Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Naomba msaada huwa mara nyingi au kila siku kulala kwangu ni kwa shida sana yani sipati usingizi ata nikachoka baada ya majukumu mchana nitalala kwa shida pia sichelewi kustuka usiku na nisipate usingizi inafika wakati kichwa kinauma kwa ajili iyo.
Nini tiba yake?
 
ni kweli mawazo yapo kakini wakati yanasababishwa na ukosefu wa usingizi..ilo ndio tatizo kubwa kwangu
 
Watu tunasaka dawa tuachane na usingizi kabisa we unatafuta dawa ulale sana? Sasa nini faida ya usingizi mimi natamani kuwa active 24Hrs ntalala nkifa
 
Vuta bangi au kula weed cake, dhumuni ni upate ile tetrahydrocanabinol (thc) in your system. Usingizi utakuja. Its a natural remedy prescribed na wataalam and am a witness.
 
Mzee usilale mchana, na ikiwezekana tafuta angalau demu uwe unajipigia hapo utaanza kulala hadi tena uje kuomba ushauri wa jinsi ya kuzuia usingizi kupita kiasi
 
ahsante kwa ushauli lakini ivo vitu siwez kuvitumia kwakweli km tiba yenyew ndio iyo nimeshindwa
 
Mzee usilale mchana, na ikiwezekana tafuta angalau demu uwe unajipigia hapo utaanza kulala hadi tena uje kuomba ushauri wa jinsi ya kuzuia usingizi kupita kiasi
teh teh teh mchana sipati mda wa kulala kabisa labda ilo nitafute demu wa kujipigia linaweza kuwa suluhisho
 
Vuta bangi au kula weed cake, dhumuni ni upate ile tetrahydrocanabinol (thc) in your system. Usingizi utakuja. Its a natural remedy prescribed na wataalam and am a witness.
ukivuta bangi ulali mkuu labda umpe ushauri. mwingine.
 
kwakweli nitatizo kwa watu wengi sana...ila kuna vitu unaweza kujaribu kuzingatia...Giza la usiku wakati umelala husaidia ubongo kutoa kemikali inayokusaidia ubongo ku relax na kupata usingizi, kwahiyo lala gizani kaisaa.
Pia kuna vyakula ambavyo huusisimua ubongo na kufanya usi relax, vinatajwa kama chai, soda kahawa, red bull...ni vizuri kuachana navyo nyakati za usiku ikiwezekana masaa 2 kabla ya kulala.
hata kula iwe masaa 2 kabla ya kulala....
Unapopata usingizi lala, usiubanie usingizi.
Jaribu maziwa kabla ya kulala na yawe ya vuguvugu na hata usingizi unapokatika
Usingizi ukiktika achana na kitanda nenda sebleni kakae tu, ni mwiko usiangalie tv wala simu, ukipata glass ya maziwa vuguvugu usingizi utarudi.
Kama hufanyi mazoezi tembea hata dk 30 mida ya jioni na asubuhi.
Jaribu mkuu mie ilinisaidia....
 
ahsa

asante kwa ushauli wako nitaufanyia kazi
ivi sasa nazima kila kitu hapa alafu nione inakuwaje
 
poa mkuu ila ni vingi tu inabidi uzingatie, sio giza tu. hizo stimulants na mlo pia na muda
 
Watu tunasaka dawa tuachane na usingizi kabisa we unatafuta dawa ulale sana? Sasa nini faida ya usingizi mimi natamani kuwa active 24Hrs ntalala nkifa

Sasa mkubwa kama hana cha kufanya wakati yuko macho afanyeje? Mie ni mmoja wa wale wanaochelewa sana kulala. Hata hivyo nafikiri ni udhaifu wa kushindwa kupangilia vizuri matumizi ya muda wangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom