PreGE2025 Tarimba ataka CCM kumchukulia hatua Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tarimba na wenzake akina Musukuma yawezekana wako kambi moja na Gwajima,,, huu ni mchezo unaotaka kuingiza watu mkenge, yawezekana Gwajima ndo katumwa kujitoa muhanga, na hii kumwongelea kumpe umaarrufu ili UTABIRI utimie,,,
 
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.

Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo

Mimi chiembe napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
================
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mhe. Abbas Tarimba, amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kumchukulia hatua za Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kupitia Kamati ya Maadili ya chama hicho, kufuatia kauli alizotoa dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, leo Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma, Mhe. Tarimba amesema kauli za Gwajima kuhusu madai ya utekaji ni za kudhalilisha na hazikubaliki, hasa pale zinapogusa familia ya Rais.

Soma Pia: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

"Naiuliza CCM, huyu mtu bado ana kadi ya chama chetu, kwa nini awe huru kuendelea kutoa maneno ya fedheha kwa Rais wetu? Anatoa mifano ya kutisha, ya kumkosea heshima Rais na familia yake. Unamtaja mtoto wa Rais, ukisema atobolewe macho, hivi kweli unaelewa uchungu wa mzazi?" amehoji Tarimba.
Hoja hujibiwa kwa hoja na sio vitisho. Maji ya shingo yamewafikia sasa mnatapa tapa sana.
Kwani Abdul sio binadamu kama kina mdude, kina kibao, kina Soka? Au yeye ni special, huko kuongea kwa uchungu kwa nini hatukukusikia wakati kina mdude wanatekwa, kina kitima wanapigwa. Watu kama nyie ni wa kuweka kwenye incinerator, tusahau kabisa kama mliwahi kuexist kwenye dunia hii.
 
Ndio, yaani unauliza uchi wa mbuzi uko wapi? Huna macho? Ingekuwa unauliza uchi wa kondoo uko wapi ningekuelewa
Ok , nilitaka niconfirm ndio maana niliwahi kuuliza hii ID inaendeshwa na watu wangapi pengine ukute alikuwa admin mwingine ndio aliandika hiyo thread.
Asking the obvious
Haya tukija katika hoja ulizotoa kuhusu Gwajima.

Mzee Kibao hakuuwawa kwa kutobolewa macho?

Mdude hakuvamiwa na watu waliojitambulisha ni polisi nyumbani kwake na kuchukuliwa kusiokujilikana na siku mbili nyuma "alitweet" juu ya uwepo wa polisi kumfuatilia kutaka kujua anaishi wapi na aliyempa hiyo tip alisema aliahidiwa hata pesa hivyo alimpa Mdude tip akae kwa tahadhari.

Hapo uongo upo wapi?
 
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.

Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo

Mimi chiembe napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
================
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mhe. Abbas Tarimba, amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kumchukulia hatua za Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kupitia Kamati ya Maadili ya chama hicho, kufuatia kauli alizotoa dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, leo Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma, Mhe. Tarimba amesema kauli za Gwajima kuhusu madai ya utekaji ni za kudhalilisha na hazikubaliki, hasa pale zinapogusa familia ya Rais.

Soma Pia: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

"Naiuliza CCM, huyu mtu bado ana kadi ya chama chetu, kwa nini awe huru kuendelea kutoa maneno ya fedheha kwa Rais wetu? Anatoa mifano ya kutisha, ya kumkosea heshima Rais na familia yake. Unamtaja mtoto wa Rais, ukisema atobolewe macho, hivi kweli unaelewa uchungu wa mzazi?" amehoji Tarimba.

Uchungu wa mzazi anao Rais tu? Vipi wazazi wa mdude?
 
Mnara wa Babeli huo. Damu za watu zinazungumza. Wabunge wa CCM hawataki kujadili jinsi watoto wa watu wengine wanavyotekwa na kuuwawa kama kuku ila wanaumia mtoto wa rais akitolewa mfano. Hawa ni watu au majini>
 
Amesahau Gwajima alimnyoosha BASHITE huku akiwa ni Mkuu wa Mkoa wa DSM, tena mtoto pendwa wa aliyekuwa Rais wakati huo.

Hizi ligi za kuharibiana na kuchafuana, Gwajima ni Bingwa. Atawadhalilisha hadi hawawezi kuamini. Mtu ambaye video ya ngono ilishindwa kumnyamazisha, wasicheze nae kabisa.

Wanapaswa wajibu hoja zake kwanini watu wanatekwa na ni nani anayewateka.

NGOMA ikilia sana hupasuka, watu wamemsifia sana Mkulu hadi wanaona kushauri vitu vizuri ni UBAYA.

Ni bora wamalize haya mapema kabla hawajajutia.
Katika mtu ambaye anajuta kumjibu jGwajima ni tarimba "potelea mbali lolote na liwe"anajua kinachofuata.
 
Hatuna haja na kikura chako hicho, hujui hata kuandika na kusoma
Hivi pamoja na dollar ya Marekani kupanda dhidi ya shilingi ya Tanzania, bado mnalipwa buku 7 kama zamani ama Mwaka huu imepanda kidogo 😜

Maana kazi ya kumsafisha mtekaji sio ndogo hata kidogo
 
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.

Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo

Mimi chiembe napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
================
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mhe. Abbas Tarimba, amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kumchukulia hatua za Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kupitia Kamati ya Maadili ya chama hicho, kufuatia kauli alizotoa dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, leo Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma, Mhe. Tarimba amesema kauli za Gwajima kuhusu madai ya utekaji ni za kudhalilisha na hazikubaliki, hasa pale zinapogusa familia ya Rais.

Soma Pia: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

"Naiuliza CCM, huyu mtu bado ana kadi ya chama chetu, kwa nini awe huru kuendelea kutoa maneno ya fedheha kwa Rais wetu? Anatoa mifano ya kutisha, ya kumkosea heshima Rais na familia yake. Unamtaja mtoto wa Rais, ukisema atobolewe macho, hivi kweli unaelewa uchungu wa mzazi?" amehoji Tarimba.

Haya sawa tumekusikia Kwa maoni Yako na Mimi nasema kutoka moyoni kwamba
No reform no election kabisa ⚒️ 💯
 
"Rushwa huwa si mbaya kama na wewe ni sehemu ya wanufaika wa Rushwa hiyo"
 
"Naiuliza CCM, huyu mtu bado ana kadi ya chama chetu, kwa nini awe huru kuendelea kutoa maneno ya fedheha kwa Rais wetu? Anatoa mifano ya kutisha, ya kumkosea heshima Rais na familia yake. Unamtaja mtoto wa Rais, ukisema atobolewe macho, hivi kweli unaelewa uchungu wa mzazi?" amehoji Tarimba.
Kwa hiyo vipi wazazi wa mzee kibao na wengineo walio tekwa hawana uchungu yaani mtu katolewa mfano chawa wameumia kuliko 😀
 
Back
Top Bottom