PreGE2025 Tarimba ataka CCM kumchukulia hatua Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.

Napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Gwajima alisema atajibiwa na matahira.
 
Kwanini Gwajima asijibiwe kwa hoja,mbona mnamtisha.tarimba ajue Gwajima anamjua vizuri kuliko yeye anavyomjua gwajima
Amesahau Gwajima alimnyoosha BASHITE huku akiwa ni Mkuu wa Mkoa wa DSM, tena mtoto pendwa wa aliyekuwa Rais wakati huo.

Hizi ligi za kuharibiana na kuchafuana, Gwajima ni Bingwa. Atawadhalilisha hadi hawawezi kuamini. Mtu ambaye video ya ngono ilishindwa kumnyamazisha, wasicheze nae kabisa.

Wanapaswa wajibu hoja zake kwanini watu wanatekwa na ni nani anayewateka.

NGOMA ikilia sana hupasuka, watu wamemsifia sana Mkulu hadi wanaona kushauri vitu vizuri ni UBAYA.

Ni bora wamalize haya mapema kabla hawajajutia.
 
Enzi ya JPM hata ule mkutano asingeufanya au hata kuumaliza. SSH aanze kuwafinya hawa
Kamfufue uzikwe wewe. Bwege kabisa !
Atawafinya wangapi? Huyo JPM SASA YUPO WAPI? watu wanahoji mambo ya maana wewe unataka wafinywe?
Mbona hujasema kina mchome wanaolipiwa nyumba za bure na msajili wafinywe???
 
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.

Napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Hahahaha wewe ni mjinga
 
Ingekuwa Rais km Magu ht hilo kanisa Jumapili hawezi kuikuta, tunahitaji kiongozi mkuu very strong. Magufuli alishamaliza kazi, mama matatizo mengine amejitakia, Lissu na Heche siyo wa kucheka nao, Lissu hana utu, hana ustaarabu, hana fadhila, ili mradi anapigiwa makofi atatukana anavyojisikia, siyo wa kucheka naye. Ht akishinda kesi dola idil naye mpk achoke
 
Watanzania wanatekwa.
Watanzania wanaumizwa.

Kinachotakiwa ni majibu sio mashambulizi kwa Gwajima, kupambana na Gwajima maana yake mnaunga mkono utekaji na uonevu dhidi ya raia.
 
Mojankatinya wazee wajinga ni huyu Tarimba, Moja kati ya mbunge mjinga asiye na mchango wowote bungeni na kwa wanachi

Tarimba hawezi kushinda tume ikiwa huru
 
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.

Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo

Napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
asa kubomolewa kanisa kuna mahusiano gani na alichoongea?ukiwa CCM unakuwa mtu wa hovyo hovyo ki fikra,yaani unakuwa poor mind ambayo hata nguruwe hana
 
Amesahau Gwajima alimnyoosha BASHITE huku akiwa ni Mkuu wa Mkoa wa DSM, tena mtoto pendwa wa aliyekuwa Rais wakati huo.

Hizi ligi za kuharibiana na kuchafuana, Gwajima ni Bingwa. Atawadhalilisha hadi hawawezi kuamini. Mtu ambaye video ya ngono ilishindwa kumnyamazisha, wasicheze nae kabisa.

Wanapaswa wajibu hoja zake kwanini watu wanatekwa na ni nani anayewateka.

NGOMA ikilia sana hupasuka, watu wamemsifia sana Mkulu hadi wanaona kushauri vitu vizuri ni UBAYA.

Ni bora wamalize haya mapema kabla hawajajutia.
Uchawa unaliangamiza hili taifa.
 
Huyo tarimba sijui ni muhindi au mwarabu sio mtanzania yule atuachie nchi yetu
 
Tarimba umejaririsha sana eti smejenga kanisa eneo la wazi? Utoto sana huo
 
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.

Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo

Napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Ccm ni mchwa
 
Back
Top Bottom