Nsabhi
JF-Expert Member
- Feb 23, 2011
- 1,093
- 162
Napita tuSijui wengine, tiba ya kukosa usingizi ni uwe umechokaa oga afu lala
Mfano baada ya kazi siku nzima au mwanaume wako akishakupa mambo mazuri hivi
Napita tuSijui wengine, tiba ya kukosa usingizi ni uwe umechokaa oga afu lala
Mfano baada ya kazi siku nzima au mwanaume wako akishakupa mambo mazuri hivi
ahsante kwa ushauli lakini ivo vitu siwez kuvitumia kwakweli km tiba yenyew ndio iyo nimeshindwaVuta bangi au kula weed cake, dhumuni ni upate ile tetrahydrocanabinol (thc) in your system. Usingizi utakuja. Its a natural remedy prescribed na wataalam and am a witness.
teh teh teh mchana sipati mda wa kulala kabisa labda ilo nitafute demu wa kujipigia linaweza kuwa suluhishoMzee usilale mchana, na ikiwezekana tafuta angalau demu uwe unajipigia hapo utaanza kulala hadi tena uje kuomba ushauri wa jinsi ya kuzuia usingizi kupita kiasi
kunywa viroba[/QUO
Tet eeeh
ukivuta bangi ulali mkuu labda umpe ushauri. mwingine.Vuta bangi au kula weed cake, dhumuni ni upate ile tetrahydrocanabinol (thc) in your system. Usingizi utakuja. Its a natural remedy prescribed na wataalam and am a witness.
asante kwa ushauli wako nitaufanyia kazikwakweli nitatizo kwa watu wengi sana...ila kuna vitu unaweza kujaribu kuzingatia...Giza la usiku wakati umelala husaidia ubongo kutoa kemikali inayokusaidia ubongo ku relax na kupata usingizi, kwahiyo lala gizani kaisaa.
Pia kuna vyakula ambavyo huusisimua ubongo na kufanya usi relax, vinatajwa kama chai, soda kahawa, red bull...ni vizuri kuachana navyo nyakati za usiku ikiwezekana masaa 2 kabla ya kulala.
hata kula iwe masaa 2 kabla ya kulala....
Unapopata usingizi lala, usiubanie usingizi.
Jaribu maziwa kabla ya kulala na yawe ya vuguvugu na hata usingizi unapokatika
Usingizi ukiktika achana na kitanda nenda sebleni kakae tu, ni mwiko usiangalie tv wala simu, ukipata glass ya maziwa vuguvugu usingizi utarudi.
Kama hufanyi mazoezi tembea hata dk 30 mida ya jioni na asubuhi.
Jaribu mkuu mie ilinisaidia....
inawezekana ila sijajua nizitumie vipi au nichemshe supu bila kuunga?Biringanya Pia ni dawa nzuri sana ya usingiz.
poa mkuu ila ni vingi tu inabidi uzingatie, sio giza tu. hizo stimulants na mlo pia na mudaahsa
asante kwa ushauli wako nitaufanyia kazi
ivi sasa nazima kila kitu hapa alafu nione inakuwaje
Watu tunasaka dawa tuachane na usingizi kabisa we unatafuta dawa ulale sana? Sasa nini faida ya usingizi mimi natamani kuwa active 24Hrs ntalala nkifa