PreGE2025 Tarimba ataka CCM kumchukulia hatua Askofu Gwajima

PreGE2025 Tarimba ataka CCM kumchukulia hatua Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Naunga mkono hoja, yule kwanza ni tapeli, eti kanisa la ufufuko, eti anafufua wafu? Yule ameshafika bei, hana tofauti na Kibwetere afukuzwe uanachama. Hana adabu amemtukana mwenyekiti wake, mkuu wa nchi yetu na amiri jeshi mkuu. Huyu Rais wetu naye aache unyonge, una madaraka yote unyonge unatoka wapi, ht mzee Mwinyi hawakujaribu kumchezea kwanini Samia. Hapa ndio namkumbuka Magufuli ht ile press asingemaliza, nyau lisilo na haya, ubunge wenyewe wa kupewa na Magufuli. Fukuza mbwa huyo.
What goes around, always comes around
 
Enzi ya JPM hata ule mkutano asingeufanya au hata kuumaliza. SSH aanze kuwafinya hawa
Mama anaua wewe unasema aanze kufinya!
Aliposema” kifo ni kifo tu” unadhani alikuwa hajui yaliyomfika mzee Kibao na waliohusika?
 
Usiku kuna genge lipo JF mda huu sio kutoa mada
 
Mama anaua wewe unasema aanze kufinya!
Aliposema” kifo ni kifo tu” unadhani alikuwa hajui yaliyomfika mzee Kibao na waliohusika?
Mnahahaa, kulinda nchi sio lelemama
 
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.

Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo

Mimi chiembe napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
================
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mhe. Abbas Tarimba, amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kumchukulia hatua za Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kupitia Kamati ya Maadili ya chama hicho, kufuatia kauli alizotoa dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, leo Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma, Mhe. Tarimba amesema kauli za Gwajima kuhusu madai ya utekaji ni za kudhalilisha na hazikubaliki, hasa pale zinapogusa familia ya Rais.

Soma Pia: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

"Naiuliza CCM, huyu mtu bado ana kadi ya chama chetu, kwa nini awe huru kuendelea kutoa maneno ya fedheha kwa Rais wetu? Anatoa mifano ya kutisha, ya kumkosea heshima Rais na familia yake. Unamtaja mtoto wa Rais, ukisema atobolewe macho, hivi kweli unaelewa uchungu wa mzazi?" amehoji Tarimba.

View attachment 3346687
Nchi Hii ukisema Ukweli unaonekana si Mzalendo au ni Muasi sio hivyo sote nia Yetu ni moja kutengeneza Taifa lenye kujali wananchi wake ! Uadilifu unahitajika nyanja Zote!
 
Kwa hiyo watoto wa viongozi ndo watoto na wazaz wao wana uchungu maana walizaa watoto.Hao wanaotekwa na kuuawa sio watoto na sio watu ni fisi hivyo wazaz wao hawana uchungu na fisi....mtu akiongea ndo ujajua jinsi alivyo MPUMBAVU
 
Hizo ndio akili za wana-ccm, hawa watu wanaliangamiza taifa kwa sababu it's either hawana akili, wanazo ila hawazitumii au wameamua tu kulamba masaburi ya viongozi wao.

Siku hiki chama kikiondoka madarakani(we might have gone anyways) itakuwa mwanzo mpya wa Tanzania.
Yaan ni watu wa hovyo....hawa ndo wataletea tz maendeleo...thubutuu....yaan tz kamwe haiwez stawi na waliolaaniwa kama hawa....lazima kwanza wa step down
 
Ingekuwa Rais km Magu ht hilo kanisa Jumapili hawezi kuikuta, tunahitaji kiongozi mkuu very strong. Magufuli alishamaliza kazi, mama matatizo mengine amejitakia, Lissu na Heche siyo wa kucheka nao, Lissu hana utu, hana ustaarabu, hana fadhila, ili mradi anapigiwa makofi atatukana anavyojisikia, siyo wa kucheka naye. Ht akishinda kesi dola idil naye mpk achoke
Kama
We Tarimba mkeo angetekwa afu akarudi hana jicho kabakwa nyakanyaka - nafikiri ungefurahi sana eee.
Angefurahi sana...na watu kama hawa ingepasa wakutane na kitu kizito kama hivyo vinavyowapata wengine ili wajue uchungu kiuhalisia
 
Mnara wa Babeli huo. Damu za watu zinazungumza. Wabunge wa CCM hawataki kujadili jinsi watoto wa watu wengine wanavyotekwa na kuuwawa kama kuku ila wanaumia mtoto wa rais akitolewa mfano. Hawa ni watu au majini>
Majini haya....yamevaa tu miili ya binadamu
 
Gwajima ni mwanaume
Ilo ni Litanganyika lisukuma lenye chuki na WA Zanzibar na Uislamu limeamua kujitokeza hadharani kudhihirisha ujinga wake lakini Mama Samia tunae na tunatamba nae
 
Kwani aliongea kama mbunge au mwananchi?

Aliyaongelea Lumumba, bungeni au ofisi yake binafsi?
 
Back
Top Bottom