Tarehe 28/7/2020 yaweza kuwa siku ya kuvunja rekodi ya mahudhurio ya watoa heshima kwenye jeneza la kiongozi wa Tanzania

Kesho ni SIKU YA KUMKUMBUKA MHE.CHACHA WANGWE aliyeuliwa tarehe 28.7.2008 na Mhusika wake Mkuu Bw. DISMAS MALYA alipotaka kufunguka zaidi Mbowe akampa Cheo ndani ya CHADEMA kuzima uvumi. Watanzania welevu bado wanakumbuka na wataendelea kulaani mauaji ya kulinda Ulaji wa Mwenyekiti wa Ufipa. Poleni wana Kemakorere lkn hongereni mlichomfanya huyu muuuaji hatosahau milele. RIP kaka CHACHA
Hahahaha wewe kweli hamnazo, upewe cheo ili unyamaze??
 
Kwanini hujafungua mashtaka au kwenda polisi,ndorobo wewe
Kesho ni SIKU YA KUMKUMBUKA MHE.CHACHA WANGWE aliyeuliwa tarehe 28.7.2008 na Mhusika wake Mkuu Bw. DISMAS MALYA alipotaka kufunguka zaidi Mbowe akampa Cheo ndani ya CHADEMA kuzima uvumi. Watanzania welevu bado wanakumbuka na wataendelea kulaani mauaji ya kulinda Ulaji wa Mwenyekiti wa Ufipa. Poleni wana Kemakorere lkn hongereni mlichomfanya huyu muuuaji hatosahau milele. RIP kaka CHACHA
 
Sikuoni mkuu, twende kesho msibani
Nipo mkuu!
giphy.gif
 
Kitendo cha Lissu kuhudhuria kuagwa kwa mwili wa Hayati Rais Mstaafu Mkapa ni heshima kubwa sana na kinaonyesha ukomavu wa kisiasa na upendo pia.. Hii itamuongezea credit zaidi Lissu, na kumuonyesha kumbe licha ya mateso mabaya aliyopitia ni mtu asiye na chuki kuu au bado na utu wa kibanadamu mzuri, kiongozi mkubwa wa kisiasa kikubwa inafaa uwaonyeshe wananchi upendo kwa vitendo...
 
Taarifa ya Tundu Lissu na viongozi wengine wa Chadema ya kuhudhuria uagwaji na utoaji wa heshima za mwisho wa Marehemu Mkapa kesho imesababisha hamasa kubwa ya umati wa watu kuhudhuria tukio hilo kiasi ambacho kinatarajiwa kuvunja rekodi (mimi pia kwa mara ya kwanza nitahudhuria)

Natoa wito kwa askari wa usalama wa barabarani kuongeza juhudi za kudhibiti lundo la magari yatakayofika eneo hilo.

Siku nzima ulikuwa unapigwa jua.. ukisubiri.. kuja kuandika majanga.. leo mumepewa mushushuo babu kubwaaaaaa... na 😃😃😃💉💉💉💉

Kesho wanabakwenda kama.. Tanzanians.. na sio sapoti ya chama.. kama chama muwende Ufipa..
 
Nini kilikubadili?
 
Kesho ni SIKU YA KUMKUMBUKA MHE.CHACHA WANGWE aliyeuliwa tarehe 28.7.2008 na Mhusika wake Mkuu Bw. DISMAS MALYA alipotaka kufunguka zaidi Mbowe akampa Cheo ndani ya CHADEMA kuzima uvumi. Watanzania welevu bado wanakumbuka na wataendelea kulaani mauaji ya kulinda Ulaji wa Mwenyekiti wa Ufipa. Poleni wana Kemakorere lkn hongereni mlichomfanya huyu muuuaji hatosahau milele. RIP kaka CHACHA
Uliwahi kumwita kaka wakati akiwa hai??, au ni saiv akiwa kafa??..kuwa mkweli
 
Taarifa ya Tundu Lissu na viongozi wengine wa Chadema ya kuhudhuria uagwaji na utoaji wa heshima za mwisho wa Marehemu Mkapa kesho imesababisha hamasa kubwa ya umati wa watu kuhudhuria tukio hilo kiasi ambacho kinatarajiwa kuvunja rekodi (mimi pia kwa mara ya kwanza nitahudhuria)

Natoa wito kwa askari wa usalama wa barabarani kuongeza juhudi za kudhibiti lundo la magari yatakayofika eneo hilo.

Rais Lissu 2020.
 
Mbarikiwa atakuwepo. Mh Hayati Ben ameoata heshima kuagwa na kipenzi cha watanzania. Kesho tutafurika.
 
Kila nikitahidi kuona nyomi zako unazoandika humu haishia kucheka tu.

Nyomi la watu elfu mbili Kati ya wa TZ milioni 60. Haaaa unachekesha.
Je na nyomi la Kule uwanja wa Uhuru watu 500 kati ya watu milioni 50 vipi?? We kweli utopolo unadhani watanzania wote wanaishi Dar??
 
Kukosa kutenga hata siku moja ya mapumziko kwa ajili ya kuwapa nafasi Watanzania kwenda kumuaga Rais aliyewaongoza kwa miaka kumi ni kumkosea heshima hayati Benjamin Mkapa.

Anyway kila la heri kwa watakaokwenda kesho.
Unaona wivu?? Muda wa kupumzika kwani katoka kulima?? Acheni uvivu.
 
Siku nzima ulikuwa unapigwa jua.. ukisubiri.. kuja kuandika majanga.. leo mumepewa mushushuo babu kubwaaaaaa... na 😃😃😃💉💉💉💉

Kesho wanabakwenda kama.. Tanzanians.. na sio sapoti ya chama.. kama chama muwende Ufipa..
kinachokuliza nini ?
 
Back
Top Bottom