Tarehe kama hii mwaka jana (14.8.07), Kuna mafanikio yoyote?

Shalom,

Kisomo changu hakina faida kwako wewe,na kw akifupi haikuhusu..umekosa hoja sasa unaleta vioja..

Mambo ya zitto na mtu kuwa na Master yametoka wapi,after all i know zitto kwa muda mrefu sasa(though hajui kama mimi ndiyo Gembe)..kwa taarifa yako!



Umesahau uliyaleta mwenyewe? Haya sasa kazi kwako!
 
Matunda mkuu yanaonekana katika jamii wote sasa wanajua nani fisadi na nani si fisadi mfano saizi kila mtu anajua EL,RA,KAramagi hawa ni mafisadi wasiouzika hata kwa bure na wengi wanajua viongozi wacheche ambao ni wasafi kama Dr.Cheni,Pinda hawa hawana hata chembe ya kifisadi sijui waingie tamaa saizi.
Alafu vyombo vya habari navyo saizi vipo huru sana kuandika uovu wa viongozi wa juu tofauti na zamani hii ni hatua moja wapo ya kujivunia ndo maana mpaka raia wa kawaida wanawatambua mafisadi sasa kwa kupitia vyombo vya habari.
Ila tu sifa ya chama chenu CHADEMA inaanza kushuka gafla kuanzia tukio la kumsimamisha Wangwe kuja kifo chake na maswala ya ukabila na mzimu unao watafuna wa ruzuku basi kazi zote mnazo fanya sasa hivi zinaanzwa kubezwa kutokana na mzimu unao waandama katika chama chenu.Mnatakiwa mjipange katika chama kwani watu tumesha kosa imani na chama chenu kwa kubebana bebana kikanda kunawaponza huko inabidi mjisafishe na kujipanga upya.
 
Kwa mtazamo wangu,naona katika kipindi hiki cha mwaka mmoja(up to Aug 14) kumekuwa na ongezeko la idadi TUME.Mengi yaliyotokea na kuonekana kuchukua attention ya watu basi yameundiwa tume kwa ajili ya kuyafanyia uchunguzi.Hili ni jambo zuri,yes!Ila naona kuna suala la ripoti za uchunguzi wa tume hzo aidha zinakuwa well filed kunako makabati or znavmika kuonyana KISHKAJI(may b kwa sms au greeting cards!!) kisha maisha yanaendelea.Hatua kubwa niliyoiona ni kwa baadhi ya wahucka kuamua kujiuzuru kwa hiari(cna hakika na hili) ksha huchomoka mbio kurud majimbon kwao ambako vgelegele na tafrija hufanyka!Nadhan ktk kipind kijacho kutakuwa na TUME kwa ajili ya kuichunguza TUME nyingne!!
 
Kwa mtazamo wangu,naona katika kipindi hiki cha mwaka mmoja(up to Aug 14) kumekuwa na ongezeko la idadi TUME.Mengi yaliyotokea na kuonekana kuchukua attention ya watu basi yameundiwa tume kwa ajili ya kuyafanyia uchunguzi.Hili ni jambo zuri,yes!Ila naona kuna suala la ripoti za uchunguzi wa tume hzo aidha zinakuwa well filed kunako makabati or znavmika kuonyana KISHKAJI(may b kwa sms au greeting cards!!) kisha maisha yanaendelea.Hatua kubwa niliyoiona ni kwa baadhi ya wahucka kuamua kujiuzuru kwa hiari(cna hakika na hili) ksha huchomoka mbio kurud majimbon kwao ambako vgelegele na tafrija hufanyka!Nadhan ktk kipind kijacho kutakuwa na TUME kwa ajili ya kuichunguza TUME nyingne!!

zitto mwenyewe alikuwamo moja kati ya hizo tume,angetuammbia walitumia shillingi ngapi kukamilisha hiyo kazi mnaweza kushikwa na butwaa..

Mie nadhani kuna haja ya wananchi kuiziria serikali na viongozi wao wote
 
zitto wewe ni muuwaji tu

na mwaka huu ndio mwisho wenu, kwisha chadema itabaki ni history


mmekwisha na nilisema bunge lijalo wapinzani watabakia na viti nusu tu vya pemba
 
zitto wewe ni muuwaji tu

na mwaka huu ndio mwisho wenu, kwisha chadema itabaki ni history


mmekwisha na nilisema bunge lijalo wapinzani watabakia na viti nusu tu vya pemba
__________________
uuh am scared, ziko sawa lakini kumkichwa mkuu.
 

1.zitto wewe ni muuwaji tu
2. mmekwisha na nilisema bunge lijalo wapinzani watabakia na viti nusu tu vya pemba

Mtu wa pwani namba moja hapo>?Ni maneno mazito sana na ningependa ufafanue...i

Namba mbili nakuunga mkono kwa mikono yote miwili.sasa sijui nigonge thanx?Mod inawezekana kuchagua kitu cha kukishukuru..i could opt for number two only and number one until Mtu wa Pwani Prove elaborate
 
maelezo ni kuwa zitto mikono yake imejaa damu ya mpiganaji wangwe

iko wazi kuwa njama ya kumnyonga waliiandaa na yeye akiwemo pamoja na muhuni wa wapuki
 
maelezo ni kuwa zitto mikono yake imejaa damu ya mpiganaji wangwe
iko wazi kuwa njama ya kumnyonga waliiandaa na yeye akiwemo pamoja na muhuni wa wapuki

Mkuu tunaomba uthibitisho au evidence uziweke hapa walikula vp njama hizo?au walikula na yule kijana Deus??Tunaomba uthibitisho mkuu.Usifuate wasemavyo watu kijiweni na wewe ukajua ndo hivyo Tunaomba uthibitishe kama huna uthibitisho futa kauli yako.
 
zitto wewe ni muuwaji tu

na mwaka huu ndio mwisho wenu, kwisha chadema itabaki ni history


mmekwisha na nilisema bunge lijalo wapinzani watabakia na viti nusu tu vya pemba

Mtu Wa Pwani wewe lazima ni mtu MZITO SANA huko ccm...Ila wewe unanishangaza sana...Kabla ya ku conclude kuhusu uuwaji wa Zitto...Naomba unieleze ulikuwa na maana gani uliponiambia kuwa nitaangukia puwa..Conversation hii ni wakati wa mjadala ule wa kifo cha Ballali...Ukaanza kwa unafiki kwa kunisifia kuwa nina speed ya kupost...Halafu ukatwist na kujidai kusema kuwa niangalie nitaangukia puwa...Hukuwa specific kwani kutype kwa speed kuna husiana vipi na kuangukia puwa wakati wa hoja ya utata wa kifo cha Ballali?
Sasa raha yako ni Wangwe this chadema that...Unaweza kunijibu sasa kuwa ulikuwa na maana gani kama na wewe hukuwa ukinitisha?
Wewe mtu wa Pwani ni mtu wa Pwani ipi hiyo?

<LI class=floatcontainer id=vmessage87>
22nd May 2008 07:31 AM
jmushi1

Kivipi mkuu naomba uwe specific!
<LI class=floatcontainer id=vmessage86>
22nd May 2008 06:22 AM
Mtu wa Pwani

sawa mkuu ila ukienda kwa kasi utajigonga na utaangukia pua
<LI class=floatcontainer id=vmessage85>
21st May 2008 11:46 PM
jmushi1

Ni mambo yanayosikitisha ndugu yangu!
Wala hata sijui kwamba thats the case ila niko very closely kwnye conversation na pia kuna mambo ambayo yanakatisha tamaa!
<LI class=floatcontainer id=vmessage69>
21st May 2008 05:32 AM
Mtu wa Pwani

mkuu unatisha, nnakupongeza kwa speed ya maandiko
 
Mkuu JMushi mtu wa pwani amesha wekwa lock up atapumnzika kwa siku 7 kwa hiyo hatupo naye tena hapa room twendelee na mada yetu.
 
Mkuu JMushi mtu wa pwani amesha wekwa lock up atapumnzika kwa siku 7 kwa hiyo hatupo naye tena hapa room twendelee na mada yetu.

Humu jf kuna watu hatari sana ndugu yangu.
Sasa naona "SILENCER" KESHAMWAHI...Kwi kwi kwi kwi...
 
tatizo watu wanadhani hapo tupo mkatika vijiwe vyao vya kunywa kahawa so wanaropoka tu,eti zitto alihusika katika mahuhaji ya wangwe ,lete uthibitisho,halafu kuna watu bila ya kufikiri nao wanampa thanks kwa post yake hiyo iliyojaa chuki binafsi.Tubadilike jamani,tuwe hapa kwa maslahi ya taifa letu jamani,taifa lapotea hili!
 
Gembe mwenye MASTERS lakini mtupu! IQ YAKE EITHER FINYU AMA ANA MASLAHI...Halafu kuna huyo "PUNDAMILIA".....Pundamilia huyu...Ni yule Ambaye hata hajuwi kama yeye ni mweusi mwenye miraba miyeupe ama yeye ni mweupe mwenye miraba miyeusi.

Wako wengi tu...Hao ni ccm...Wana siri nyingi..Lakini hawana haki ya kutowa tuhuma zisizokuwa na ushahidi kwasababu hii ni kuendeleza siasa kwenye kifo cha Wangwe na huku ukweli ni kuwa serikali ya ccm ilikataa uchunguzi HURU...Hivyo nyie watu wa ccm mtandao mlegee.
 
Mushi,

Mie sina maslahi yoyote na hizo ni hisia zako tu zisizo na maana,kwanini unatak niwe kama wewe wakatimie siyo wewe?

Maneno kasema Mzee wa pwani sasa mie yananihsu mimi.hata kama nina IQ ndogo inakupunguzia nini??

silencer hii ni sawa??
 
Mkuu Zitto;

Tumepiga hatua kubwa sana, Angalau sasa tunaona hata chui waliovishwa ngozi za kondoo wa CCM, wanaweza kuongea kwa kujiamini Bungeni na kusema hawawezi kusubiri kina Zitto wawaongelee. Vita dhidi ya ufisadi bado ngumu ila nina uhakika waliokuwa na nia ya kuendelea kufisidi sasa watakuwa wameingiwa nidhamu kidogo. Ila bado nguvu kubwa inahitajika kuuwa virusi wote wa ufisadi kwa vilivyotambulika kuvifanya viwe inactive kwa sheria kuchukua mkondo.

Mapambano ya kubadili fikra za watanzania kuhusu viongozi mafisadi yamepata credits kiasi fulani, Ila mfanye mikutano mingi vijijini watu hawana internet na vyombo vingine muhimu vya habari.

Mkimaliza kikao mtembelee vijijini sana kuwatoa nao tongo tongo, ILA MUWE NA MADEREVA WENYE LESENI NA MAGARI MYAFANYIE SERVICE VIZURI.

I WISH ALL FIGHTERS LONG LIFE AND GOD BE WITH YOU ALWAYS ILI KUSHINDA NGUVU ZA MAFISADI.
 
zitto wewe ni muuwaji tu

na mwaka huu ndio mwisho wenu, kwisha chadema itabaki ni history


mmekwisha na nilisema bunge lijalo wapinzani watabakia na viti nusu tu vya pemba


..YOU...........LOOSER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


......Wapiganaji msikatishwe tamaa na maneno ya mafisadi ambao wanatumia kila mbinu kubadilisha mada zisijadiliwe na watanzania ...mara wataanzisha zanzibar si nchi....ili ku divert attention za watu...mawakala wao wapo kila mahali..tunawajua ..msikate tamaa...kwanza tunajua kuwa huyo aliyesababisha ajali ni UWT.....hilo halina ubishi...sasa sidhani kama wapinzani wanaweza kuiamuru UWT...

..mwelekeo ni mzuri watanzania sasa wameamka...these issues are non partisan....

..MOJA ya set back tuliyopata watanzania kwenye hii vita ya MADINI.. ni kumpoteza mpambanaji CHACHA WANGWE ...ambaye alikuwa awasilishe hoja ya kuwabana WAWEKEZAJI WA MADINI TARIME ..WAWALIPE FIDIA WAPIGA KURA WAKE ....tunajua uwezo wa dola na makampuni ya nishati / madini duniani kote ...wanao uwezo wa kusababisha vita ili wao wachimbe....sembuse kusababisha mtu mmoja aende kuzimu....

ALUTA CONTINUA!!!!!!!!!
 
1.kwanza tunajua kuwa huyo aliyesababisha ajali ni UWT.....hilo halina ubishi...sasa sidhani kama wapinzani wanaweza kuiamuru UWT...

kama una ushahidi naomba upeleke Polisi coz wan uhihitaji


2.MOJA ya set back tuliyopata watanzania kwenye hii vita ya MADINI.. ni kumpoteza mpambanaji CHACHA WANGWE ...
the list goes on

3.Moja ya kitu muhimu tutakachokikosa ni mpiganaji ambaye alipinga sana ukabila ndani ya CHADEMA.

4.Chacha alikuwa mstari wa mbele kupinga sana matumizi yasiyoeleweka ndani ya CHADEMA.

Mie nimekerwa sana na Tabia ya CHADEMA kuwaoa vyama vingine hawana maana..nitakuwa Mbele kuwasupport TLP ,CUF na NCCR katika kampeni zao ila nikijua CCM itashinda..ila ni bora kuwasifia hao
 
Back
Top Bottom