Wajibu hoja ipi wakati kwenye mshono panavuja damuKwanini hawajibu hoja? Kwamba Gwaji boy mambo aliyoongea ni non-sense kiasi hicho?
Hatuna haja na kikura chako hicho, hujui hata kuandika na kusomaNdiyo muone nguvu inayotumika kuhalalisha uovu Nchi hii ni kubwa kiasi gani.
Sasa huyo ni mwanaCCM mwenzao, wanafikiria kumvunjia Kanisa lake na kumpoka uanachama wake.
Vipi akina Tundu Lissu? Wataacha kupigwa Risasi?
Ndiyo maana yupo Magereza mpaka sasa Kwa kosa la Uhaini 🙌
Alafu ajitokeze mtu anishauri nikapige kura hiyo Oktoba
RubbishAmeongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo
Napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Tukifanya hivyo, CCM itakuwa HAINA tofauti na vyama vidogo kama Chadema. Dawa ya Mch. Gwajima ni kumpuuzia.Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo
Napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Jumapili pale kawe na YouTube ya Gwajima patawaka motoDk. Gwajima bishop mkuu w ufufuo n uzima peleka moto mpk mcheza kamari na uyo mwenye uzi wadate.
Nijuavyo mm hoja ujibiwa kwa hoja na sio kufukuzwa chama.
KAZI ni kipimo cha utu
Tarimba naye ni BOYA kumbe ,angekaa kimya tu.Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo
Mimi chiembe napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Ni sawa tumlaani Gwajima lkn ili Gwajima alaaniwe vizuri bila shaka yoyote,Tuanze na kongamano la kuwalaani watekaji wote walioacha MAJONZI KWENYE FAMILIA ZA WATANZANIA WENZETU kwa kupotewa na ndugu na wazazi wao. Tuwalaani bila kujali rangi,dini ,Wala makabila yao tuwalaani vikali kabisa tukifika hapo tutafanikiwa kuzima mwangwi uliopo lkn tukijifanya hatuna Akili eti tunamlaani Gwajima kijingajinga tu nadhani tutakuwa hatujitambui serikali nzima.Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo
Napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Idd azzan anataka kurudi hyu akae mguu sawa...mzee wa makamali2020 Gwajima na Tarimba walikuwa wanajiita mapacha 😁😁
We Tarimba mkeo angetekwa afu akarudi hana jicho kabakwa nyakanyaka - nafikiri ungefurahi sana eee.Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.