Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,526
- 7,287
Eti inajua inachokifanya?Ni akili ndogo kufikiri serikali inafanya kazi kwa mawazo yako. Suala la ajira serikali inajua inachokifanya ni sahihi na kina tija katika kuimarisha mfumo wa utumishi wa umma.
"TATIZO LENU MNA UWEZO MDOGO WA KUFIKIRI NA KUFANYA KAZI"
Hapa mjue timu yenu nzima mna akili ndogo kwann msiwatangazie hawa watu ajira zitatoka lini km mlivyotangaza mwanzo kuwa mesimamisha mwezi na 1 na nusu haitazidi miwili mpaka leo kimya. Watu wakueleje sasa km ww hautaki kusema?
Mshaurini ajitokeze aseme tu hadharani ni lini? Zipo au hazipo watu wajue.
Ni kama kwenye sherehe fulani hiv halafu ww ndiyo mwenyekiti wa chakula.
Umewapa watu maji wanawe mikono, na umewaambia baada ya dk 2 chakula tayari. Dakika zinapita kimya, watu wanauliza chakula vipi? umekaa kimya tu km siyo ww uliyesema.
Wanauliza tena chakula wapi? unawangalia tu km huwajui (hapo ndiyo ujue mwenyekiti ana akili ndogo) kwann mwenyekit asiseme tu chakula bado kinapikwa, ukifika muda fulani kitakuwa tayari.
Huu ni undezi kwann usiwaambie watu tu hata km ni masaa 6 chakula kitakuwa tayari kuliko kutowajulisha.
Upumbafu sana huu wa mwentekiti wa kamati ya chakula, bora angewaambia mapema ili watu wafanye kazi zingine kuliko kusubiria chakula ambacho mwenyekit haeleweki.