Na wewe una tatizo hilo? Tupe maelezo kidogo linakutokea wakati gani Na hua unajisikiaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujaoa oa. Ukisha pata ile kitu ya ndoa. Ukilala mpaka uamshwe na wanaowahi kazini asubuhi.
Una msongo wa mawazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia nimewahi kusumbuliwa na tatizo hili mkuu...
Pumzi huwa inabana nashtuka kutoka usingizini,nimebadilisha ratiba ya kulala siku hizi.Najitahidi mpaka saa tisa usiku ndipo naweza lala bila shida mpaka asubuhi .Na wewe una tatizo hilo? Tupe maelezo kidogo linakutokea wakati gani Na hua unajisikiaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana mkuu,,,,,
siku nyingine ukikosa usingizi tunakukaribisha Kwenye Uzi wetu pendwa,jf usiku Wa manane...
Uzi upi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mda huo unaostuka Usiwaze kitu Chochote Fanya kama unazubaa yani kama Umesizi, utasinzia Fasta,.Mbna sina msongo wa mawazo..halaf si kwamba ninavyoshtuka nakua sina usingizi nakua nao lakin nashindwa Kulala najitahidi lakin nashtuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu kwa tatizo hilo.nikuulize,hilo tatizo lina mda gani?je apo unapo ishi jirani na msiti,makaburi,au mti mkubwa?we ni muumini wa dini gani?tiba chukua kibatu kulingana na imani yako lala nacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mda huo unaostuka Usiwaze kitu Chochote Fanya kama unazubaa yani kama Umesizi, utasinzia Fasta,.