Tatizo la Rais Magufuli ni hili

Tatizo la Rais Magufuli ni hili

Watanzania tuache siasa za maji taka,kwani uyo Magufuli anayepingwa amekaa madarakani miaka mingapi?ngoja afanye anachotaka kama Rais tutamjaji baada ata ya miaka mitatu hivi.Ata Roma haikujengwa kwa siku moja.
Tz ilishajijenga na kujengwa na nyerere kinachotakiwa sasa ni busara tu kuongoza sio kukurupuka na ubishi usio wa maana
 
Kaka usikae na mawazo mgando jua mabadiliko yana uchungu kidogo. Ila jitahidi kuleta hoja ili uendelee kupata unachokitaka
Uchungu kwenye maisha ya watu? Watu wana miezi 7 hawajalipwa mishahara.
Omba wasikulipe mishahara miezi 7 ili uwe mojawapo wa wanamabadiliko.

Ungekuwa muhanga wa ajira wala usingeongea hivi. WW Kila mwezi mshahara Unaingia.

Mm ningependa aseme tu hata km 2020 ataajiri poa sbb kwa sasa tupo njia panda watu tumeogopa kuingia kwenye mikataba sbb hatujui ataajiri lini
Awe wazi tu
 
Mwacheni JPM afanye kazi yake. Nyie mnalalamika tu mmeifanyia nini Tanzania? Mwinyi mzee rukhsa mliona matunda yake, Che-nkapa aliuza kila kitu hasa kwa makaburu, JK likuwa kama Vasco da Gama, ambaye alifuja kodi za walipa kodi nchi ikawa inajiendea yenyewe kama mto wa maji. Sasa ni wakati wa kulia na kusaga meno.
Mkuu hakuna aliyemzuia JPM kufanya kazi! Na hakuna mwenye uwezo wa kumzuia. Kulalamika hata yeye analalamika, husikii akilalama kila mara kwamba nchi ilikuwa imeoza? Yeye sio sehemu ya huo uozo? Miaka 20 yuko serikalini leo anawezaje kujitoa na kuongea kama vile hakuwemo!!
Tunaifanyia nini Tanzania ni kulipa kodi, huo ndio wajibu wa raia mwema. Hakuna zaidi ya hapo, tukishalipa kodi ni wajibu wa serikali kuzielekeza vizuri hizo kodi kwenye maendeleo ya nchi.
 
Kaka acha kulalama wacha serikali ifanye kazi kama unaona watu hawatendewi haki kuna mahakama ambayo inauwezo wa kutafsiri sheria. Mi najua suala moja tu serikali inafanya mambo kwa umakini na kila ishu ikiisha mambo yataenda
Inapendeza sana. Watu km nyie huwa nawapenda sana sbb ni watetezi wa wanyonge
Sasa mkuu ili tuendane na haya mabadiliko vizuri.
Inabidi kila mwisho wa mwezi uwe unanipa angalau laki 2 hiv za kunisukuma kipind nasubiria hizo ajira.
Km utashindwa nitafutie kazi hapo isiyo na mkataba na km utapata basi iwe ya miaka 15 hivi. Huku napata ya miaka 2 halafu si unajua hakuna fao la kujitoa kwa hiyo hiyo miaka 15 nitakuwa nimejipanga kimaisha
Nifanyie mchakato basi ndugu yangu
 
Mimi nitakachokusaidia ufundishwe entrepreneur thinking huku ukisubiri ajira. Najua baada ya muda hutapenda kusibiri ajira utasema what your doing is good rather than waiting to be employed. Maybe be kama unajua kufanya tafiti tutafutane kuna tafiti tunaenda kuifanya Zanzibar ya financial inclusion
 
Kaka wewe hujui kwa nini serikali itangaze lini itatoa ajira na wakati kuna kazi inafanyika na wataalam hawajamaliza. Ni mtu wa ajabu ukazani serikali itangaze unachowaza wewe. Ni ujinga huo kaka. Subiri watu wafanye kazi zao wakimaliza watakuambia. Mambo mazuri hayahitaji haraka na ukurupukaji.
Mkuu kama mambo mazuri hayahitaji haraka, ni yapi yanayohitaji haraka? Nadhani huu msemo umepitwa na wakati na kwa nchi inayohitaji maendeleo sidhani kama tunahitaji huo msemo.
 
Mtalalama sana awamu hii lakini ndo kama hivyo JPM harudi nyuma kuinyoosha nchi
Nchi haiwezi kunyoka bila mfumo na taasisi imara, haya anayoyafanya akija mwingine tayavuruga tu.

Magufuli akitaka kuwa shujaa wa kweli asiwe na visasi na akubali katiba ya wananchi na aunde taasisi imara za kikatiba kumsaidia uongozi na si mihemuko na utashi wa nafsi yake.
 
Mkuu kama mambo mazuri hayahitaji haraka, ni yapi yanayohitaji haraka? Nadhani huu msemo umepitwa na wakati na kwa nchi inayohitaji maendeleo sidhani kama tunahitaji huo msemo.
Namaanisha kuwa serikali inafanya reform katika utumishi wa umma let them do their job properly and came up with best solution to adress the existed problem. Mi nilichojifunza kwa mda mfupi nimefuatilia utumishi wa umma unakuta watu wana the same qualification and responsibility but other people are highly paid while others are underpaid. Have you asked why. Na hapo ndio namuelewa magufuri anapokuja na slogan ya reseduale payment system in government. This is good administration and if you can not recognize hilo ujue wewe ndio hao mliokuwa mnapata mishahara mikubwa kwa weakness zilizokuwepo. Second kuna wajanja walishika nafasi kubwa hawana sifa kwa vyeti vya kufoji. Iachaeni serikali ifanye kazi
 
Sio kwamba ni mtu mbaya au ana nia mbaya ila tatizo lake sina uhakika anajua anachokifanya. Tatizo lake kubwa ni kuharibu mema aliyoyakuta kuwa mapya, haimaniishi waliopita waliyotenda yote ni mabaya ila kuna mazuri.

Tatizo lake ni pale anapoharibu yale mazuri aliyoyakuta kama vile
Mikopo ya elimu
Madawa hospitalini
Demokrasia
Uhuru wa habari
Ajira kila mwaka
Kupanda madaraja na mishahara

Angeweza kuwa bora na kuonekana bora sana kama angefanya anayoyafanya bila kuathiri aliyoyakuta. Sasa unapotafuta watumishi hewa huku hutaki kuajiri na kupandisha watu madaraja hatuwezi kuona umuhimu wa kutoa watumishi hewa.

Sasa unaponunua ndege ilihali watu wanakosa madawa hatuwezi kuona kama kununua ndege kuna umuhimu. Sasa unapopunguza mishara ya wakubwa wakati ya wadogo inakushinda kupandisha hatuwezi kukuelewa.

Rais acha kuharibu mazuri uliyoyakuta bali yaendeleze.
"JK at his best kijembe"!!
 
Tatizo kubwa ni sadist mwenye poverty mentality...what kinda president would openly say he wants to see his/her people living like devils? He thinks any Tanzanian who has made it big time, he/she is a fisadi!
Alimaanisha mafisadi na si vinginevyo
 
Nchi haiwezi kunyoka bila mfumo na taasisi imara, haya anayoyafanya akija mwingine tayavuruga tu.

Magufuli akitaka kuwa shujaa wa kweli asiwe na visasi na akubali katiba ya wananchi na aunde taasisi imara za kikatiba kumsaidia uongozi na si mihemuko na utashi wa nafsi yake.
Hayo ni mawazo mgando nikikuuliza mfumo gani huo. Sheria ziko wazi na zimejengwa tangia muda mrefu. Kwani magu anafanya vitu ambavyo vipo nje ya sheria. Cha msingi ni kusimamia sheria zilizopo. Acheni kudanganywa na wanasiasa someni muelewe itawasaidia sana
 
Rais asiyeelewa watu wanataka nini...............

Rais ambaye yupo tayari kukwamisha Marengo nandoto za wengine kwa mawazo yake ya kimasikini ...............

Kama alivyofanya wale wa udom na mikopo chuo kikuu ni janga kwa taifa.......

Kiufupi rais kama huyo inatakiwa tumkemee...........
Povu halitasaidia kitu kwa sasa
 
Tatizo kubwa ni sadist mwenye poverty mentality...what kinda president would openly say he wants to see his/her people living like devils? He thinks any Tanzanian who has made it big time, he/she is a fisadi!
Wewe huna akili nadhani. Hapo alikua anawagusa wale waliokuwa wanaliibia taifa hil halafu wanatanua kama wako mbinguni kumbe wizi mtupu. Hao ndio walengwa. Sasa kama wewe ulikua mmoja wao shauri yako unatakiwa uishi kama mashetani tuu. Hakuna jinsi
 
hivi watu wanakosa dawa eti mtu unasema mambo ya mda mfupi! kuna mambo ya kusema hivo sio hilo bhana
ukibishana na watu waosema ni chaguo la mungu ni kupoteza muda bure,wala hukuwa na sababu maana yeye yote anaona sawa tu, chaguo la mungu halikosei
 
Watanzania tuache siasa za maji taka,kwani uyo Magufuli anayepingwa amekaa madarakani miaka mingapi?ngoja afanye anachotaka kama Rais tutamjaji baada ata ya miaka mitatu hivi.Ata Roma haikujengwa kwa siku moja.
Umesema Anachotaka !!!!
Poor Tz
 
Tatizo kubwa ni sadist mwenye poverty mentality...what kinda president would openly say he wants to see his/her people living like devils? He thinks any Tanzanian who has made it big time, he/she is a fisadi!

kuna watu wamerithi hela kibao, ni matajiri na hela zao ni safi

walitakiwa kuwa encouraged kuwekeza nchini, leo hii wanaogopa hata kuwaza kuwekeza nchini kwa sababu wataonekana mafisadi

inauma
 
Yeye alishatamka hajaribiwi na anajiona yeye Mungu mtu na analolifanya yeye hataki mtanzania yeyote ahoji..........

Lema ametamka jana kuwa mtu wa aina hiyo Mungu anaweza kukatisha............ Kabla ya mwaka 2020.
e32b55aafd47cfc47b5124e50509d8e4.jpg
 
Back
Top Bottom