Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Inawezekana una insomnia. Mimi pia nina hilo tatizo, me na kulala ni vitu viwili tofauti. Niklala sana masaa matatu. Wakati mwengine inanibidi mpaka nile dawa.
Na wakati mwengine hata hizo dawa nazo pia zinadunda.
Ni hali ambayo inakera kwa kweli.
Ngoja nitafute hizo dawa walozitaja wadau hapo juu.
 
[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] Pole my
 
Inawezekana una insomnia. Mimi pia nina hilo tatizo, me na kulala ni vitu viwili tofauti. Niklala sana masaa matatu. Wakati mwengine inanibidi mpaka nile dawa.
Na wakati mwengine hata hizo dawa nazo pia zinadunda.
Ni hali ambayo inakera kwa kweli.
Ngoja nitafute hizo dawa walozitaja wadau hapo juu.
Pole mkuu
 
Wakuu,

Natambua humu kuna doctors na wadau wa inshu za afya,

Sasa mimi nahitaji msaada wa kujuzwa mambo haya, kwanza nahitaji dawa ambayo kama nitatumia itanipa usingizi mkali isiwe ya kulevya tu. Nina matatizo ya kukosa usingizi iwe vidonge au syringer am ready kwa kweli kutumia hili swala la kukosa usingizi linanifanya nikonde sana, Valeum and piliton hizo achana nazo nipe zingine unazojua.
 
Huwa naskia dawa za kuleta usingizi zina madhara
Nenda kawaone wataalamu wa Afya,
ila kuuliza hapa nayo si mbaya japo inaweza kuwa hatari kidogo
 
Duuuuu Una Insomnia mkuu, hebu nenda hospital waka kuchunguze zaidi kk achana na Over the counter medications.
 
Mkuu,kuna ile dawa nasikia vibaka wanaitumia kuwafanyizia watu madirishani halafu huwaibia kwani hulala kama wafu,unaitaka we we au?,mbona sikuelewi vizuri
 
Wakuu,

Natambua humu kuna doctors na wadau wa inshu za afya,

Sasa mimi nahitaji msaada wa kujuzwa mambo haya, kwanza nahitaji dawa ambayo kama nitatumia itanipa usingizi mkali isiwe ya kulevya tu. Nina matatizo ya kukosa usingizi iwe vidonge au syringer am ready kwa kweli kutumia hili swala la kukosa usingizi linanifanya nikonde sana, Valeum and piliton hizo achana nazo nipe zingine unazojua.

Piga 0715476787 Atakusaidia ndugu
 
Dawa ya usingizi
Chukua mbegu sita za kitunguu saum menya vizuri alafu kata kata vipande vidogo vidogo kama vidonge, weka katika glas moja ya mtindi kabla ya kulala,kunywa siku mara 1 alafu lete mrejesho,

Pili maziwa moto glas changanya na kijiko kimoja cha chai cha mafuta ya habbat soda alafu kunywa

Tatu
Maji ya vugu glas moja
Kamulia kipande kimoja cha limao
Kunywa,

Usingizi wapono
Achana na vidonge ..
 
usitumie madawa ya hospital ni adui wa usingizi bora uvute BANGI wakati wa kulala kuliko hayo makitu.

swissme
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom