Tarehe kama ya leo Oktoba 25, 2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha, mnakumbuka?

Ndiyo ilikuwa siku ya Tanzania Mpya. Tanzania ya maendeleo. Hii safari mpaya 2035 panapo majaaliwa. Mungu tunaomba afya na uzima tuweze kuiona Tanzania yenye neema.
 
Mungu tusamehe kwa makosa ya kutokujua tuliyoyafanya tarehe 25/10/2015. Haya yalikuwa ni maamuzi ya kijinga yenye hasara kwa sasa na kizazi chetu. Matokeo ya uamuzi wetu yameifanya kaya yetu kuwa kambi ya chuki, vitisho, kutekwa, kupotezwa, kuminya demokrasia, kusigina katiba na mambo mengi ya hovyo hovyo. Tunaishi kama wakimbizi vile.
 
Hakika
 
Tarehe kama ya leo tulifanya maamuzi ya kidemokrasia kama taifa katika uchaguzi mkuu na kupata serikali iliyoko madarakani sasa. Je wewe mdau wa maendeleo ya taifa lako unasemaje, unatembea kifua mbele na kujipongeza kwa uchaguzi wako kwa kutumia kura yako ama unajutia kwa kupeleka kura yako ulikoipiga,

Mungu tusamehe kwa kituko tulichofanya 25/10/2015. Tunajuta toka rohoni. Maamuzi tuliyoyafanya yameifanya Kaya yetu kuwa kambi ya kudumu ya chuki, vitisho, ubabe, kutekwa, risasi, kupotezwa na mengi ya hovyo yanayofanana na hayo.
 
Nikitembea kifua mbele niliyomchagua tarehe kama ya leo anakifumua...wacha nitulie ndani...!! Anasema uongozi ni mzigo ila 2020 atakuja kuomba kula na kura tens

Back
Top Bottom