Tatizo la Rais Magufuli ni hili

Tatizo la Rais Magufuli ni hili

Hii inanikumbusha siku moja niliongea na mchungaji mmoja kanisani nchini Zimbabwe Nikawa ninajigamba kuwa sasa tumempata mtu ambaye ameahidi kufanya mambo ya kweli! Lakini yule mchungaji alinionya kuwa viongozi wengi hugeuka kuwa vipofu na viziwi mara tu wanapochaguliwa kushika hatamu
 
Amekua na kiburi na kipofu hasikii mtu yeyote madaraka yanamzuzua!..
 
Sio kwamba ni mtu mbaya au ana nia mbaya ila tatizo lake sina uhakika anajua anachokifanya. Tatizo lake kubwa ni kuharibu mema aliyoyakuta kuwa mapya, haimaniishi waliopita waliyotenda yote ni mabaya ila kuna mazuri.

Tatizo lake ni pale anapoharibu yale mazuri aliyoyakuta kama vile
Mikopo ya elimu
Madawa hospitalini
Demokrasia
Uhuru wa habari
Ajira kila mwaka
Kupanda madaraja na mishahara

Angeweza kuwa bora na kuonekana bora sana kama angefanya anayoyafanya bila kuathiri aliyoyakuta. Sasa unapotafuta watumishi hewa huku hutaki kuajiri na kupandisha watu madaraja hatuwezi kuona umuhimu wa kutoa watumishi hewa.

Sasa unaponunua ndege ilihali watu wanakosa madawa hatuwezi kuona kama kununua ndege kuna umuhimu. Sasa unapopunguza mishara ya wakubwa wakati ya wadogo inakushinda kupandisha hatuwezi kukuelewa.

Rais acha kuharibu mazuri uliyoyakuta bali yaendeleze.
Yaani kambana mpaka mchechu naye hasira zake akahamishia kwa mbowe!!!
 
Sasa wewe ulitaka afanye unachotaka wewe au anachotaka yeye?kwani kati ya wewe na yeye nani mwenye madaraka?mulizoea kupiga madili,yeye amesema serikali yake siyo ya wapiga madili.Kwaiyo jifunzeni namna ya kufanya nae kazi.Na mwisho kabisa naomba nikuulize; kwani wewe ni mtanzania?ulikuwepo wakati wa utawala wa awamu ya nne?
Watu wanalipwa mishahara wakati hawaitumikii serikali,hawalipi kodi,madawa ya kulevya yanauzwa kama pipi,mafisadi wanatamba mtaani,only in Tanzania!!!na bado mnampinga Magufuli.
Rich Tz
Kwenye awamu ya nne rais wa sasa alikuwa nani, mkulima, mfugaji, machinga au mkaa kijiweni?!

Kama alikuwa member of cabinet ministers iweje umu exempt na hizo tuhuma za awamu ya nne!?

Tujifunze kufikiri kwa bidii watanzania wenzangu please!
 
Wanadai alikuwa mama ntilie
 
Kwenye awamu ya nne rais wa sasa alikuwa nani, mkulima, mfugaji, machinga au mkaa kijiweni?!

Kama alikuwa member of cabinet ministers iweje umu exempt na hizo tuhuma za awamu ya nne!?

Tujifunze kufikiri kwa bidii watanzania wenzangu please!
Sasa ajifunze kufikiri nani kati yqangu mimi nawe!alikuwa waziri wa Ujenzi na kila Mtanzania anaetembea nchi hii anajua JPM alichofanya kwenye sekta ya usafirishaji.Au wewe unaonaje.Kumpinga JPM lazima ujipange,tafakari ni mabo mangapi makubwa aliyoyafanya ndani ya mwaka tu tangu aingie madarakani.Zama za madili zimepita,watz tufanye kazi.HAPA KAZI TU.
 
Sio kwamba ni mtu mbaya au ana nia mbaya ila tatizo lake sina uhakika anajua anachokifanya. Tatizo lake kubwa ni kuharibu mema aliyoyakuta kuwa mapya, haimaniishi waliopita waliyotenda yote ni mabaya ila kuna mazuri.

Tatizo lake ni pale anapoharibu yale mazuri aliyoyakuta kama vile
Mikopo ya elimu
Madawa hospitalini
Demokrasia
Uhuru wa habari
Ajira kila mwaka
Kupanda madaraja na mishahara

Angeweza kuwa bora na kuonekana bora sana kama angefanya anayoyafanya bila kuathiri aliyoyakuta. Sasa unapotafuta watumishi hewa huku hutaki kuajiri na kupandisha watu madaraja hatuwezi kuona umuhimu wa kutoa watumishi hewa.

Sasa unaponunua ndege ilihali watu wanakosa madawa hatuwezi kuona kama kununua ndege kuna umuhimu. Sasa unapopunguza mishara ya wakubwa wakati ya wadogo inakushinda kupandisha hatuwezi kukuelewa.

Rais acha kuharibu mazuri uliyoyakuta bali yaendeleze.
 
Alikuwa Nyerere Watanzania mlimuona mbaya mkampa na jina la Musa,,
1: Akaja Mwinyi na sera yake ya Ruksa naye hakutoka salama kwa kulalamikiwa kuwa uchumi wa nchi ulishuka fedha yetu akaiporomosha thamani yke,,
3: Akaingia Mkapa,, akajitahidi kuinua uchumi wetu na kuifanya fedha yetu irudishe heshima yke mipakani mwa jirani zetu,, hata alipo ondoka akasema bila kumung,unya maneno kwamba ameacha Hazina yetu imejaa fedha tele za nje na ndani,, aliye mrithi naye akakili mbele yetu kuwa ni kweli amekuta fedha nyingi ndani ya Hazina ya taifa,,
Lakini Mkapa pia hakutoka salama walimwita ,,Ukapa ,,na lawama nyingi zisizo andikika hapa.
4:Akaja Kikwete ,, huyu sina haja ya kueleza mengi alifanya nchi kuwa ni shamba la bibi,, kila mwenye kucha na meno makali alijikatia apendavyo mali za umma. Huyu Ufisadi wa aina zote ulifanyika ktk utawala wake ,, yeye akatoka na jina la mzee wa Trip na kucheka cheka.
Eti kwamba muda mwingi alikuwa anazurura nje huku watu Waki Escrow,, Epa,na Kurichmond mali za umma.
5: Sasa kaja Msukuma ana uchungu wa ardhi ya kwao ilivyo achwa mashimo baada ya wajanja kuondoka na madini yote waliyoyakuta kule Ardhini,,
Amekuja na machungu ya wizi wa makontena na mafuta pale bandarini,, amekuta nchi imejaa hewa kila kona ya sekta ya umma,, amekuta Hazina haina hata Sumuni ndani yake,,
Amekuta Madeni yamejaa kila kona ya ndani na nje.,
Kwa kifupi amekuta nchi imeoza ngozi yote inatoa harufu,, sasa anaanika juani ngozi ikauke apunguze harufu ndani pado tena Watanzania tunalalamika tu,,

Hivi tunataka tupewe Rais wa namna gani?kama wote Hawakutufaa na huyu naye tunaona hafai tunataka aje malaika kutuongoza?
Hujakielewa alichokiandika Pascal Mayala
 
Tanzania ya Viwandor...
Mzee huyu anapiga siasa hakuna jambo zuri lenye impact kwa RAIA hata moja... Kavuruga kila sehemu.... Hakuna mazingira yeyote aliyojenga kwa watz kujiajiri au kuajiriwa... Watu wamezagaa mtaan vijana sana njaa... Family zinagombana coz no food... Watu wamefukuzwa kazi ... Viwanda vmepunguza uzalishaji ... Watu wamepunguzwa kazi....
ME NATABIRI MAGULFULI MIAKA YOTE ATAKAYOKAA MADARAKAN ATAISHIA KUPIGA SIASA JUKWAANI NA KUVUTANA NA WAPINZANI..
DONT EXPECT GOOD NEWS FROM THIS PERSON.
 
Tatizo umezoea dili, kwa hiyo aendelee kuzurura, ahachane na wafanyakazi hewa watafune hela zetu, aliyekuambia serikali anaajiri wahitimu wote ni nani??? NAKUULIZA????? Kama tuna wahitimu ambao hawawezi kutumia ujuzi wao kupambana na mazingira wanayoishi wanasubiri ajira ya serikali! Maendeleo yatakuwa mbali sana
Plan B yaJKT-panya road
nipe plan- B ya mwalimu aliyesomeshwa na michango ya wanakijiji na wahumini wenzie
Jua vijanawengi waliosoma hawana ajira lakn chanzo cha ukosefu wa ajira ni mitaala mibovu ya elimu yenyewe
 
Acha Uongo kwa JPM kurudisha mikopo ya elimu na kupatikana kwa dawa hizo ni step kubwa kwake kuliko Marais waliopita. Mlitaka muchukue mikopo buree ng'o
 
Sio kwamba ni mtu mbaya au ana nia mbaya ila tatizo lake sina uhakika anajua anachokifanya. Tatizo lake kubwa ni kuharibu mema aliyoyakuta kuwa mapya, haimaniishi waliopita waliyotenda yote ni mabaya ila kuna mazuri.

Tatizo lake ni pale anapoharibu yale mazuri aliyoyakuta kama vile
Mikopo ya elimu
Madawa hospitalini
Demokrasia
Uhuru wa habari
Ajira kila mwaka
Kupanda madaraja na mishahara

Angeweza kuwa bora na kuonekana bora sana kama angefanya anayoyafanya bila kuathiri aliyoyakuta. Sasa unapotafuta watumishi hewa huku hutaki kuajiri na kupandisha watu madaraja hatuwezi kuona umuhimu wa kutoa watumishi hewa.

Sasa unaponunua ndege ilihali watu wanakosa madawa hatuwezi kuona kama kununua ndege kuna umuhimu. Sasa unapopunguza mishara ya wakubwa wakati ya wadogo inakushinda kupandisha hatuwezi kukuelewa.

Rais acha kuharibu mazuri uliyoyakuta bali yaendeleze.
God bless u!
 
Kwenye ishu ya kutopandisha mishahara au madaraja naona huko xawa kabisa ashikilie hapo hapo hadi 2019 ,watumishi ni miongoni mwa tabaka la watu kwenye nafuu ya maisha ukilinganisha na makundi mengine ,jobless wasemaje kama watu wanataka waongezewe salary? Fursa za mikopo wanazo afu wanapiga kelele kwa productivity ipi so far? Naomba serikali iweke mazingira rafiki zaidi ya biashara na kilimo hasa hususani masoko na kupunguza urasimu badala ya crackdown inayoendelea na kuwaona ni maadui na wakwepa kodi
 
a
Sasa ajifunze kufikiri nani kati yqangu mimi nawe!alikuwa waziri wa Ujenzi na kila Mtanzania anaetembea nchi hii anajua JPM alichofanya kwenye sekta ya usafirishaji.Au wewe unaonaje.Kumpinga JPM lazima ujipange,tafakari ni mabo mangapi makubwa aliyoyafanya ndani ya mwaka tu tangu aingie madarakani.Zama za madili zimepita,watz tufanye kazi.HAPA KAZI TU.
mefanya nini tangu aingie madarakani?
kazi gani wakati kafanya watanzaia wengi wapo vijiweni kazi hakuna watu wanapunguzwa makazini biashara hakuna kazi ipi unasema watu wafanye wapiga sili ni ccm pekee
 
Kwenye ishu ya kutopandisha mishahara au madaraja naona huko xawa kabisa ashikilie hapo hapo hadi 2019 ,watumishi ni miongoni mwa tabaka la watu kwenye nafuu ya maisha ukilinganisha na makundi mengine ,jobless wasemaje kama watu wanataka waongezewe salary? Fursa za mikopo wanazo afu wanapiga kelele kwa productivity ipi so far? Naomba serikali iweke mazingira rafiki zaidi ya biashara na kilimo hasa hususani masoko na kupunguza urasimu badala ya crackdown inayoendelea na kuwaona ni maadui na wakwepa kodi
xawa ndo nini umeshaanza kulipwa mshahara ama upo kwa shemeji yako unakula ugali wa bure?
 
Back
Top Bottom