Tatizo kubwa la mtoa mada ni kubaki na akili za kukalili na kutoelewa kwamba kinachofanyika ni reforms katika administration of state. Reform zina maumivu ya muda ili tuende sawa. Tusikalili kila kitu kiwe kama wewe unavyotaka. Ukitambua hilo utaleta hoja mzuri sanaSio kwamba ni mtu mbaya au ana nia mbaya ila tatizo lake sina uhakika anajua anachokifanya. Tatizo lake kubwa ni kuharibu mema aliyoyakuta kuwa mapya, haimaniishi waliopita waliyotenda yote ni mabaya ila kuna mazuri.
Tatizo lake ni pale anapoharibu yale mazuri aliyoyakuta kama vile
Mikopo ya elimu
Madawa hospitalini
Demokrasia
Uhuru wa habari
Ajira kila mwaka
Kupanda madaraja na mishahara
Angeweza kuwa bora na kuonekana bora sana kama angefanya anayoyafanya bila kuathiri aliyoyakuta. Sasa unapotafuta watumishi hewa huku hutaki kuajiri na kupandisha watu madaraja hatuwezi kuona umuhimu wa kutoa watumishi hewa.
Sasa unaponunua ndege ilihali watu wanakosa madawa hatuwezi kuona kama kununua ndege kuna umuhimu. Sasa unapopunguza mishara ya wakubwa wakati ya wadogo inakushinda kupandisha hatuwezi kukuelewa.
Rais acha kuharibu mazuri uliyoyakuta bali yaendeleze.
pole mkuu achana na hao vichaaTatizo lako wewe ni taahira uliyezoea kuchungulia uchi wa mama yako hivyo hata uone wa jiran hautafumbata bali utakodoa! Nauhakika hat kazi huna unaishi kwenu
hivi watu wanakosa dawa eti mtu unasema mambo ya mda mfupi! kuna mambo ya kusema hivo sio hilo bhanaTatizo kubwa la mtoa mada ni kubaki na akili za kukalili na kutoelewa kwamba kinachofanyika ni reforms katika administration of state. Reform zina maumivu ya muda ili tuende sawa. Tusikalili kila kitu kiwe kama wewe unavyotaka. Ukitambua hilo utaleta hoja mzuri sana
Watumishi wa umma mmeambiwa muendelee kuvuta subira hadi February mwakani. Kuweni Na subiraHali ni mbaya sana kwa Watumishi wa umma, sijui anategemea vipi kufikia matarajio yake huku anawa-frustrate watendaji wake wanaosaidia matarajio hayo yafikiwe.
Mimi hata simuelewi anawaza nini
Reform inaondoa dawa hospitalin? Inaondoa mikopo elim ya juu? Inaondoa demokrasia? Rudi shule ukasome upya ili ujue maana y reformTatizo kubwa la mtoa mada ni kubaki na akili za kukalili na kutoelewa kwamba kinachofanyika ni reforms katika administration of state. Reform zina maumivu ya muda ili tuende sawa. Tusikalili kila kitu kiwe kama wewe unavyotaka. Ukitambua hilo utaleta hoja mzuri sana
Yes!Tatizo kubwa ni sadist mwenye poverty mentality...what kinda president would openly say he wants to see his/her people living like devils? He thinks any Tanzanian who has made it big time, he/she is a fisadi!
Kumbe wewe haujui maana ya reform. Lazima maeneo mengi yaathirike kwa muda. Na hili ni tatizo la muda tuReform inaondoa dawa hospitalin? Inaondoa mikopo elim ya juu? Inaondoa demokrasia? Rudi shule ukasome upya ili ujue maana y reform
Mambo mazuri hayataki harakaWatumishi wa umma mmeambiwa muendelee kuvuta subira hadi February mwakani. Kuweni Na subira
Umesoma administration kweli. Serikali umeona wapi imeondoa madawa, mikopo na hayo mengine unayosema. Kwanza kasome jumla ya bajeti iliyotenga serikali katika maeneo uliyoyataja. Mambo mengine mnaingiza siasa bila kufuatilia. Hivi niambie hadi kufikia leo wanafunzi wangapi wamepata mikopo.Reform inaondoa dawa hospitalin? Inaondoa mikopo elim ya juu? Inaondoa demokrasia? Rudi shule ukasome upya ili ujue maana y reform
Hakuna reform inayogusa huduma muhim za jamii halaf reform gan inafanywa na mtu asiyejua hata anachokifanya?Kumbe wewe haujui maana ya reform. Lazima maeneo mengi yaathirike kwa muda. Na hili ni tatizo la muda tu
Lakini bado mambo hayaeleweki Na huko mbele huenda mambo yakawa bado hivihiviMambo mazuri hayataki haraka
[emoji53] [emoji53] [emoji53] mweeeee watu mnamaneno makali......Tatizo lako wewe ni taahira uliyezoea kuchungulia uchi wa mama yako hivyo hata uone wa jiran hautafumbata bali utakodoa! Nauhakika hat kazi huna unaishi kwenu