Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Mimi pia nina tatizo hilohilo nikilala sana mwisho masaa matatu. Na nafanya mazoezi ( nazunguka uwanja wa mpira wa miguu zaidi ya mara kumi).
Sometimes huwa mgongo unanisumbu hii inaweza kuwa inachangia?
 
Habarini wana jamvi

Ni sa 04:00 ya usiku naandika post hii sina hata lepe la usingizi,nimeshtuka usingizini majira ya 02:15 usiku niliupata usingizi majira ya saa sita usiku tena ni baada ya kuubembeleza haswaaaa.Situmii kahawa ambayo labda ningesema ndiyo inayoweza kuwa inachangia hili suala,naombeni msaada wenu wa kutatua tatizo hili
Stress ukiwa na changamoto za maisha..jichunguze uone zile siku unazokuwa mambo safu na una furaha usingizi huja wote
Hili sio tatizo lako pekeyako ni la watu wengi !ukiingia mtandaoni usiku utakuta watu wako busy utadhani mchana
 
Vipi kama ni hali ya kila siku kwa mtu. Yani akisinzia ni masaa matatu tu.
 
Mawazo ni kitu mbaya sana,ila kwa ushauri wangu pima malaria kwanza huwa ina hayo matatizo,mawazo ambayo yanajirudia rudia mfano kuwazia sana utatoka vipi kimaisha,utapataje pesa ,mambo ya mapenzi n.k.pia kuwa bize sana ili uuchoshe ubongo, inaweza kuwa ni kufanya kazi,kusoma vitabu,kufanya vitu vinavyoupa challenge ubongo kama games za aina yoyote zile n.k nk.
 
Fanya mazoezi.. Kunywa maji ya vuguvugu muda wa kalala, kaa mbali na simu kitandani kisha zima radio tv kila kitu.. Kisha usifikirie vitu ambayo huna uwezo navyo maana kila jambo huja na kuondoka, haijalishi lina ukubwa gani
 
jitahidi kula bilinganya ,maji mengi epuka mawazo mengi, huo ugonjwa unaitwa Insomnia
 
Mkuu.. Inawezekana kabisa ukawa na ugonjwa wa Insomnia.... Huu ni ugonjwa wa kukosa usingizi.. Kuna dawa za vidonge kama tryptilyne zinaweza kukusaidia ukapata usingizi...
 
Kama akili inafanya kazi timamu, huwezi lala.
Binafsi nalala masaa machache sana kila siku akili inazunguka kuwaza pesa, biashara, watoto, michepuko, udhia, familia, kampuni yangu, maisha, karaha agghhhh....
Basi mwisho wa siku najikuta najongea jf 24/7
 
Stress ukiwa na changamoto za maisha..jichunguze uone zile siku unazokuwa mambo safu na una furaha usingizi huja wote
Hili sio tatizo lako pekeyako ni la watu wengi !ukiingia mtandaoni usiku utakuta watu wako busy utadhani mchana
Mimi na wewe hua tunakua humu daily usiku mkubwa, pia kuna member wengine wawili hua nawaona masaa mengi sana nyakati za usiku
 
Stress ukiwa na changamoto za maisha..jichunguze uone zile siku unazokuwa mambo safu na una furaha usingizi huja wote
Hili sio tatizo lako pekeyako ni la watu wengi !ukiingia mtandaoni usiku utakuta watu wako busy utadhani mchana
Hahaha mkuu ngoja nitaufanyia kazi huu ushauri wako
 
Kweli kabisa wengine walikuwa ni rubii na Watu8 wengine ni KARANJA 007 na sky clant
Mkuu Mshana tupo pamoja saana,nakushukuru kwa kunifariji jana usiku mwingi maana Sky Eclat nilijaribu kuwekeza kwake lakini akaona anipotezee tu,simlaumu maana kosa ni langu, mimi nae ni muharibifu ndio maana nikapigwa teke na huyo mrembo,anyway acha njirekebishe huku nikiendelea kufurahisha wana Jamii Forum coz maisha mafupi sana hivyo lazima tuchekeshane wanadamu.
 
Amitryptilline ni dawa nzuri unameza usiku tu kwa wiki kama mbili hivi ili urekebishe hiyo circadian rythism hila kama inshu ni stress!!! Vinginevyo ni kama ifuatavyo usile chakula kizito usiku, Fanya shughuli nyepesi mno usiku kama vile kusoma kitabu..usiangalie TV au movie unayoipenda usiku au kusoma hadith tamu uipendayo usiku, usilazimishe kulala fasta. Andaa kitanda mapema, kama kuna tatizo lisolve before bedtime, ukiamka usiku sana, Usihofu wala usiwaze Bali chukua hata kijitabu hivi ujisomee kidogo maana hiyo hali itakuja tu kuisha yenyewe, usifanye mazoezi usiku kabla ya kulala! Hakikisha unafika kitandani muda muafaka hata kama hauna usingiz kisha Fanya kitu ambacho kitakuboa kama vile kusoma magazeti au kitabu hasa cha dini
 
Shukrani mkuu kwa ushauri mzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom