Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,926
Kama ni hivyo basi hiyo mwaka wa bajeti ijayoutumishi walishakanusha kwahyo haieleweki ni lini
Kama ni hivyo basi hiyo mwaka wa bajeti ijayoutumishi walishakanusha kwahyo haieleweki ni lini
Wee km unadhani JPM kapotoka sana nawewe gombea urais 2020 tukuone.So, is that how the most powerful (ideally) person in the country deals with mafisadi? Just wishing them devilish living? Is this all you could think of defending Magufuli's sadistic narratives?
Hii imechoma moyoni.Tatizo kubwa ni sadist mwenye poverty mentality...what kinda president would openly say he wants to see his/her people living like devils? He thinks any Tanzanian who has made it big time, he/she is a fisadi!
Duh!Watu wamehangaika kuhamasisha uzazi wa mpango mpaka wananchi wakaelewa unakuja kuropoka tu fyatueni watoto
yaani mm amenishusha stimu zoteee..Hali ni mbaya sana kwa Watumishi wa umma, sijui anategemea vipi kufikia matarajio yake huku anawa-frustrate watendaji wake wanaosaidia matarajio hayo yafikiwe.
Mimi hata simuelewi anawaza nini
JE HIYO DIRA INAFWATWA?Hakuna mtu niliyemuona wa hovyohovyo kama wewe usiyejua hata dira ya taifa lako. Hivi kumbe kukosa maarifa na uelewa ni mzigo sana. Kaa na ukasome ujifunze dira ya taifa lako watu watakushangaa sana. Hata ukiwa nje ya inchi utasema inchi haina dira.
Kwa kuwa tunajifanya kuwa na demokrasia, basi tuwe na uvumilivu wa kupokea mawazo tofauti na yale tunayopenda kusikia. Vinginevyo, mshaurini bwana mkubwa afute uwepo wa demokrasia Tanzania, na hutasikia nikitoa mawazo tofauti.Wee km unadhani JPM kapotoka sana nawewe gombea urais 2020 tukuone.
Ajabu ni kwamba, Magufuli alikuwa sehemu ya waliotengeneza huo uchafu. Na kiukweli amekuwa sehemu ya ubovu na uchafu kwa miaka 20. Lakini hata siku moja sikuwahi kumsikia akikemea uchafu huo. Zaidi, nilimsikia akitetea na kusifia safari za Kikwete pale watu walipohoji manufaa ya safari hizo kwa taifa. Safari ambazo aliposhida urais, akaanza kuziponda!!Sio kweli kwamba dawa hakuna ispokuwa mnamfanyia hujuma ili aonekane mbaya mbele ya waliomtangulia kila kitu kitakuwa sawa kwa sasahivi muacheni asafishe uchafu alioukuta kwanza hii nchi imeoza ilikuwa ni shamba la bibi,Mfano:Wafanyakazi hewa,vyeti feki,wanafunzi feki kuanzia msingi mpaka chuo kikuu,hawa wote wakati wa jk walikuwa wanalipwa hivyo sio kwamba serikali haina hela but anaondoa uozo kwanza next term.mtafurahi.
Tatizo kubwa la mtoa mada ni kubaki na akili za kukalili na kutoelewa kwamba kinachofanyika ni reforms katika administration of state. Reform zina maumivu ya muda ili tuende sawa. Tusikalili kila kitu kiwe kama wewe unavyotaka. Ukitambua hilo utaleta hoja mzuri sana
Vilio vya ukawa2. Mtanyooka tu.
Sijaliona tatizo hapo bali ninazisoma kelele tu ambazo hazina hata msingi wa kinachodaiwa ni tatizo la Rais Magufuli.
Bla bla za siasa za kiuharakati mnazifanya zisimame kama tatizo.
Talk is cheap!
Wewe upo kwenye box la Mbowe, utaelewaje?Ukiwa kwenye box ni vigumu sana kuelewa...
Wewe upo kwenye box la Mbowe, utaelewaje?
Kiingereza gani hiki. Ha ha ha, unafikiri unaweza kunitisha na Kiingereza ugoko? Andika kwa Kiswahili na tutaelewana vizuri tu.Don't be idiot...
Democracy ipo ndiyo maana una Uhuru wa kutoa mawazo tofauti.Kwa kuwa tunajifanya kuwa na demokrasia, basi tuwe na uvumilivu wa kupokea mawazo tofauti na yale tunayopenda kusikia. Vinginevyo, mshaurini bwana mkubwa afute uwepo wa demokrasia Tanzania, na hutasikia nikitoa mawazo tofauti.
Sasa wewe ulitaka afanye unachotaka wewe au anachotaka yeye?kwani kati ya wewe na yeye nani mwenye madaraka?mulizoea kupiga madili,yeye amesema serikali yake siyo ya wapiga madili.Kwaiyo jifunzeni namna ya kufanya nae kazi.Na mwisho kabisa naomba nikuulize; kwani wewe ni mtanzania?ulikuwepo wakati wa utawala wa awamu ya nne?Umesema Anachotaka !!!!
Poor Tz
Kwani hao watawala ambao walikuwa hawakurupuki,wamefanya kipi cha maana.Magufuli anazungumza na kutenda.Sio ooh mara tupo kwenye mchakato,ubabaishaji tu,is that what you want him to be like?be serious brother!!!Alikwenda mlimali UDSM akasema atajenga Hostel na kweli anajenga,alisema tatanunua ndege leo zipo ameleta!!!mnataka turudi kwenye zama za upigaji wa madili?Tz ilishajijenga na kujengwa na nyerere kinachotakiwa sasa ni busara tu kuongoza sio kukurupuka na ubishi usio wa maana