikauke apunguze harufu ndani pado tena Watanzania tunalalamika tu,,

Hivi tunataka tupewe Rais wa namna gani?kama wote Hawakutufaa na huyu naye tunaona hafai tunataka aje malaika kutuongoza?
Hata vichaa hutofautiana viwango vya ukichaa.
 
eti anajenga anadhani nchi ni jungu la ugali unakwangua hadi ukoko na kupika ngali nyengine..
kweli anajaribu..
 
uwezi kupambambana na upinzani bila akili utaumia sana.
 
Back
Top Bottom