samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,478
- 24,262
Kwa taarifa yako ripoti ya Mwakyembe haikumtaja Lowassa. Acha habari za kusikia. Fuatilia mambo vizuri. Kama unao huo waraka uliomtaja Lowassa, uambatanishe kwenye uzi huu tafadhali
Bro ripoti ya Mwakyembe ni ndefu sana itafute uisome mwenyewe vizuri usiwe mvivu kwani binafsi hata jana usiku nimeisoma,, kwa kukukumbusha tu alipohojiwa Msabaha alisema yeye ni banguchiro ( yaani mbuzi wa kafara) muhusika ni waziri mkuu na pia alipohojiwa katibu mkuu alisema dili ni ya LOwassa na mshirika mwenzie kibiashara yaaani Rostam AZIZ,, kuna mahali mchakato walinyang'anywa tanesco ukabaki wizara ya nishati mpaka Tume ikajiuliza kiburi hicho wizara inapata wapi, na utakuta kuna barua wazir mkuu alizisaini na kuwaambia tanesco wakae pembeni,, utakuta kuna ushauri mzuri kutoka PPRA na tanesco lakini wizara ya nishati iliukataa na ofisi ya waziri mkuu ikabariki mchakato uendelee.. hata Msabaha alipoondoka akaja Karamagi bado OFisi ya waziri mkuu kushirikiana na karamagai ikawainaendelea kuissuport richmond vs dowans,, NENDA KAIPITIE USIKU HUU NA UISOME KWA MAKINI NENO MPAKA NENO UTAELEWA,, PIA TAFUTA DOCUMENTS ZIHUSUZO MGODI WA BUZWAGI NAZO ZISOME PIA UONI NI NINI KILITOKEA CHURCHILL HOTEL...