Tarehe kama ya leo Oktoba 25, 2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha, mnakumbuka?

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
4,133
6,096
Tarehe kama ya leo 25.10.2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha

Mnakumbuka?

Habari ndio hiyo.
20181025_085344.jpeg
 
Tarehe kama ya leo tulifanya maamuzi ya kidemokrasia kama taifa katika uchaguzi mkuu na kupata serikali iliyoko madarakani sasa. Je wewe mdau wa maendeleo ya taifa lako unasemaje, unatembea kifua mbele na kujipongeza kwa uchaguzi wako kwa kutumia kura yako ama unajutia kwa kupeleka kura yako ulikoipiga,
 
Hata sina uhakika kama kura yangu ilihesabiwa kulingana na matakwa yangu.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom