Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Mkuu mimi najua dawa nzuri sana nayo ni :kabla ya kulala wewe kulaneni kimoja au viwili utakuja kuleta FEEDBACK HAPA MKUU .HATA MIMI NDIO NATUMIA HIYO DOSE MKUU ,
 
Naomba msaada huwa mara nyingi au kila siku kulala kwangu ni kwa shida sana yani sipati usingizi ata nikachoka baada ya majukumu mchana nitalala kwa shida pia sichelewi kustuka usiku na nisipate usingizi inafika wakati kichwa kinauma kwa ajili iyo.
Nini tiba yake?
Utakuwa unaumwa ugonjwa wa Insomnia. Google upate kuelewa zaidi tatizo lako. So far nimekuwekea hiyo link. Pole sana. Kuna dawa za kukusaidia katika tatizo lako. Muone daktari umuelezee akuandikie dawa. Ila moja wapo inaitwa amitriptyline. Ukienda duka la Fabek plaza pale karibu na Manzese darajani unaweza kupata.

Insomnia - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Kwa kawaida mimi hulala saa nne usiku.Ila ikifika saa tisa usiku usingizi unapotea .Nakaa macho mpaka saa kumi na mbili alfajiri ndipo nahisi usingizi na huo ni muda wa kuamka.

Nikifika kazini saa sita mchana huwa natamani kuondoka ili nilale maana nakuwa nina usingizi mzito kweli kweli.Lakini najikaza maana hakuna namna ya kuondoka.

Kwa nini usingizi unaisha kila muda huo usiku?
 
Nahisi kuna kipindi either wakati ulipokuwa unasoma ulikuwa ushajizoesha kuamka muda huo, kwa hiyo kwa sasa kila ikifika muda huo inakubidi kuamka automatically, hii ilikuwa inamtokea rafiki yangu.

Sababu ya pili inawezakuwa una msongo wa mawazo kwa hiyo usingizi unakuwa wa mang'amu ng'amu.
 
Kwa kawaida mimi hulala saa nne usiku.Ila ikifika saa tisa usiku usingizi unapotea .Nakaa macho mpaka saa kumi na mbili alfajiri ndipo nahisi usingizi na huo ni muda wa kuamka.

Nikifika kazini saa sita mchana huwa natamani kuondoka ili nilale maana nakuwa nina usingizi mzito kweli kweli.Lakini najikaza maana hakuna namna ya kuondoka.

Kwa nini usingizi unaisha kila muda huo usiku?

Hakuna shida hapo..Mzee kulala masaa zaidi ya matano kwa mtu mzima mbona yanatosha sana?..tena kwa mtu unayefanya kazi unataka ulale masaa 10 kama nawe unataka kukua?..kama vipi vuta muda wa kulala ulale aaa 5 au sita ili uamke saa 12 otherwise huo muda unatosha sana kupumzisha akili..kuna watu wanayatafuta hayo masaa matatu tu kwa siku hawayapati na wakiamka wanapiga mzigo job kama kawa lkn wewe pamoja na kulala masaa sita ukifika job unapata usingizi mzito..haya bana
 
The best way you can solve that prob is by doing exercises which will make ur body tired. Fanya jogging au any kind of mazoei jioni jioni, mwili ukichoka trust me you will sleep like a baby. Pia epuka sana sana sana kuwa karibu na simu yako pindi usingizi ukikata usiku. Coz simu itakufamnya akili iwe active hivo utaendelea kukosa usingizi. Ikitokea usingizi umekata just stay still at ur bed, with ur eyes closed. Usiwashe taa wala kumove any how au kukaa kitandani. Just endelea kufumba macho na kulala, Stay away from ur smart phone. And just try to relax. Mimi pia nilikua na tataizo la kukata usingizi usiku, lakini nikaamboiwa habari ya kufanya mazoezi jioni na ku stay away from my smart phone at night. Try this, and bring back the feedback. Good luck
 
Insomnia ni symptoms za tatizo flani ulilonalo na wala si ugonjwa kama ambavo baadhi wamechangia.

Temporary Insomnia huwa muda mfupi na chronic Insomnia huwa ya muda mrefu.

Ipo tofauti kubwa ya mtu kukosa usingizi kisa alfajiri anatakiwa kwenda panda ndege Kwa Mara ya kwanza kwenda masomoni ulaya, huyu anaweza pata temporary Insomnia.
Mwingine aliyefiwa na mtu wake muhimu ktk maisha au mtu kuachishwa kazi na hana kazi Mara huwa na complications na kama majanga yakifuatana ndio kabisaaa balaa.

Lakini umri ukienda Insomnia huwepo, wazee wengi hawalali na inakuwa chronic Kwa sababu ya masahibu aliyoipitia. Unakuta anawajukuu wakulea na uwezo hana.

PM Kwa maelezo zaidi


mdau naomba maelezo zaidi Mzee wangu hii shida anayo kwa kweli inamsumbua sana
 
Habarini wana jamvi

Ni sa 04:00 ya usiku naandika post hii sina hata lepe la usingizi,nimeshtuka usingizini majira ya 02:15 usiku niliupata usingizi majira ya saa sita usiku tena ni baada ya kuubembeleza haswaaaa.Situmii kahawa ambayo labda ningesema ndiyo inayoweza kuwa inachangia hili suala,naombeni msaada wenu wa kutatua tatizo hili
 
Pole sana mkuu ..
Niliwahi kumsikia Babu akitushauri kunywa maziwa ya moto kabla ya kulala naww jaribu...
Lkn watakuja wataalamu kukujuza zaidi kwani uzi kama huu ulikuwepo hapa..
 
Habarini wana jamvi

Ni sa 04:00 ya usiku naandika post hii sina hata lepe la usingizi,nimeshtuka usingizini majira ya 02:15 usiku niliupata usingizi majira ya saa sita usiku tena ni baada ya kuubembeleza haswaaaa.Situmii kahawa ambayo labda ningesema ndiyo inayoweza kuwa inachangia hili suala,naombeni msaada wenu wa kutatua tatizo hili
uwe unafanya mazoez sana..hakika utakuwa unapata kauchovu flan unajikuta unapenda kulala
 
Jioni saa kumi na mbili na nusu fanya walking ya 45 minutes mpaka 60 minutes.. ..rudi oga na kula ..kiasi sio msuguria mzima.
Jisomeee kidogo...saa nne kulala. Usingizi utakuja
 
Mimi pia nina tatizo hilohilo nikilala sana mwisho masaa matatu. Na nafanya mazoezi ( nazunguka uwanja wa mpira wa miguu zaidi ya mara kumi).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom