PreGE2025 Tarimba ataka CCM kumchukulia hatua Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.

Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo

Mimi chiembe napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
================
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mhe. Abbas Tarimba, amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kumchukulia hatua za Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kupitia Kamati ya Maadili ya chama hicho, kufuatia kauli alizotoa dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, leo Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma, Mhe. Tarimba amesema kauli za Gwajima kuhusu madai ya utekaji ni za kudhalilisha na hazikubaliki, hasa pale zinapogusa familia ya Rais.

Soma Pia: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

"Naiuliza CCM, huyu mtu bado ana kadi ya chama chetu, kwa nini awe huru kuendelea kutoa maneno ya fedheha kwa Rais wetu? Anatoa mifano ya kutisha, ya kumkosea heshima Rais na familia yake. Unamtaja mtoto wa Rais, ukisema atobolewe macho, hivi kweli unaelewa uchungu wa mzazi?" amehoji Tarimba.

Kumbe we nawe ni mata.koo
 
Pesa anayo na hategemei ufisadi kama ndesamburo alivyokuwa ni ngumu . Gwajima kashachoka CCM na hajawahi kuipenda
 
Hivi kwamba kubwa waliloliona Gwajima ni kuingilia mamlaka, hawajaona alipoongelea watu 83 waliotekwa? Wamelewa Madaraka? Kiama chao chaja!!
 
Magufuli alitukosea sana katika hili bunge.

Huyo mtoto wa Sa100 yeye ni nani asiongelewe wala kutolewa mifano kwenye hii inchi. Mambo ya msingi hawatoi makalai yao kuyazungumzia lakini mambo yanayogusa maslahi hukimbia kuyashadadia.

What a hopeless bunge.
 
Wa
Naunga mkono hoja, yule kwanza ni tapeli, eti kanisa la ufufuko, eti anafufua wafu? Yule ameshafika bei, hana tofauti na Kibwetere afukuzwe uanachama. Hana adabu amemtukana mwenyekiti wake, mkuu wa nchi yetu na amiri jeshi mkuu. Huyu Rais wetu naye aache unyonge, una madaraka yote unyonge unatoka wapi, ht mzee Mwinyi hawakujaribu kumchezea kwanini Samia. Hapa ndio namkumbuka Magufuli ht ile press asingemaliza, nyau lisilo na haya, ubunge wenyewe wa kupewa na Magufuli. Fukuza mbwa huyo.
We ni chawa wa mama?
 
Huyo ni muwekezaji
Kama Mkuu wa nchi hatoi kauli juu ya uovu unaoendelea nchini,,,,,why wazalendo kama Mzee Gwajima asitoe ya moyoni...tatizo mnadhani hii nchi ni ya walio madarakani tu. Kikija kunuka tutajua uana vibaya coz viongozi wanachukulia poa maovu yanayofanyika nchini. UTEKAJI,KUUANA, UFISANI ULIOKITHIRI n.k
 
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.

Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo

Mimi chiembe napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
================
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mhe. Abbas Tarimba, amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kumchukulia hatua za Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kupitia Kamati ya Maadili ya chama hicho, kufuatia kauli alizotoa dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, leo Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma, Mhe. Tarimba amesema kauli za Gwajima kuhusu madai ya utekaji ni za kudhalilisha na hazikubaliki, hasa pale zinapogusa familia ya Rais.

Soma Pia: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

"Naiuliza CCM, huyu mtu bado ana kadi ya chama chetu, kwa nini awe huru kuendelea kutoa maneno ya fedheha kwa Rais wetu? Anatoa mifano ya kutisha, ya kumkosea heshima Rais na familia yake. Unamtaja mtoto wa Rais, ukisema atobolewe macho, hivi kweli unaelewa uchungu wa mzazi?" amehoji Tarimba.

Hii ndiyo Tanzania, kuna mahali Taifa linaelekea Mungu atusaidie.
 
Kosa hilo lakimfumo watakosea sana
 
hivi kweli unaelewa uchungu wa mzazi?"
Kwahiyo mtoto WA raisi kutajwa tu mzazi wake ndio ahisi uchungu kwahiyo hao wengine waliotekwa na kuuliwa ni mifugo sio watu na hawana wazazi wanaohisi uchungu? Uchungu wa leba anajua raisi tu?

CCM mkiambiwa hakili hamna muwe mnaelewa na kujikubali.

Alafu huyu Tarimba ni kabila gani sio muhamiaji haramu kweli?
 
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.

Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo

Mimi chiembe napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
================
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mhe. Abbas Tarimba, amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kumchukulia hatua za Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kupitia Kamati ya Maadili ya chama hicho, kufuatia kauli alizotoa dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, leo Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma, Mhe. Tarimba amesema kauli za Gwajima kuhusu madai ya utekaji ni za kudhalilisha na hazikubaliki, hasa pale zinapogusa familia ya Rais.

Soma Pia: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

"Naiuliza CCM, huyu mtu bado ana kadi ya chama chetu, kwa nini awe huru kuendelea kutoa maneno ya fedheha kwa Rais wetu? Anatoa mifano ya kutisha, ya kumkosea heshima Rais na familia yake. Unamtaja mtoto wa Rais, ukisema atobolewe macho, hivi kweli unaelewa uchungu wa mzazi?" amehoji Tarimba.

Pale wezi wanapojifichia kwenye kichaka cha uzalendo
 
Huyu Abbas Tarimba ni raia wa Tanzania kweli?

Mbona ana madevu ya kiarabu?
 
Back
Top Bottom