Kingeke Mavoya
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 619
- 599
Una umri ganiSina mpenz na sijafikiria kua nae kwa sasa..
Una umri ganiSina mpenz na sijafikiria kua nae kwa sasa..
No no nishakataa sitaki kujihusisha na mbo hayo kwa sasa.Get enough sex before bedtime, hakika utalala tu. Usipende kutumia sleeping pills, ni hatari kwa afya yako.
Just sex, good sex will help.
Pole mm situmii na sitatumia dawa zozote za usingizi..kaka nlipata tatizo hilo pia..nikawa silali mpka ninywe valium....ila sasa niko fresh..
25yrs..Una umri gani
Miaka 25 kama unasoma haya ila kama husomi na hujate kuoa mimi ninavyojua hata hili nitatizo tena nivyema ukapata tiba ya hili kwanza25yrs..
Kwa mara nyingine naomba nikuulize tena maana nimewahi kukuuliza hukunijibu, HIVI WEWE NI DAKTARI AU NI NESI?? yanapokuja masuala ya misaada ya afya kwa wana jf uko mstari wa mbele sana kusaidia!Kunywa glass ya maziwa kabla ya kulala
Mpika chapati wa KwamtogoleKwa mara nyingine naomba nikuulize tena maana nimewahi kukuuliza hukunijibu, HIVI WEWE NI DAKTARI AU NI NESI?? yanapokuja masuala ya misaada ya afya kwa wana jf uko mstari wa mbele sana kusaidia!
Mkuu nilifanya tu uamuzi tu wa kutokua na mpenzi maana miaka ya nyuma nilifanya uchafu mwingi sana kuhusu ngono ndio nikajipa brake sidhan kama vinahusiana na kukosa usingizi..Miaka 25 kama unasoma haya ila kama husomi na hujate kuoa mimi ninavyojua hata hili nitatizo tena nivyema ukapata tiba ya hili kwanza
Hapa macho yanawashaMimi kulala ni kuanzia saa 10 au 11 asubuhi na kuamka ni saa 2, nikisema nilale saa 4 usiku lazima saa 6 au 7 usiku niwe macho..
Sitaki dawa..!!!!
Ahsante mkuu..mkuu nlipata tatizo km lako baada ya kuacha 2ngi ila ss nko fresh ! jitahid kuamka mapema ht km utalala sa 10 ucku hakikisha saa 1 asubuhi umeamka na ukiwa na ucngizi mchana uclale ht kidogo kwa muda wa week utaanza kupata ucngzi japo haitokuwa mapema sana kwa cku zakwanza bdae utalala fresh 2