Kwanini Gwajima asijibiwe kwa hoja,mbona mnamtisha.tarimba ajue Gwajima anamjua vizuri kuliko yeye anavyomjua gwajimaAmeongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Mmachekesha sana, you guys cant swallow the truth or take critism, yet here we are 😂😂Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Ngoja jumapili gwajima afyatuke. Wakamuulize BASHITE anamjua vyemaKwanini Gwajima asijibiwe kwa hoja,mbona mnamtisha.tarimba ajue Gwajima anamjua vizuri kuliko yeye anavyomjua gwajima
Wanazunguka zunguka na ku deploy proxies wao kujaribu kubadili upepoMpaka sasa hoja ya GWAJIMA HAIJAJIBIWA NI VIROJA BADALA YA HOJA
Naunga mkono hoja, yule kwanza ni tapeli, eti kanisa la ufufuko, eti anafufua wafu? Yule ameshafika bei, hana tofauti na Kibwetere afukuzwe uanachama. Hana adabu amemtukana mwenyekiti wake, mkuu wa nchi yetu na amiri jeshi mkuu. Huyu Rais wetu naye aache unyonge, una madaraka yote unyonge unatoka wapi, ht mzee Mwinyi hawakujaribu kumchezea kwanini Samia. Hapa ndio namkumbuka Magufuli ht ile press asingemaliza, nyau lisilo na haya, ubunge wenyewe wa kupewa na Magufuli. Fukuza mbwa huyo.Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Jibu hoja ya gwajima acha kurukaruka kwa viroja! Unashabikia ya G55 ukiacha hoja ya gwajima.Umeandika hii post kichwani ukiwa na samadi ya nguruwe badala ya ubongo
Huna point kaa kimyaWacha walikoroge watalinywa, wengine wanaongea hawajui kinachoendelea. CCM walipokataa kusikiliza Mzee Warioba na Butiku ndo walipo haribikiwa. Wale wazee wako very objective. Yakiharibika watawakumbuka sana.
We ni shoga lakeGwajima ni mwanaume
Gwajima hana hoja, ni uharo tupuHawa madebe tupu, na hao wanaotaka wapite ubunge. Huyo Tarimba yule hawara yake anavyomnyonyoa pesa ataacha kusifia ujinge ili apitishwe tena.
Kuna watu wenye uelewa wa mambo huko ccm wanaunga mkono alichoongea Gwaji boy, achaneni na hawa wapiga domo humu na wataka kupitishwa wagombee. Wamevuliwa nguo, badala wachutame, wanakimbia wakiwa watupu aibu yao.
Gwajima Yuko well informed kwenye hii saga busara ilikuwa kutokumjibu bali ule ushauri ulipaswa kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.bahati mbaya kama taifa tumezalisha machawa wengi wanaojua kusifia tu kwa kuwa ni wanufaika wa mfumo.Ngoja jumapili gwajima afyatuke. Wakamuulize BASHITE anamjua vyema
Unatumia uhuru vibaya au kwa kuwa umejificha kwenye ID feki ndio udhalilishe watuShaka s. Shaka ni wa chama gani? Mbona ameolewa na salum mpelembwe wa TANGA? Acha kujitoa ufahamu wewe
Kosa lake nini? Kutoa mifano hai?Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Ndo shida ya mapepo yanapowaingia watu, unadhani mimi sina haki ya kutetea nchi yangu. Jifanyeni mmeziba masikio. Kuharibikiwa kuko aina nyingi sana. Kiburi ni kibaya sana. Palipo kiburi kuna aibu mwisho wake.Huna point kaa kimya
Enzi ya JPM hata ule mkutano asingeufanya au hata kuumaliza. SSH aanze kuwafinya hawaNaunga mkono hoja, yule kwanza ni tapeli, eti kanisa la ufufuko, eti anafufua wafu? Yule ameshafika bei, hana tofauti na Kibwetere afukuzwe uanachama. Hana adabu amemtukana mwenyekiti wake, mkuu wa nchi yetu na amiri jeshi mkuu. Huyu Rais wetu naye aache unyonge, una madaraka yote unyonge unatoka wapi, ht mzee Mwinyi hawakujaribu kumchezea kwanini Samia. Hapa ndio namkumbuka Magufuli ht ile press asingemaliza, nyau lisilo na haya, ubunge wenyewe wa kupewa na Magufuli. Fukuza mbwa huyo.
Ccm mmeanza lini kufukuzana uanachama? Wakifanya wenzenu ni udictator. Aliyekuambia GWAJIMA anaogopa kufukuzwa chama ni nani???Naunga mkono hoja, yule kwanza ni tapeli, eti kanisa la ufufuko, eti anafufua wafu? Yule ameshafika bei, hana tofauti na Kibwetere afukuzwe uanachama. Hana adabu amemtukana mwenyekiti wake, mkuu wa nchi yetu na amiri jeshi mkuu. Huyu Rais wetu naye aache unyonge, una madaraka yote unyonge unatoka wapi, ht mzee Mwinyi hawakujaribu kumchezea kwanini Samia. Hapa ndio namkumbuka Magufuli ht ile press asingemaliza, nyau lisilo na haya, ubunge wenyewe wa kupewa na Magufuli. Fukuza mbwa huyo.