kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,132
- 6,100
- Thread starter
- #181
Leo ni kumbukizi tu ya maisha yetu ya awamu ya 5.
Happy birthday Mkuu.Alafu ilifanyika siku ya kuzaliwa kwangu
Hata mimi sikumpigia. Ila tunaisoma sote..Tunaisoma namba japo nilipigia upinzani
UKUTE ANA UMRI SAWA NA BABA YAKOhii siku Tanzania ilipata kichaa kutawala inchi kwa mara ya kwanza.
Ila yeye mwenyewe alishawahi kujipambanua hadharani kwa sifa hiyo.UKUTE ANA UMRI SAWA NA BABA YAKO
Sema shujaa wako na mumeoHIYO NI TAREHE TULIOMCHAGUA SHUJAA WETU MPENDWA WETU YULE ANAEPENDA UKWELI ANAE KOMESHA UFISADI NAE NI RAIS JOHN POMBE MAKUFULI MUNGU AMPE AFYA NA AENDELEE KUTUONGOZA KWA UMRI WOTE MPAKA KIELEWEKE
Siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita...