Uchaguzi 2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"

Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.
Tunajazilizia kwa kichwa/ kichwani...Hii ni JF,nyumbani kwa wenye fikra pana na pevu,siyo ..fb/insta....
 
Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.
Mwenyewe nataka nijue hili ..si kapita ubunge bila kupingwa?
 
Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"

Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.
Hawa wakati mwingine ni vichekesho vitupu.
 
Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?
Akili zako bhaaana,
hivi unawezaje kuishi na akili kama zako eeeh!?
 
Mimi si mmoja wao wa kujadili ya kusikia, watu au matukio. Hoja kwa hoja na siyo vioja.

Wapiga kura siyo wajinga kiasi hicho. Mmoja mmoja anaporudi nyumbani kwake anachambua pumba na mchele.

MNA MGOMBEA JASIRI WA KUSEMA UWONGO UWE UKWELI, MATUSI YAWE HOJA
Povu jepesijepesi
 
Ni wakati gani anakuwa PM na wakati gani anakuwa mjumbe wa kamati kuu ?
Siyo kwamba Wabunge wote wa ccm ni wajumbe wa kamati kuu ya chama chao?!Si alitangazwa ubunge kapita bila kupingwa?! au yalikuwa mambo ya mitandaoni? au mpaka aapishwe?Spika tena bado sijui wa kumwapisha nani?Nataka kujifunza hapa..
 
Jikite kwenye hoja. Wewe jiulize anapiga kampeni Kama Nani? He huko anakozunguka anaendelea kutoa maagizo na kufanya kazi za kiutendaji wa serikali? Sina upande wowote kwenye hili najaribu kufafanua hoja kuu.
Jibu swali usijitetee
 
Uhuru na Haki, mgombea wa Urais wa CHADEMA anaohubiri, aache utafsiriwe kwa vitendo la akanushe lawama kwamba kwa miaka 5 upinzani ulinyimwa haki hiyo?

Mtu akiwa mwongo awe na kumbukumbu nzuri.
nadhani kuna mahali hauko sawa
 
Sheria haiduhusu mtu yeyote nje ya msafara wa Mgombea Urais na mwenza wake kuzinguka kufanya kampeni nje ya eneo lake.

Majaliwa anaruhusiwa kuwa kwenye msafara wa mgombea Urais na si vinginevyo.

Nothing less nothing more
Msafara wa mgombea urais una watu wapi?Na msafara wa Rais watu wapi?
 
Ndugu kubali tu lugha ya mama kidogo imekupita pembeni ,unajitutumua tu lakini ukweli ndio huo na kukiri kuwa hujui sio kosa kwani Kiingereza wanaokijua kindakindaki ni wachache na tunajifunza kwa makosa, naamini kwa asilimia mia moja hutaandika tena kama ulivyoandika, kama hujui kitu ukubali kukosolewa au kufundishwa , hii ni lugha na sio siasa ambayo unageuza maneno kumridhisha Mbowe, unaambiwa umekosea wewe unarukia kwa mwingine, kama hujui,hujui tu na kama unajua unajua tu.
Kama hujui kitu kubali kukosolewa
Kama hujui kitu ukubali kukosolewa
 
Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"

Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.
Njia hii mtu ambae hajui kingereza ni magifuli tu....jiulize tu ivi kuna mtu hapendi kutoka nje ya Tanzania hata kufanya survey tu lakini magu kwake fresh tu
 
Jikite kwenye hoja. Wewe jiulize anapiga kampeni Kama Nani? He huko anakozunguka anaendelea kutoa maagizo na kufanya kazi za kiutendaji wa serikali? Sina upande wowote kwenye hili najaribu kufafanua hoja kuu.
Mbona wote maswali yenu ya mashiko?!Kila mtu amjibu mwenzake kwa manufaa ya wengi hapa Jamvini...ninyi ..kawoli na mwenzako?
 
Kwa kuwa ccm ni wavunjaji wa sheria wazoefu najua hawatatii na kimajaliwa kitaendelea kufanya kampeni za Urais, Cha kufanya na sisi ni kumchukua Mchungaji msigwa au Lema nao wapite mtaa kwa mtaa wakimpigia kampeni Tundu Lissu, halafu tusikie fyoko fyoko mnavunja sheria za uchaguzi
Mheshimiwa LISU pitia huku jf ukutane na haya madini.TUME waufyate Mara moja.maja wtz tunamjua mda huu kama amekaimu uwaziri mkuu.na hao wote wateiluwa.harafu kwa nini Memo hajavunja baraza la mawaziri?

Tumeccm ijitafakali.

NI YEYE
 
Siyo kwamba Wabunge wote wa ccm ni wajumbe wa kamati kuu ya chama chao?!Si alitangazwa ubunge kapita bila kupingwa?! au yalikuwa mambo ya mitandaoni? au mpaka aapishwe?Spika tena bado sijui wa kumwapisha nani?Nataka kujifunza hapa..
Kumbuka kuna Maadili ya Uchaguzi yaliyoandaliwa na Tume yenyewe , hakuna cha kipengere kwamba ukipita bila kupingwa ukazurule kwenye kampeni za watu , baki Rwangwa au ongozana na mgombea urais wa chama chako , hakuna ratiba ya kampeni iliyopangwa kwa ajili ya wajumbe wa kamati kuu.

Baada ya uchaguzi Majaliwa anaweza kukamatwa
 
Hata Lissu the Great bado si Kiingereza kizuri sana.The Great what?Tumechukua kwenye Historia Askia Muhamed "The great".Sentensi zote mbili kama tukienda kwenye ufasaha wa kiingereza zinatakiwa kuwa na neno la kumalizia mwishoni(noun).Lakini kama ni kwa ajili ya flavour tu wote mpo sahihi
Inaonekana elimu yako na uelewa wako upo chini, halafu umejaa ubishi wa vijiweni eti nyote mpo sawa.. endelea na unavyojua(case closed).
 
Kwenye hili sidhani kama Lissu yuko sahihi.

Godbless Lema alikuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni za Lissu Dar na alimpigia kampeni wakati ni mgombea Arusha.

Lakini, Kassim Majaliwa bado ni mtanzania, kwa mujibu wa katiba ya nchi ana haki ya kwenda mahali popote nchini.

Na kwa mujibu wa katiba ya nchi Kassim Majaliwa ana haki ya kufanya kazi ya kisiasa aliyotumwa na chama chake kwa sababu chama chake ni chama halali kilichosajiliwa nchini.

Kazi ya kuomba kura ni kazi ya wanachama wote, siyo wagombea peke yao!. It is not about individuals, it is about the party

Miaka michache iliyopita Chadema walikuwa wakilalamika kuzuiwa kufanya siasa nchi nzima, yaani mbunge wa Jimbo X kushiriki siasa za Jimbo Y, Leo Lissu anakubaliana na katazo lilelile la Magufuli ambalo walilipinga kipindi kile?

Labda Lissu anukuu vifungu vya sheria tujionee otherwise hoja yake hii naona haina mashiko
Majaliwa ni mtumishi wa umma mpaka Sasa bado baraza la mawaziri halijavunjwa bado
 
Sasa hoja iwe kutumia rasilimali za serikali kufanya kampeni za kisiasa, Hoja siyo eti kwa kuwa ni mgombea ubunge wa Ruangwa basi eti hana haki ya kuzunguuka nchi nzima kumpigia kampeni mgombea mwingine wa chama chake!.

Mbona wagombea ubunge wa Chadema wanasaidiana kampeni kwenye majimbo yao?, kwa mfano Msigwa alienda Kilosa kumpigia kampeni Profesa J?

Mbona Zitto anazunguuka nchi nzima kuwapigia kampeni wagombea wa chama chake?

Hoja ya Lissu katika hili suala haina mashiko, labda aijenge juu ya kutumia rasilimali za serikali kupiga kampeni, lakini si kwa mtu individually kupiga kampeni kwa niaba ya mtu mwingine mahali popote nchini!
Mkuu michango yako humu JF ni ya kiwango cha juu mno! Kwanza heshima kwa hilo. Hoja ya msingi kwenye kesi hii (cited) Lissu Vs Majaliwa, 2020 ni kwamba maadili ya uchaguzi mkuu 2020 yanakataza viongozi wa serikali (mawaziri, RC's, DC's, n.k.) kuwafanyia kampeni wagombea.

Sasa kama Kassim Majaliwa, uwaziri mkuu wake ulishakoma then Lissu atakuwa amepotoka ila kama Kassim Majaliwa bado ni Waziri Mkuu wa JMT, Lissu ana hoja ya msingi kwa kuzingatia maadili yaliyotolewa na NEC yenyewe na ambayo kila mmoja anatakiwa kuyazingatia.
 
Back
Top Bottom