PreGE2025 Tarimba ataka CCM kumchukulia hatua Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mhe. Abbas Tarimba, amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kumchukulia hatua za Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kupitia Kamati ya Maadili ya chama hicho, kufuatia kauli alizotoa dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, leo Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma, Mhe. Tarimba amesema kauli za Gwajima kuhusu madai ya utekaji ni za kudhalilisha na hazikubaliki, hasa pale zinapogusa familia ya Rais.

"Naiuliza CCM, huyu mtu bado ana kadi ya chama chetu, kwa nini awe huru kuendelea kutoa maneno ya fedheha kwa Rais wetu? Anatoa mifano ya kutisha, ya kumkosea heshima Rais na familia yake. Unamtaja mtoto wa Rais, ukisema atobolewe macho, hivi kweli unaelewa uchungu wa mzazi?" amehoji Tarimba.
 
Kaongea upumbavu na ujinga mkubwa
Hii inaonesha jinsi ccm ilivyo jaa wajinga! Gwajima kosa lake lipi? Kuelezea kwa kina utekaji na mauaji nchini!
Nyie machawa wajinga wakina Msukuma ndio mnampoteza Samia nae anakubali ujinga wenu : jibuni hoja za Gwajima kuhusu nani anawalinda Hawa wauaji na kwanini wahusika hawakamatwi ili hali tuna vyombo vya usalama mahiri?
Wakina Tarimba ni machawa ili kulinda ufisadi wanaofanya kwemye betting; hawana uchumgu na nchi hii!! Watoke na wajibu hoja za utekaji kama ni wanaume wa Kweli! Acheni uchawa mnaamiza nchi.
 
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.

Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo

Mimi chiembe napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Nachoshukru tu ni kwamba wanaounga mkono mauaji wanaendelea kujitokeza kwa wingi ili ICC isije ikahangaika kutafuta mashahidi
 
Naunga mkono hoja, yule kwanza ni tapeli, eti kanisa la ufufuko, eti anafufua wafu? Yule ameshafika bei, hana tofauti na Kibwetere afukuzwe uanachama. Hana adabu amemtukana mwenyekiti wake, mkuu wa nchi yetu na amiri jeshi mkuu. Huyu Rais wetu naye aache unyonge, una madaraka yote unyonge unatoka wapi, ht mzee Mwinyi hawakujaribu kumchezea kwanini Samia. Hapa ndio namkumbuka Magufuli ht ile press asingemaliza, nyau lisilo na haya, ubunge wenyewe wa kupewa na Magufuli. Fukuza mbwa huyo.
Je watu hawauwawi?
 
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.

Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo

Mimi chiembe napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji

Fukuzeni wanadamu wote kutoka CCM, mbakie ninyi mashetani mliobeba miili ya wanadamu.
 
Ingekuwa Rais km Magu ht hilo kanisa Jumapili hawezi kuikuta, tunahitaji kiongozi mkuu very strong. Magufuli alishamaliza kazi, mama matatizo mengine amejitakia, Lissu na Heche siyo wa kucheka nao, Lissu hana utu, hana ustaarabu, hana fadhila, ili mradi anapigiwa makofi atatukana anavyojisikia, siyo wa kucheka naye. Ht akishinda kesi dola idil naye mpk achoke
Kwa hi

Kosa la gwajima hapo ni lipi kaka?
 
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.

Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo

Mimi chiembe napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Kwa kosa gani? Maana kila mtu anajua kuna kizungumkuti kigumu juu ya ndugu zetu wanaopotea,kutekwa na kuuwawa.

Kinachoonekana ni kama vyombo vya usalama vyote vinashindwa kuchakata na kufumbua hili fumbo.Kwani hatujaona ripoti yoyte ya maana kutoka huko kuhusiana na kinachoendelea na ufumbuzi wake, zaidi tu hili kwamba polisi ndio wanaohusika.

Katika mwendelezo WA kufikiri na kujaribu kutafuta majawabu Mh Gwajima nae kama mtanzania ametoa mapendekezo kwa ajili ya kuendelea kuboresha sasa na baadae.

Binafsi nasifu Sana mapendekezo take,na kuwaza sijui kwa nini walioandika Katiba/Sheria zinazohusiana hawakuliona hili.
Shida watu wanaopinga, wanakwamia tu kwenye kuona ni ishu inayomhusu Samia pekee na hivyo kujaribu kuwa wanamtetea raisi bila kuangalia mantiki ya hoja kwa upana wake.
Naam,Tunaweza kuwa na kiongozi mzuri sasa(Samia) lkn sio siku zote itakuwa hivyo.

Vyombo vya usalama vinatakiwa kuwa independent.
 
Hoja hujibiwa Kwa hoja tusitengeneze jamii ya watu waoga
 
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.

Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo

Mimi chiembe napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
================
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mhe. Abbas Tarimba, amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kumchukulia hatua za Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kupitia Kamati ya Maadili ya chama hicho, kufuatia kauli alizotoa dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, leo Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma, Mhe. Tarimba amesema kauli za Gwajima kuhusu madai ya utekaji ni za kudhalilisha na hazikubaliki, hasa pale zinapogusa familia ya Rais.

"Naiuliza CCM, huyu mtu bado ana kadi ya chama chetu, kwa nini awe huru kuendelea kutoa maneno ya fedheha kwa Rais wetu? Anatoa mifano ya kutisha, ya kumkosea heshima Rais na familia yake. Unamtaja mtoto wa Rais, ukisema atobolewe macho, hivi kweli unaelewa uchungu wa mzazi?" amehoji Tarimba.
Mwaka huu mtapata tabu sana. Watanzania wa sasa sio wapuuzi kama mnavyowachukulia.

No reforms, No elections
 
Huyu ni wewe?

Thread 'John Mrema ni gwiji la siasa, John Mrema mmoja ni sawa na kujumlisha Lissu na Heche kwa pamoja, halafu hawafiki hata nusu' John Mrema ni gwiji la siasa, John Mrema mmoja ni sawa na kujumlisha Lissu na Heche kwa pamoja, halafu hawafiki hata nusu

Kunguni wa mama ulikuwa unajibanza CHADEMA kusupport Vibaka 55 na press mkawa mnawafadhili hadi walipofeli project mkahamishia CHAUMMA napo kuanzia juma lililopita umekuwa ukijibanza huko kwenye project mpya kutengeneza CCM b.

Sasa leo umeonyesha rangi yako hali baada ya kuitwa kunusuru chama lako bovu linaungua kwa moto uliowashwa na mwanafamilia.

Je alichosema Gwajima kuhusu mzee Kibao kushushwa kwenye gari kisha kwenda kuuwawa na kutobolewa macho ni uongo?

Alichosema kuwa Mdude alichukuliwa kwake usiku na watu waliojitambulisha ni polisi ni uongo?
Uongo mtupu, umeandika mashudu na machicha mengi
 
Wacha walikoroge watalinywa, wengine wanaongea hawajui kinachoendelea. CCM walipokataa kusikiliza Mzee Warioba na Butiku ndo walipo haribikiwa. Wale wazee wako very objective. Yakiharibika watawakumbuka sana.
kwa kosa gani?
 
tuombe msaada kutoka kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom