Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Kuendelea kutumia dawa za usingizi ni sawa na mgonjwa kutibu dalili za ugonjwa na kuacha ugonjwa wenyewe , nafikiri kutopata usingizi mara nyingi kuna sababishwa na matatizo mengi ya kiakili ,mfano msongo wa mawazo na mengineyo yanayofanana. ..ni busara kumuona specialist akupe msaada ili upate natural sleep na kuacha matumizi ya hizo enhancement drugs .
Badilisha lifestyle , kwani inawezekana lifestyle yako inachangia 51 % ya matatizo uliyonayo sasa ,' km mazoezi hayapo kwa menu yako jioni basi si vibaya ukayaongeza pia .
Good luck
 
Hiyo ni acute insomnia, uwe unakula biringanya (eggplant) husaidia kuleta usingizi. Usiwe mpweke ongea na watu, kunywa maji mengi na usiwaze sana hiyo hali ikizidi itatoka kwenye stress na kuwa depression au zaidi ya hapo .
 
pole sana bosi,,,fanya hivi,,,chukua ndizi mbichi zimenye vizuri,,weka kwenye sufuria na chemsha kwa dakika kumi then chukua mchuzi wake kunywa,,,halafu uje hapa ulete mrejesho,,,,ndizi zina madini flan yanayofanya mishipa irelax huku ikuufanya mwili kujipumzisha,,,,,naomba ulete mrejesho kwa faida ya wengine,,,,usinywe madawa kabisa kabisa
 
habari zenu wana jf....kama title hapo inavyosema mimi nina tatizo la kuchelewa kulala usiku yaan hadi inanipa sana shida kwakweli so naombeni msaada wa nini nifanye kukabiliana na hili tatizo ikiwezekana liniondoke kabisa kama kuna yeyote anaijua dawa labda ama tiba yoyote ata ya kiasili......natanguliza shukrani karibuni
 
Una uzito wa kiasi gani, family yako ina historia ya tatizo kama hilo?, inawezekana una tatizo la sleep apnea, sleep apnea inaweza kusababishwa na tonsilis, overweight, allergy au genetic issues. Treatment inahusu kubadilisha life style, pamoja na kufanya mazoezi, kuacha kunywa pombe, na kula vizuri.
 
Namjua,ana stress!!.......Msaidie kwa kubase kwenye stress factor!
 
Aende kwa daktari, moja katika treatment ni kupata sleeping tablets kama diazepam (Valium), kuwa na ratiba maalum ya saa ya kulala, kuacha pombe.
 
Nimesoma makala flan kwenye gazeti, lilikuwa linaeleza kuwa smart phone zina kemikali ambazo huondoa usingizi kabisaa, soo kama unatumia smartphone usiku jaribu kuacha tuone

then kwa Mimi huwa nikiona kweli usingizi umeniruka au haujii, huwa nachkua daftarii au kitabu nasomea kitandanii,, proved kabisa sichukui sekunde naamka kitabu kiko kwenye miguu
 
habari zenu wana jf....kama title hapo inavyosema mimi nina tatizo la kuchelewa kulala usiku yaan hadi inanipa sana shida kwakweli so naombeni msaada wa nini nifanye kukabiliana na hili tatizo ikiwezekana liniondoke kabisa kama kuna yeyote anaijua dawa labda ama tiba yoyote ata ya kiasili......natanguliza shukrani karibuni

iu

MARADHI YA KUKOSA USINGIZI

Mnamo mwaka 2007, watafiti nchini Marekani walifanikiwa kutoa ripoti inayojaribu kuhusisha ukosefu wa usingizi na upungufu wa homoni ya testosterone miongoni mwa wanaume watu wazima.

Kwa kawaida kiwango cha homoni ya testosterone hupungua kadiri mwanaume anavyozidi kuwa mtu mzima, na kwa baadhi ya wanaume, kupungua huku kwa testosterone huweza kusababisha ulegevu wa mwili, kukosa hamu ya ngono na hata kuvunjika mifupa ya mwili.

Watafiti wanasema kuwa, wapo baadhi ya wanaume walio kwenye miaka 80 bado huweza kuwa na kiwango cha juu cha testosterone sawa na kile kinachopatikana kwa wanaume vijana. Hata hivyo sababu kubwa inayofanya kuwepo na utofauti katika viwango vya testosterone miongoni mwa rika hizo mbili bado hazieleweki sawasawa,

ingawa watafiti wanasema kuwa ukosefu wa usingizi miongoni mwa watu wazima na wazee unaweza kuwa chanzo kimojawapo cha kuwepo kwa hali hiyo.

"Matokeo ya utafiti wetu yanaongeza uwezekano kuwa wanaume watu wazima na wazee ambao hupata muda mfupi sana wa kulala nyakati za usiku huwa na kiwango kidogo sana cha homoni ya testosterone wakati wa asubuhi," anasema mtafiti Plamen Penev, wa kutoka Chuo Kikuu cha Chicago, nchini Marekani.

Wakati wa utafiti, wataalamu waliofanya uchunguzi huo walipima kiwango cha homoni ya testosterone katika damu kila asubuhi cha wanaume watu wazima wenye umri kati ya miaka 64 na 74 waliojitolea kushiriki kwenye utafiti huo. Aidha, mtindo wao wa kulala pamoja na kupata usingizi pia vilichunguzwa kila siku kwa muda wa wiki nzima.

Matokeo ya uchunguzi huo yalionesha kuwa kiasi cha usingizi walicholala kilikuwa na uhusiano wa karibu sana na kiwango cha testosterone katika damu wakati wa asubuhi. Wale waliopata usingizi mzuri na kwa muda mrefu (walau saa nane) walikuwa na kiwango kikubwa cha testosterone wakati wale waliopata usingizi wa

kubabaisha (saa nne) walikutwa na kiwango cha chini cha homoni hiyo. Wastani wa muda wa kulala ulikuwa masaa sita.

"Pamoja na kwamba matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa urefu wa muda wa kulala wa mtu waweza kuwa kiashiria cha mabadiliko ya homoni katika mwili yanayohusiana na umri, matokeo ya utafiti huu yanatoa tu picha ya nini kinachotokea mwilini kama mtu asipopata usingizi wa kutosha. Hata hivyo, tafiti zaidi

zinahitajika ili kuthibitisha umuhimu wa uhusiano kati ya usingizi na mabadiliko ya homoni katika mwili," anasema Dr. Penev.

Wataalamu wa masuala ya afya ya usingizi wanashauri watu wazima kupata wastani wa angalau saa saba mpaka nane za kulala kila usiku ili kuwa na afya bora. Ripoti kamili ya matokeo ya utafiti huu inapatikana katika toleo la mwezi April, 2007 la jarida la afya la Sleep.

DAWA YA KUPATA USINGIZI: chukuwa Maziwa moto glasi moja changanya na Asali kijiko 1 kikubwa koroga vizuri unywe utapata usingizi.
 
chukua ndizi mbivu
kata kata chemsha kunywa hayo maji kabla ya kwenda kitandani
ukichelewa kazini usinilaumu
 
Una uzito wa kiasi gani, family yako ina historia ya tatizo kama hilo?, inawezekana una tatizo la sleep apnea, sleep apnea inaweza kusababishwa na tonsilis, overweight, allergy au genetic issues. Treatment inahusu kubadilisha life style, pamoja na kufanya mazoezi, kuacha kunywa pombe, na kula vizuri.
mi nna kilo 59 pombe sijawai kunywa mazoezi nafanya napigaga pushap 150 kila siku usiku
 
iu

MARADHI YA KUKOSA USINGIZI

Mnamo mwaka 2007, watafiti nchini Marekani walifanikiwa kutoa ripoti inayojaribu kuhusisha ukosefu wa usingizi na upungufu wa homoni ya testosterone miongoni mwa wanaume watu wazima.

Kwa kawaida kiwango cha homoni ya testosterone hupungua kadiri mwanaume anavyozidi kuwa mtu mzima, na kwa baadhi ya wanaume, kupungua huku kwa testosterone huweza kusababisha ulegevu wa mwili, kukosa hamu ya ngono na hata kuvunjika mifupa ya mwili.

Watafiti wanasema kuwa, wapo baadhi ya wanaume walio kwenye miaka 80 bado huweza kuwa na kiwango cha juu cha testosterone sawa na kile kinachopatikana kwa wanaume vijana. Hata hivyo sababu kubwa inayofanya kuwepo na utofauti katika viwango vya testosterone miongoni mwa rika hizo mbili bado hazieleweki sawasawa,

ingawa watafiti wanasema kuwa ukosefu wa usingizi miongoni mwa watu wazima na wazee unaweza kuwa chanzo kimojawapo cha kuwepo kwa hali hiyo.

"Matokeo ya utafiti wetu yanaongeza uwezekano kuwa wanaume watu wazima na wazee ambao hupata muda mfupi sana wa kulala nyakati za usiku huwa na kiwango kidogo sana cha homoni ya testosterone wakati wa asubuhi," anasema mtafiti Plamen Penev, wa kutoka Chuo Kikuu cha Chicago, nchini Marekani.

Wakati wa utafiti, wataalamu waliofanya uchunguzi huo walipima kiwango cha homoni ya testosterone katika damu kila asubuhi cha wanaume watu wazima wenye umri kati ya miaka 64 na 74 waliojitolea kushiriki kwenye utafiti huo. Aidha, mtindo wao wa kulala pamoja na kupata usingizi pia vilichunguzwa kila siku kwa muda wa wiki nzima.

Matokeo ya uchunguzi huo yalionesha kuwa kiasi cha usingizi walicholala kilikuwa na uhusiano wa karibu sana na kiwango cha testosterone katika damu wakati wa asubuhi. Wale waliopata usingizi mzuri na kwa muda mrefu (walau saa nane) walikuwa na kiwango kikubwa cha testosterone wakati wale waliopata usingizi wa

kubabaisha (saa nne) walikutwa na kiwango cha chini cha homoni hiyo. Wastani wa muda wa kulala ulikuwa masaa sita.

"Pamoja na kwamba matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa urefu wa muda wa kulala wa mtu waweza kuwa kiashiria cha mabadiliko ya homoni katika mwili yanayohusiana na umri, matokeo ya utafiti huu yanatoa tu picha ya nini kinachotokea mwilini kama mtu asipopata usingizi wa kutosha. Hata hivyo, tafiti zaidi

zinahitajika ili kuthibitisha umuhimu wa uhusiano kati ya usingizi na mabadiliko ya homoni katika mwili," anasema Dr. Penev.

Wataalamu wa masuala ya afya ya usingizi wanashauri watu wazima kupata wastani wa angalau saa saba mpaka nane za kulala kila usiku ili kuwa na afya bora. Ripoti kamili ya matokeo ya utafiti huu inapatikana katika toleo la mwezi April, 2007 la jarida la afya la Sleep.

DAWA YA KUPATA USINGIZI: chukuwa Maziwa moto glasi moja changanya na Asali kijiko 1 kikubwa koroga vizuri unywe utapata usingizi.
eeenheee....hapo sawa mkuu...da ila sasa ndo kila siku au nikinywa mara moja ndo basi tatizo limeisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom